KUTOKANA NA MALALAMIKO YA WADAU WA BONGO KWAMBA WAMEONEWA BAADA YA MDAU WA UGHAIBUNI KUIBUKA MDAU WA MILIONI 2 KATIKA GLOBU HII YA JAMII NA KUJINYAKULIA $500, MDHAMINI AMETOA $500 INGINE YA KUSHINDANIWA NA WADAU KWA NAMNA AMBAYO HATA WALIO BONGO WATANUFAIKA.

SHINDANO JIPYA LITAHUSU MECHI YA LIGI KUU UINGEREZA KATI YA MANCHESTER UNITED NA ARSENAL WIKIENDI IJAYO. UNACHOTAKIWA KUFANYA, BILA KUJALI UKO WAPI DUNIANI HUMU, NI KUTABIRI MSHINDI WA MECHI HIYO NA ATASHINDA KWA MAGOLI MANGAPI


MDAU ATAKAYEPATIA KUTABIRI MSHINDI ATAKUWA NANI NA KWA MAGOLI MANGAPI ATAPEWA HIYO $500.


KWA KUZINGATIA KWAMBA HILI SHINDANO LA SAFARI HII HALIHUSU MUDA AMA UDHAIFU WA NYENZO, HII IMEKUJA KAMA NAFASI YA WADAU HATA WA BONGO KUSHIRIKI BILA MALALAMIKO KWANI WANA WIKI NZIMA YA KUTUMA UTABIRI WAO HUMU. HIVYO WADAU WA BONGO ACHENI KULALAMIKA NA NAFASI IKO WAZI KWA YEYOTE KUJISHINDIA $500 ZA UBWETE.


KUMBUKA: MSHINDI NI YULE ATAYETABIRI MSHINDI KATI YA MANCHESTER UNITED NA ARSENAL PAMOJA NA IDADI YA MAGOLI YA USHINDI. UKIPATIA UMEULA.


MASHARTI: MDAU YEYOTE POPOTE ALIPO DUNIANI ANARUHUSIWA KUSHIRIKI KATIKA SHINDANO HILI. ENDAPO KAMA WATATOKEA WASHINDI ZAIDI YA MMOJA ITACHEZESHAW DROO YA KUMPATA MSHINDI MMOJA. MSHIRIKI LAZIMA ATUMIE ANUANI YAKE YA EMAIL. NA HAIRUHUSIWI KUPITIA MLANGO WA NYUMA (KUNITUMIA EMAIL MOJA KWA MOJA) NA LAZIMA INGIZO LIONEKANE SEHEMU YA MAONI KWENYE GLOBU
MSTARI MFU: DAKIKA MOJA KABLA YA KIPYENGA CHA KWANZA KULIA SIKU YA MECHI


MDHAMINI: NI YULE YULE COMPUTERCONSULT LTD YA DAR NA ZAWADI IMESHATOLEWA NA INASUBIRI MSHINDI TU...





T

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 258 mpaka sasa

  1. Michu umewaona leo vijana walivyokuwa wanakanyaga kabumbu? Bwawa la maini washukuru wameokota kapoint kamoja vinginevyo ilikuwa tatu au 4-1. Makosa yalijitokeza leo yatafanyiwa marekebisho na Arsenal Wenger kabla ya kuwakung'uta MANU 3-1, of course if referee won't be biased against Arsenal and award unecessary penalties of offside goals. Therefore Arsenal 3-1 depending on referee's fairness.

    ReplyDelete
  2. MICHUZI MIMI NAONA SISI AMBAO TUPO UNYAMWEZINI UTUTOE KWA MAANA HATA MUDA WA KUANGALIA LIGI HIYO YA UINGEREZA HATUNA LABDA UTUAMBIE NFL NBA AU COLLEGE FOOTBALL.
    **HATA HIVYO WAACHE WALIOKO BONGO WACHEZE KWA MAANA WAO MTANDAO MPAKA CAFE WAFUNGUE NA JEE KAMA SIKU HIYO KUTAKUWA NA MGAO BONGO ITAKUWAJE? WAPE TU AKO KA LAKI TANO KAKO.
    akhsante
    kasera,
    kansas city,

    ReplyDelete
  3. Hii ni marekani kama kawaida, kwani hamkumbuki aliyenacho ataongezewa na asiyekuwa nacho atanyang'anywa hata kile kidogo alichonacho?

    ReplyDelete
  4. ISSA MBONA UNATUDHALILISHA WADAU WA BONGO?

    MIMI NIKO BONGO, NA SIJAWAHAI KULALAMIKA KUHUSU SHINDANO LAKO LILILOPITA. PIA SIJAWAHI KUONA HIZO COMMENTS ZA WADAU WA BONGO WANAOLALAMIKA ETI "WAMEONEWA"

    ReplyDelete
  5. MANCHESTER UNITED WANASHINDA 2-1 paultzn@gmail.com

    ReplyDelete
  6. MICHUZI, NAOMBA UNIKUMBUSHE NAMNA YA KUTUMA UTABIRI WA MATOKEO. NINA MAANA KWAMBA, TUNATUMA PAMOJA NA JINA KAMILI LA MSHIRIKI NA ANWANI YA MAHALI ALIPO?

    Asante sana,
    Kuuliza si ujinga, nadhani!

    ReplyDelete
  7. ARSENAL 2: MAN UNITED 1
    HIVYO MSHINDI ATAKUWA ARSENAL

    ReplyDelete
  8. Arsenal 1 Manchester 0 pendombe@yahoo.com

    ReplyDelete
  9. michuzi si ulisema hizo hela ni za mshindi wa milioni tatu? mbona umebadili? ni wewe au mdhamini ningependa kujua, na pili kwa mtindo huo malalamiko hayataisha kwani sisi kina dada pia tutalalamika kwa mfano mie ni mdau wa kutembelea hapa kila siku lakini hizo timu hata sijui ni za wapi zaidi ya kuzisikia tu, plse its not fair naomba ushindani ubaki palepale kwa mdau wa milioni 3

    ReplyDelete
  10. GAME ARSENAL ITAIBUKA NA USHINDI.
    ARSENAL 2: MANCHESTER 1

    sadock_graucy@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  11. Arsenal 1 - Man Utd 2. Mshindi Man Utd kama kawaaaaa. mkhambaita@yahoo.com

    ReplyDelete
  12. man-1 asenal- 0 delloali@yahoo.com

    ReplyDelete
  13. ARSENAL 2 MAN UTD 1 jmathayo@gmail.com

    ReplyDelete
  14. MANCHESTER 0: ARSENAL 0

    ReplyDelete
  15. Kaka Michu

    Arsenal 2 Man U 0

    ReplyDelete
  16. kaka hapa patamu lakini mambo yanabadilika....MANUTD 2-1 ARSENAL.
    BANTU(y_bantu@yahoo.com)
    no.7 wakuaminika

    ReplyDelete
  17. Manchester watashinda kwa 2-1, hivyo mshindi ni Machester. piusmicky@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  18. kama kawaida wapiga mizinga wa ashburton watapiga mizinga 3 kwa moja kutungua dege la man u na kuliangusha i.e 3-1 fabregas akipiga mzinga wa pili.,jana misoup umeona mwenyewe shughuli ilivyokuwa pevu, vijana wa anfield walilazimika kudefend kama vile wako ugenini!!!

    ReplyDelete
  19. Arsenal 0 na Man utd 0

    drsollomon@yahoo.com

    ReplyDelete
  20. arsenal 2 na man utd 2

    drsollomon@gmail.com

    ReplyDelete
  21. Arsenal 2 - 0 Man nawajua hata wafungaji ila sababu hukutaka tuwataje basi mi nakaa naloUtd.eakonaay@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  22. MANCHESTER UNITED 2 ARSENAL 0
    d_simiyu@yahoo.com

    ReplyDelete
  23. arsenal goli 2 man utd goli 1. chaoga27@gmail.com

    ReplyDelete
  24. Wee Michuzi jiandae kutumia hiyo pesa yangu ya kujazia Gas kwenye Range yangu Manchester atamshinda Arsenal kwa bao 2 kwa 1 na email yangu jogoo922@yahoo.com

    ReplyDelete
  25. MANU 2 ARSENAL-0

    maddidy@hotmail.co.uk

    ReplyDelete
  26. Wakarudi kimya kimya, wenye akili tukajua Azimio la Arusha ndo limekufa hivyo. ...... . Wamepata wapi hawa hizi hela? Mwingine, nani yule Askofu wa kigriki, akadai serikali yangu iko mfukoni mwake. ....bakora huyu, 6 alipoingia na 6 alipotoka, akamwonyeshe mkewe.

    ReplyDelete
  27. manchester mshindi, 3 kwa 2

    salehem@yahoo.com

    ReplyDelete
  28. manchester mshindi, 3 kwa 2

    salehem@yahoo.com

    ReplyDelete
  29. Arsenal 0 - 1 Man Utd
    Mshindi Man Utd : ottym@yahoo.com

    ReplyDelete
  30. Arsenal 2 Man United 1 mbutano@hotmail.com

    ReplyDelete
  31. manchester united watashinda 2-1 dhidi ya arsenal
    anase0611@hotmail.com

    ReplyDelete
  32. man utd 2 arsenal 0
    anase0611@hotmail.com

    ReplyDelete
  33. man utd 2 arsenal 0
    alaxy_tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  34. ARSENAL 2-2 MAN UTD

    ReplyDelete
  35. ARSENAL 2-2 MAN UTD

    ReplyDelete
  36. Arsenal 3,Man United 2
    mankimss@yahoo.com
    see u around next week

    ReplyDelete
  37. Manchester United 2 - Asernal 1

    chunguy2k@hotmail.com

    ReplyDelete
  38. arsenal 2 na man utd 1
    aminak2001@yahoo.com

    ReplyDelete
  39. man utd 4 arsenal 1
    ramadinho@hotmail.com

    ReplyDelete
  40. ARSENAL 2-1 MANCHESTER


    hamudii@yahoo.com

    ReplyDelete
  41. Arsenal 2- 1 Manchester united

    ReplyDelete
  42. Arsenal 0 Manchester United 1.Hayo ndio matokeo ya tarehe Novemba 3 Pale Emirates.Wapenzi wa Arsenal Msinimind,Mimi Ni Newcastle Damu na Washabiki Wa Manchester ni Wapinzani Wangu Namba Moja Lakini Ukweli Ni Kuwa Ma watashinda kwa Bao Moja tena second Half.tom1chiss@hotmail.com.

    ReplyDelete
  43. Manchester united 2-0 Arsenal slz1kx@yahoo.com

    ReplyDelete
  44. arsenal 1 man 1
    kimkunzire@hotmail.com

    ReplyDelete
  45. Man utd 2 Arsernal 0.
    bwagalilo@yahoo.com

    ReplyDelete
  46. Arsenal 2-1 Manchester United cathbert39@yahoo.com

    ReplyDelete
  47. Manchester United 2-0 Arsenal
    blasiokachuchu@hotmail.com

    ReplyDelete
  48. Man 1-0 Arsenal, Man U Winner

    ReplyDelete
  49. Arsenal 2-0 Man U
    paul_tata2003@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  50. Arsenal 1 Manchester United 0.nyasuluenock@yahoo.com

    ReplyDelete
  51. arsenal 0 man 0
    javelin75tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  52. arsenal watashinda kwa goli moja
    man utd 0 - arsenal 1

    ReplyDelete
  53. Michu hii mechi piga ua lazma itakuwa Man utd 2 Arsenal 1

    binay@hbc.ac.za

    ReplyDelete
  54. arsenal 2 man u 0

    nicknjo4@hotmail.com

    ReplyDelete
  55. Arsenal 3- Man United 2, mimi vensabe@hotmail.com

    ReplyDelete
  56. Sasa Michuzi,akipatikana zaidi ya mshindi mmoja ni nini kitaendelea maana nimeona watu kibao wametabiri sawa.
    Arsenal 3 Man UTD 1
    siokweli@yahoo.com

    ReplyDelete
  57. Daah !!hapa kazi hipo maana naona watu wengine wana mawazo kama yangu sasa hapo itakuwaje???kuhusu mshikoo????..maana sisi wengine vijukuu vya mtume tukisema kitu ndiyo kinakuwa hivyo hivyo..siku hiyo no doubt Arsenal 2 na MAN U 0.EMAIL a_bushiri@hotmail.com

    ReplyDelete
  58. Arsenal 2 Man united 1
    The former will be the winner-Arsenal.

    Katty.

    juma_10027@yahoo.com

    ReplyDelete
  59. Man United:2 Arsenal:2
    keza_clement@hotmail.com

    ReplyDelete
  60. Kama ni email tu bila jina mbona watu watapiga kura mara nyingi. Watu wengine wanaemail account zaidi ya 10. Kama ataziandika tu hapa bila jina lake basi watatumia zote.

    Je ni halali?


    Na pia wanawake na sisi stutalalamika. uye huku USA hata hatujui hayo.

    Sasa kama watu walio bongo walilalamika ukawasikiliza basi na wanawake tutalalamika kwasababu mshindi wa pili tena atakua mwanaume.

    Je hiyo ni halali?

    ReplyDelete
  61. Arsenal 1, Man United 0.

    rwehikiza@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  62. Arsenal 1 Man United 0 (aichi2000@yahoo.com)

    ReplyDelete
  63. ARSENAL 1-MANCHESTER UNTD-0
    wakudata@hotmail.com

    ReplyDelete
  64. ARSENAL 0- MANCHESTER 1
    fayepley@yahoo.com

    ReplyDelete
  65. MICHUZI NAOMBA NIKUPE WEWE PAMOJA NA WENGINE HUMU SOMO KIDOGO, WENGI HAWAJUI KWAMBA KATIKA SOKA UKIANDIKA ARSENAL VS MAN UTD- INAMAANISHA ARSENAL NDO MWENYEJI NA MAN U NDO MGENI SO KWA HIYO HAPO JUU UNGEANZA WEKA LOGO YA ARSENAL NDO IFUATWE NA YA MAN U KWAKUWA MTANANANGE HUO UTAPIGWA NDANI YA WANJA LA EMIRATES.

    ReplyDelete
  66. Japokuwa simpendi lakini Sir Alex ni mchawi katika michezo kama hii,
    Man UTD 3 Arsenal 1. isinikayona@yahoo.com

    ReplyDelete
  67. panga pangua arsenal anashinda.
    arsenal 2 man united 1
    mjaffer@tmail.com

    ReplyDelete
  68. panga pangua arsenal anashinda.
    arsenal 2 man united 1
    mjaffer@tmail.com

    ReplyDelete
  69. bigavanti@yahoo.com Manu 1 arsenal 4

    ReplyDelete
  70. Arsenal 1 Manchester 0 Frank @isimikinyi@yahoo.com

    ReplyDelete
  71. Manchester United 2 Arsenal 1
    pampula2007@gmail.com

    ReplyDelete
  72. Arsenal 2 manchester 1
    Rikkemike@gmail.com

    ReplyDelete
  73. Manchester 3 Arsenal 2

    ReplyDelete
  74. Manchester 3 Arsenal 2
    Pambula2007@gmail.com

    ReplyDelete
  75. Wajina! Naipenda sana Man utd ila ngoma matokeo ni:

    Arsenal 2 Man Utd 1.

    Arsenal atakuwa mshindi kwa goli moja zaidi.

    Nisalimie Kijiweni hapo kwenye Kahawa

    ReplyDelete
  76. Kwanza napenda kukwambia kuwa mimi sio mpenzi wa timu hata moja kati ya hizo lakini Manchester 1 na Arsenal 0 ndio matokeo sahihi kutokana na jinsi wanavyocheza wote kwa sasa

    ReplyDelete
  77. Arsenal 3 - Man u 1
    tzgentleman@hotmail.com

    ReplyDelete
  78. Manchester Untd 2 - Arsenal 2
    denzel0@yahoo.com

    ReplyDelete
  79. manchester utd 3 - arsenal 1
    Chapakazi120@yahoo.com

    ReplyDelete
  80. ngoma itatoka droo
    lakini arsenal watakuwa wanaongoza kwa magoli mengi

    ReplyDelete
  81. Arsenal...1
    Man u.....0

    jhizzafour@yahoo.com

    ReplyDelete
  82. Arsenal 2 Man United 1
    SWEETCONSMU@YAHOO.COM

    ReplyDelete
  83. Arsenal 2 Man United 1
    Email:Sweetconsmu@yahoo.com

    ReplyDelete
  84. Arsenal 2 - ManU 0

    Francis aka Gooner

    ReplyDelete
  85. Hi michuzi mshindi atakuwa manchester united atafunga 1 Arsenal 0

    ReplyDelete
  86. Hi michuzi pole na kazi mshindi ni manchester united atashinda 1 arsenal 0

    ReplyDelete
  87. manchester United 2 Asenal 1
    zasworld@yahoo.com

    ReplyDelete
  88. ManU 3 Arsenal 1- drtony@gmail.com

    ReplyDelete
  89. Arsenal 2 Man 1- a.leonard3@pgrad.unimelb.edu.au

    ReplyDelete
  90. Arsenal 0 - Manu 2(Full time)
    josephjr18@hotmail.com

    ReplyDelete
  91. Manchester United 1
    Arsenal 0
    Mshindi Manchester United!

    Michaelmoretti79@hotmail.com

    ReplyDelete
  92. manchester 1 arsenal 0

    mashikolo@yahoo.com

    ReplyDelete
  93. arsenal 1 manchester 1

    hamadii@hotmail.com

    ReplyDelete
  94. mancester 0 arsenal 3

    kilawila@omantel.net.om

    ReplyDelete
  95. Arsenal 1 Man United 1
    hjmwanga@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  96. Manchester United 2 Arsenal 0
    mwafatime@yahoo.com

    ReplyDelete
  97. MICHUZI EH,KWA JINSI NILIVYOPANIA HIZO DOLARI NGOJA NIENDE KWA BABU KWANZA MLINGOTINI NIKAPIGE TAWILE NIKIRUDI NITAKUPA MARISALTI.

    ReplyDelete
  98. arsenal itashinda kwa goli moja kwa mtungi wa manutd
    arsenal 1 man utd 0

    anaelisem@hotmail.com

    ReplyDelete
  99. arsenal 2 manutd 1
    hivyo arsenal watashinda

    ReplyDelete
  100. arsenal watashinda
    arsenal 2 man utd 1
    elin2208@hotmail.com

    ReplyDelete
  101. man utd 3 arsenal 0
    hivyo man utd atashinda tuu

    asem.tz@gmail.com

    ReplyDelete
  102. Arsenal 2
    Manchester United 4
    mosonga2002@yahoo.com

    ReplyDelete
  103. manchester united 2 arsenal 1

    ReplyDelete
  104. manchester unietd 1 arsenal 1
    hakuna mshindi
    anase0611@yahoo.com

    ReplyDelete
  105. manchester united 2 arsenal 2
    hiyo ni suluhu babu
    asem.tz@gmail.com

    ReplyDelete
  106. JAMANI SIWAFICHI MAN UTD GAME HII ANAUWAWA KWA IDADI YA MABAO 2-1 ARSENAL ANACHUKUWA POINT ZOTE TATU NA KAMA HAMUAMINI HIYO ITAKUWA BAADA YA MCHEZO WA JUMAMOSI.

    ARSENAL DAIMA USHINDI NA MSIMU HUU LAZIMA TUCHUKUE UBINGWA WA MICHUANO YOTE ULAYA.

    NAWATAKIWA SHINDANO JEMA LICHA YA MIMI KUWEPO NDANI.

    shebbykondo@hotmail.com

    ReplyDelete
  107. Arsenal 2,man unt 1

    i.kasaji@yahoo.com

    ReplyDelete
  108. aseno 0 - manu 0 materego9@gmail.com

    ReplyDelete
  109. Arsenal 1 - Machester United 2

    revdevm@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  110. Arsenal 1 - Manchester United 2

    revdevm@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  111. yaani hiyo haki ya mzungu tena arsenal hawaponi..manchester united lazma ashinde halafu kwa bao moja tu kwa mtungi

    so 90th min.
    man utd 1 arsenal 0

    anasematee@gmail.com

    ReplyDelete
  112. man utd 5 arsenal 2
    man utd lazma washinde

    anase0611@yahoo.com

    ReplyDelete
  113. man utd wastashinda
    man utd 4 arsenal 2
    asem.tz@gmail.com

    ReplyDelete
  114. arsenal 3 man utd 2
    alaxy_tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  115. arsenal 0 manchester united 2

    lumsa3@hotmail.com

    ReplyDelete
  116. arsenal 0 manchester united 2

    lumsa3@hotmail.com

    ReplyDelete
  117. man utd 2 arsenal 0

    ReplyDelete
  118. man utd 2 arsenal 0
    naza_ndekia@yahoo.com

    ReplyDelete
  119. Arsenal 1 - 0 Man utd
    dasshebby@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  120. kwani matokeo hamyajui?mwendo wa nne nne tu, man 4, arsnal 2. vnn197@yahoo.com

    ReplyDelete
  121. arsenal 2 man utd 1
    aquaticturtlelovers@yahoo.com

    ReplyDelete
  122. Arsenal 2 Man utd 0 hmugeta@gmail.com

    ReplyDelete
  123. man utd 2 arsenal 1
    mwenzenu-tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  124. MAN UNITED 1 ARSENAL1
    NGOMA NI SULUHU
    nyamtondostar@yahoo.com

    ReplyDelete
  125. Man 2 Arsenal 0
    nondo1978@hotmail.com

    ReplyDelete
  126. Arsenal 1 Man 1
    Hakuna mbabe
    harambe007@yahoo.com

    ReplyDelete
  127. Manu4-arsen 1 as usual
    xlrush04@yahoo.com

    ReplyDelete
  128. Utabiri wangu unaonyesha mchezo utakuwa mgumu sana-ARSENAL 2 MAN U 2 ben_kor@msn.com

    ReplyDelete
  129. Wadau: Arsenal 2 Man U 1
    Mi nshaenda Bonde for this one.

    ReplyDelete
  130. Annoy #2 (Kasera frm Kansas city) Acha uongo kwamba ukiwa USA huwezi kuona premier ama ligi nyingine. You can subscribe channels and watch all games, huna mkwanja nini ndugu ama Kansas city hakuna cable??? By the way, hata sisi tupo hapa and we follow each and every game. I guess ni kazi za mabox kutwa!! but still you can record on tivo or HDDVR!!! so usijishaue papuuuu!! ndo nyinyi mwatokea sehemu zenye mahindi tuuu halafu mkifika Bongo eti mwapiga watu bao!!!! ulimbukeni tuu huo Tuache Wabongo.

    ReplyDelete
  131. Good luck to all competitors!

    ReplyDelete
  132. Arsenal 0 Man United 0
    Email: omkangara@yahoo.com
    Ngoma Kapa!

    ReplyDelete
  133. BRAZZA MICHU,

    NGOMA DROO HII, 2-2

    samchom@gmail.com

    Kansas City

    ReplyDelete
  134. Kwa maoni yangu, naona Man 3 Arsenal 2

    buba_esp@hotmail.com

    ReplyDelete
  135. Man 1
    Arsenal 1
    betty_dec@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  136. Man 2 Arsenal 1
    davjoel1992@yahoo.com

    ReplyDelete
  137. Man 0 Arsenal 1

    lutejunior2006@yahoo.com

    ReplyDelete
  138. arsenal 1 Man utd 1
    bhazali@hotmail.com

    ReplyDelete
  139. asernal 1 man 1; joehous@yahoo.com

    ReplyDelete
  140. Arsenal 2-1 Man U
    sugefield@yahoo.com

    ReplyDelete
  141. Arsenal 2-1 Man U
    sugefield@yahoo.com

    ReplyDelete
  142. Man U 1 Arsenal 0
    kimori88@yahoo.com

    ReplyDelete
  143. Arsenal 2 Man U 1

    neemaoswald@yahoo.com

    ReplyDelete
  144. man united 3 Alsernal 2
    Talmuru Issa
    tiaktun@yahoo.com

    ReplyDelete
  145. Manchester United 3; Arsenal 0

    ardenkitomari@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  146. ArsenaL 1 Man U 1
    kindic@yahoo.com

    ReplyDelete
  147. arsenal 2 - man u 0

    Julius Rwegasira

    julius.rwegasira@seymour.co.uk

    ReplyDelete
  148. ebwana michu siku hiyo ngoma bila bila...hivyo hakuna mshindi
    man utd 0 arsenal 0
    asem.tz@gmail.com

    ReplyDelete
  149. arsenal 6 man 2

    nicknjo4@hotmail.com

    ReplyDelete
  150. man utd 1 arsenal 1
    hamna mshindi siku hiyo
    anaelisem@hotmail.com

    ReplyDelete
  151. zamdaumugisha@yahoo.com Arsenal 3 Man utd 3

    ReplyDelete
  152. manutd 4 arsenal 1
    man utd hawana mpinzani lazima washinde tuu jamani
    anasematee@gmail.com

    ReplyDelete
  153. Arsenal 1 Man U 1

    dr_anthonyl@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  154. Man U 2 na Asernal 1.mhandolucy@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  155. arsenal washika bunduki lazima watungue mtu
    man utd 0 arsenal 1
    alaxy_tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  156. man utd 2 arsenal 0
    hivyo natabiri lazma man utd washinde
    anase0611@hotmail.com

    ReplyDelete
  157. natabiri
    man utd 2 - arsenal 2
    manu2208@hotmail.com

    ReplyDelete
  158. anase0611@yahoo.com
    natabiri man utd watshinda
    man utd 5 - arsenal 1

    ReplyDelete
  159. man utd 5 - arsenal 2
    asem.tz@gmail.com

    ReplyDelete
  160. man utd 2 - arsenal 4
    alaxy_tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  161. ARSENAL 1 AND MAN U 1
    nocha_sebe@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  162. mie naona draw 0-0
    eddisontz@yahoo.com
    ahmad

    ReplyDelete
  163. mhh kweli wa tz tunapenda pesaa, hivi michuzi katika kumbukumbu zako kuna topic hata moja imewahi kufikisha comments zaidi ya 150,

    hii chiboko juu yangu ni comments 166, na hii yote ni pesaa, anyway pesa ni sabuni ya roho na kwa vile mie ni m tz pia ngoja nitabiri, Man 1-Arsenal 0

    ReplyDelete
  164. Man utd 2 Arsenal 1
    d_torani@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  165. Arsenal 2 Man utd 1
    jjmarumbo@yahoo.com
    Arsenal oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  166. ARSENAL 0-2 MAN UNITED
    ngomea@yahoo.com

    ReplyDelete
  167. Arsenal 1, Manchester 0
    Upoooooo!
    mninga2001@yahoo.com

    ReplyDelete
  168. ARSENAL 2-O MAN UNITED
    fredmbando@yahoo.com

    ReplyDelete
  169. The Gunners will defeat Red Dev'lz i.e

    Arsenal 2-1 Man U

    sugefield@yahoo.com

    ReplyDelete
  170. Man 2 Arsenal 1
    pretlue25@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  171. Arsenal 1 man u 0

    kahenaki@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  172. ARSENAL 1 MAN U 0
    goli litafungwa na ROSISCY
    ni mimi
    hopemgoba@yahoo.com

    ReplyDelete
  173. ARSENAL 2 MAN U 0
    0787-878703

    ReplyDelete
  174. ARSENAL 2 MAN UNITED 0
    MAGOLI YOTE YATAFUNGWA KIPINDI CHA KWANZA
    felixhaule@yahoo.com

    ReplyDelete
  175. ARSENAL 2 MAN UNITED O
    MAGOLI YOTE YATAFUNGWA KIPINDI CHA KWANZA
    felixhaule@yahoo.com

    ReplyDelete
  176. ARSENAL 2,MAN UNITED 0
    MAGOLI YOTE YATAFUNGWA KIPINDI CHA KWANZA
    felixhaule@yahoo.com

    ReplyDelete
  177. Manchester 1 Arsenal 1

    jnkya@yahoo.com

    ReplyDelete
  178. Manchester2 Arsenal0
    acheni20002000@yahoo.com

    ReplyDelete
  179. Mr. Michuzi kwa uchambuzi wangu wa kina wa wachezaji wa timu zote mbili, Man Utd na Asernal, mechi hiyo itaisha kwa suluhu ya mabao 2-2

    Asante,
    samballu2002@gmail.com

    ReplyDelete
  180. man utd 0 - arsenal 1
    alaxy_tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  181. Baada ya dk 90 matokeo yatakuwa kama ifuatavyo:
    Man U-1: Arsenal 0
    mipawajoseph@hotmail.com

    ReplyDelete
  182. asem.tz@gmail.com
    man utd 1 arsenal 2

    ReplyDelete
  183. manutd 2 arsenal 3
    hakika10@hotmail.com

    ReplyDelete
  184. man utd 1 arsenal 3
    alaxy_tz@yahoo.com

    ReplyDelete
  185. jamani acheni ubishi man utd lazma washinde japo kamoooja tuu
    man utd 1 - arsenal 0
    anase0611@hotmail.com

    ReplyDelete
  186. Manchester 2-1 Arsenal

    cmathayo8169@gmail.com

    ReplyDelete
  187. Arsenal 1 man 1, droo hiyo

    mrmaseler@yahoo.com

    ReplyDelete
  188. Arsenal 1 man 1, droo hiyo babaake

    mrmaseler@yahoo.com

    ReplyDelete
  189. Michuzi ee!! nimechekeshwa na anony aliyesema spesa sabuni ya roho, kwa kweli, yaani zaidi ya posts 190? ama kweli.

    Ebu fanya kuahirisha hili shindano, au mfadhiri agome ee? ili tuone itakuwaje. Ha ha ha waosha vinywa msintoe roho mie

    Tehe tehe tehe

    ReplyDelete
  190. Michuzi ee!! nimechekeshwa na anony aliyesema spesa sabuni ya roho, kwa kweli, yaani zaidi ya posts 190? ama kweli.

    Ebu fanya kuahirisha hili shindano, au mfadhiri agome ee? ili tuone itakuwaje. Ha ha ha waosha vinywa msintoe roho mie

    Tehe tehe tehe, wengine wanatuma mbilimbili ili kuhakikisha zinaingia. salalalaaaaaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  191. kaka michuzi mm nasema hapa kitakachotokea ni suluu tu ya 1-1
    george hapa Philadelphia USA

    ReplyDelete
  192. ARSENAL 3 - 0 MAN UTD
    maalimkondo@cloudsfm.co.tz

    ReplyDelete
  193. HIVI MICHU UPO MAKINI KWELI NA MPAMBANO HUU, NINAVYOJUA MIMI NI KWAMBA TIMU MWENYEJI HUWA INAKUWA YA KWANZA, SASA INAKUWAJE HAPA MAN UTD UMEWAWEKA WA KWANZA ILI HALI WAO WANAKWENDA EMIRASTES SIKU HIYO?

    ARSENAL WALISTAHILI KUWA WA KWANZA KWA SABABU WANAKUWA HOME,M HEBU ANGALIA VYEMA HUO MPANMGILIO WA LOGO ZA HIZO TIMU ULIVYOUWEKA KAMA VIPIU BADILISHA SIO INATOKEA MTU ANASHINDA ALAFU UNASEMA SABABU ZA MITEGO YAKO, BORA TUSDHTUKE MAPEMA.

    ReplyDelete
  194. Man 1 Arsernal 1
    calycosb@hotmail.com

    ReplyDelete
  195. Manchester wins 0-2
    -peternali@hotmail.com

    ReplyDelete
  196. man untd 2 arsenal 1

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...