wafanyakazi wa idara za habari katika ofisi za umoja wa mataifa zilizoko dar walipotembela vyombo mbalimbali vya habari dar. wa tatu shoto ni afisa uhusiano wa daily news

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Asante Michuzi,
    Namuona school mate wangu Usia Nkhoma (Kibosho Girls, 1989-1992). Tafadhali naomba tuwasiliane kupitia eliaineny@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. Jamani huyo dada hapo mbele alisoma Kibosho girls nilikuwa form 1 nyerere alikuwa form 3 skirt za njano namkumbuka ila jina limenitoka jamani nakumbuka enzi za mother consolata kuhamka saa 10 mwalimu temba,shayo,asenga matron mwenye matege mnoko huyooo ahaaa salamu kwa wote ex kibosho girls umenikumbusha mbali sana kaka michuzi

    ReplyDelete
  3. Pundamilia na usafiri wake

    ReplyDelete
  4. Huu umoja wa mataifa ni wanawake tu?

    ReplyDelete
  5. Huyo mwenye kitenge sio Anti Flora -Flora Wingia wa The Guardian?
    Je anony hapo juu anamuulizia yeye?

    ReplyDelete
  6. Usia unaweza ukampata kupitia email yake nkhomausia@yahoo.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...