leodegar chilla tenga

kamati ya shirikisho la soka nchini imemteua rais wake leodegar chilla tenga kugombea nafasi ya uenyekiti wa shirikisho la soka kwa nchi za afrika mashariki na kati a.k.a cecafa katika uchaguzi mkuu utaofanyika desemba 7 kabla ya kuanza kwa michuano ya nchi hizo jijini dar. shime mabalozi wa nchi hizo mpigieni kampeni tenga ashinde tuendeleze soka la eneo hili la afrika

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tumuungeni mkono leodgar Tenga.jamani mnakumbuka enzi zao?Leornad tenga,Jela Mtagwa na juma pondamali mensah!!!hiyo ndio Yanga ya enzi kubwa.Gooo Tenga tuko nawe.
    by msufini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...