balozi wetu marekani mh. ombeni sefue (pili shoto) akipozi na viongozi wa jumuiya ya wabongo huko seattle alipowatembelea jana. picha na habari zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Nawapongeza Wabongo wa Seattle kuwa na Umoja wao.
    Ningeomba sasa baada ya picha yao kuwekwa hapa kwenye Michu, wajitokeze kujitambulisha ili tuwafahamu kwa majina pia.
    Asante mkuu.

    ReplyDelete
  2. Kwa kawaida watu wafupi huwa wana matatizo sana including inferiority complex..

    ReplyDelete
  3. Wewe Tarehe Monday, October 29, 2007 6:25:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
    Balozi Sefui hana matatizo yeyote na mtu yeyote. Hana inferiority complex yeyote. Ni mtu poa sana. Muone hivyo hivyo mfupi huyu jamaa ni kiboko ana akili kweli kweli na ni mtendaji kazi hodari sana. Tegemea ubalozi hapo DC kubadlika. Chini ya uongozi wa huyu bwana nadhani malalamiko yatapungua

    ReplyDelete
  4. Ombeni Sefue alikuwa speech writer wa Ben Mkapa. Hiyo inatosha kuelewa ni mtu wa aina gani.

    ReplyDelete
  5. WEWE UNASEMA BALOZI NI MFUPI HEBU WEKA PICHA YAKO HAPA TUKUONE UNA UREFU GANI NA UKO WAPI NA UNAFANYA NINI? MUACHE MPARE WA WATU ACHAPE KAZI.

    ReplyDelete
  6. Hao wanaumoja wa Seattle waweke vitu vya mana sio hivyo vi misemo vya wavuta madawa na waimbaji wa hipu hopu. huyo mtoto aliyewatengenezea website mwangilieni asiwafanye nyie wote muonekane kuwa tiinejazi.

    ReplyDelete
  7. Wewe Karigabagaho Mgagagigikoko unayesema watu wafupi wana inferiority complex una akili kweli..ulisoma wapi? Mkapa alikuwa mrefu? Mbona alitawala miaka 10 na akabadilisha nchi...!! Ubongo wako has nothing to do with your height. Huyo balozi bomba hatuna shida...tunadhani atainufaisha nchi si watu wanapewa ubalozi Marekani halafu hawajui cha kufanya wanaipotezea nchi opportunities. Wewe utakuwaje balozi nchi kama marekani halafu unaleta siasa? Hapo si pa siasa ni pa kuchapa kazi na kuwatoka wamarekani mapochi tu..nchi kama Ghana na Nigeria wamekula mamillioni kwavile waliweka mabalozi wenye bongo za kufikiria na kuona wapi nchi itafaidi...!! Angalia tangu ameingia "MILLENIUM FUNDS" tayari tumepata..Dola Millioni 600. Nani mwingine angeweza kama si huyu kijana mfupi wewe karigabagaho....kaacheni kapare kawatu kafanye vitu vyake....!! Tumia akili wewe mutu wa MBURAHATI...SIJUI VINGUNGUTI..!!

    ReplyDelete
  8. Akili ya muafrika ni misaada tuuu. Ni lini mtafikiria jinsi ya kujitafutia wenyewe na kuondokana na janga hili la misaada inayokuja na kamba na vitanzi vingi mmno?
    Hili ni taifa ombaomba aibu sana kwani madini mnayo, ardhi mnayo, maji kibao, miti kibao akili hakuna. doh!
    huyo sifueni kama ana akili sana kavumbua nini? Kafanya nini hasa cha maana cha kumfanya awe tofauti na watu wengine? Acheni kuparamia vitu ambayo huna hata chembe ya ushahidi. Eti ana akili sana.........

    ReplyDelete
  9. Wewe Karigabagaho. Unasema Tanzania tunaomba..angalau sisi tunaomba. Je nchi kama Marekani wanaonyang'anya kwa nguvu..unadhani huko Iraq wanaomba mafuta au wanachota? Ujanja kupata..umepataje hayo utajaza kwenye mabox yako...kwani msipovumbua na opportunity tuziache jamani? Kwani kama huyo jamaa anaweza kufanya mengi zaidi ya waliokuwa hapo siku za nyuma kwanini tusimpe sifa zake? Ushahidi huwezi kuwa nao kwavile uko mbali na jikoni...huijui serikali..ungeijua usingetafuta ushahidi.....wewe endelea kusoma magazeti ya IPPMedia uone kama utapata huo ushaidi...!!Wewe umevumbua nini..? Unadai huyou Sefue kavumbua nini..wewe je? Unaisaidiaje nchi au ni mzigo tu? Wengine kama ninyi ni mizigo tu kwa Nchi..kula na kulala tu....!! Kenge wa Dondo...!!

    ReplyDelete
  10. We mgoloko unayesema marekani ananyang'anya ni huyo huyo marekani anayeng'anya ndio anayekusaidi punda wewe usiye na shukrani. Mpaka hapo mtakapoacha tabia ya kuabudu miungu watu TZ itabikia kuwa taifa la kimatonya matonya.
    Mkapa ana hako kaugonjwa ka ufupi. Umeshawahi kuongea na huyo babu?
    Utampaje mtu sifa kwa kazi ambayo anatakiwa kuifanya? Kama akifanya zaidi ya alichoagizwa basi anapaswa kupewa sifa lakini si kinyume cha hicho. Watu kama nyie ndio mnakaa kusifia vitu ambavyo hamna faida navyo. Mara, bongo kuna magari mazuri wakati wewe hata hela ya kubadilisha mboga huna. Kazi kusifia upumbavu tuu. Inaonekana wewe ni mtu wa kijiweni na mambo unayoandika yanawafaa hao hao watu wasio na dira ya maisha yao.
    Tatizo lenu ni mnadhani kuwa kila mtz aliye nje ya nchi anabeba maboksi. Endelea hivyo hivyo kwani wenzako ndio tunazidi kuendelea na maisha wewe unabakia kuwa ombaomba.

    Kwa taarifa yako:Kila mwaka lazima nirudi bongo mwezi mmoja.

    ReplyDelete
  11. Hivi Balozi alishajitambulisha kwa Watanzania DC? Yaani hata ningekutana naye nisinge juwa yeye ndiye Balozi! Au walialikana wao kwa wao tu kama kawaida yao! Najuwa Balozi hawezi kujitambulisha rasmi kabla ya submit credentials zake State Dept. lakini he has been here and working for many months -- mbona sisi wengine hatumfahamu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...