mfungwa haruna gombellar akiwa analindwa na maofisa usalama wa magereza wakati wa hafla ya kutunukiwa shahada yake leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hapo huyo jamaa kaanzisha uhasama na maafisa wa magereza,yeye ana digrii maafisa hawana.Huyu jamaa kafungwa miaka 50 je alikua na kesi gani?Huyu jamaa alikua anahudhuriaje shule au ananyaje masomo yake maana sero hakunaga muda kabisa.Huyu jamaa kapata digrii ya nini?

    Michusi toa majibu.

    ReplyDelete
  2. UJUMBE KWA ASKARI
    Mfungwa amepata degree.Hii ni challenge ya hali ya juu sana.Sina haja ya kueleza hali na uhuru wa mfungwa vikoje,kwani wanakijiji wote tunaujua au kuuhisi.Swali langu lipo kwa hao askari,Je,ni lini na nyie mtapata degree au cheti chochote???wapo watakao sema hawana muda,lakini ukipita muda wote wako kijiweni wanacheza bao na kupiga Slow match.
    Nina uhakika hao maafisa wa jeshi waliosimama hapo wote elimu yao ni chini ya form six.Kwa nini??Kwa mujibu wa sheria za jeshi anayeenda escort ni mwenye cheo cha private/Pc/warder na wanakuwa chini ya mwenye cheo cha Non Commissioner Officer-NCO.Na takwimu zilizopo sasa hivi form six wote ambao ni askari magereza wana cheo cha NCO.So nyie askari anzeni shule.Haiwezekani mfungwa wenu a-graduate nyie mkae tuuuuuuu.No.Nawashauri kwa nia njema kabisa muanze shule.

    ReplyDelete
  3. Hii ni hatua kubwa sana kwa maisha ya wafungwa. Lakini inapaswa iwe challenji kwa askari wetu ambao wengi wao elimu yao ni ya chini sana. Amefungwa kwa kosa gani?

    ReplyDelete
  4. Jamaa jasiri huyo! Sura kama Dr. Kiiza Bisigye wa Uganda aliyegombea Urais na Museven last election du!!

    Halafu nasura ya kijeshi au kipolisi, sina hakika lakini yaweza ikawa mambo ya utumiaji silaha. Mjeshi sana huyu kuliko hata hao askari wanaomlinda.

    Hongera Man!

    Sasa Michuzi print hizi comments mtumie basi huko jela ajisikie, aanze Masters then Phd!! Ni Muhimu sana lazima aendeleze historia.

    Hongera mke na watoto kwa kumtunza baba yenu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...