kesho oktoba 22 itakuwa ni miaka mitatu kamili toka freddy supreme ndala kasheba atutoke duniani baada ya kutuburudisha kwa miaka mingi na gitaa lake la nyuzi dazani. kasheba atakumbukwa kuwa mmoja wa wanamuziki waliolitia chachandu kwenye muziki wa bongo kiasi ni vigumu kumsahau. bofya hapa upate linki tuliyowahi ibandika huko siku za nyuma. je, mdau, unamkumbuka kasheba kwa lipi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. namkumbuka kwa kulibamiza gitaa lake la nyuzi dozen kwa midadi kisha kuletewa jingine toka italia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...