Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi, kwanza nashindwa kuingia kwenye hii blog ndio maana naonekana anonymous, lakini hii Katuni ya Mugabe na hawa wazungu na Mwarabu wao yaani ni ujumbe tosha kabisa, hakuna kisichoeleweka. Aliyechora nampa 5 kabisa

    ReplyDelete
  2. WAZUNGU WAOGOPE, HAKUNA CHA DEMOCRACY WALA NINI, NI ULAJI TU..SASA ZIMBABWE WAMENYIMWA ULAJI WANAKUJA JUU KAMA MOTO WA KIFUU, KWA WAARABU WANAPATA MAFUTA NA WANAUZA NDEGE ZA KIVITA, AAAH, MAMBO SWAFI!

    ReplyDelete
  3. kwani mmeshasahau ya palestina? waling'ang'aniza demokrasia, demokrasia ikachagua hamas wakapiga kelele hawahutambui uchaguzi, hawa jamaa ni noma, they are friends as long as their interests are protected. inasikitisha kuona sreikali yetu wenyewe inashindwa kusoma alama za nyakati na kutambua kuwa tunavyozidi kuwapa umiliki wa rasilimali zetu siku tukizidai yatatukuta kama ya migabe, its a shame guys!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...