nawasaka hawa wadau niliokutana nao sun city huko sauzi miaka kibao ilopita. nina ujumbe wenu tafadhali nitafuteni kupitia issamichuzi@gmail.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kipindi hicho Michuzi ulikuwa umepinda. Hapo Sun City Poa

    ReplyDelete
  2. Sawa najua unapenda sana uafrika lakini hiyo suruali ya kahawia na shati la lako la darizi jamani? ,hivi ile suruali yako nyeusi ilikuwa haija kauka (na hapo ni suncity) au kuna mtu aliiroweka chumbani mwake usitoke?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...