Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. TAARIFA TOKA BIG BROTHER AFRICA 2:
    ----------------------------------
    Wadau usiku wa kuamkia leo na siku nzima ya leo ilikuwa safi sana. Kwa ujumla Richard sasa nafasi yake ya kumpiku mshindani wake mkuu Offunea wa Nigeria imeongezeka.

    Kwa ufupi Offuneka alikuja na strategy ya Cherise (mshindi wa shindano lililopita). Strategy yenyewe ni kujifanya mama wa nyumbani kwa kusaidia kupika, kusafisha nyumba na kutojiingiza katika vitendo vya ngono. Mwanzoni wakati watu wako wengi alifanikiwa kujenga hiyo taswira.

    Lakini jana bwana amechoka kubana. Hatimaye akamkamata dogo Richard amsugue kidogo. So the tough cookie has crumbled and all hell has broken loose.

    Tembele forum yetu wadau wa Big Brother ushuhudie jinsi washabiki wa Rich tunavypchonga leo. Yaani hata washabiki wa Yanga hawaoni ndani.

    Address ni http://www.mnet.co.za/profiles/bba/ForumListing.aspx?bid=10&tid=9080

    Katika mtiririko usiotarajiwa wa matukio waendeshaji wa Big Brother wamekuwa wakihaha kufunika mambo yaliyojiri usiku wa kuamkia leo. Japo waandaaji hao hawajatoa tamko rasmi kwa nini wanafanya hivyo, sababu kubwa inaweza kuwa ni kujisahau kwa Big Brother kutoonesha kitendo alichofanya Offuneka kwa Richard kwa sababu kilivuka mipaka ya umri. Show ya kawaida ya Big Brother ni kwa ajili ya watazamaji wa miaka 16 na zaidi. Mipaka yake ni picha za uchi na lugha chafu. Katika show ya kawaida kama jana hairuhusiwi kuonesha vitendo vya ngono. Kwa hiyo kitendo cha Big Brother kusahau kuminya kamera wakati Offuneka na Rich wanakamua kilivuka mipaka.

    Kwa wanaopenda kuangalia vitendo vya ngono (kama vile wazee wa theutamu.blogspot.com) kuna show maalumu ambayo haifichi kitu kila usiku wa Ijumaa.

    Lakini kwa ujumla Richard sasa ameingia kwenye hatua ya kupigiwa kura za ushindi na sio za kutolewa tena. Upigaji kura wa kuamua nani awe mshindi utaanza Jumatatu hii.

    ReplyDelete
  2. Issa, ongezea hii kwenye post yangu ya taarifa ya Big Brother.
    ---

    Ukitaka kupata mkanda wa kilichotokea check hapa:

    http://bbafrica2.wordpress.com/2007/10/27/it-all-started-with-a-little-fishing

    ReplyDelete
  3. Issa, ongezea hii kwenye post yangu ya taarifa ya Big Brother.
    ---

    Ukitaka kupata mkanda wa kilichotokea check hapa:

    http://bbafrica2.wordpress.com/2007/10/27/it-all-started-with-a-little-fishing

    ReplyDelete
  4. Duh hayo magari ya nguvu hivyo mnayaendeshaje? Kwa vile na hisi hiyo price ni per liter right? mh nikifanya mahesabu naona kama gallon moja ni zaidi ya dollar 4 ni kweli au nimekosea? wahenga nisaidieni.

    ReplyDelete
  5. KAMA HIYO NDO BEI YA LITA MOJA...THEN I AM PROUD TO BE LIVING IN THE U.S of A
    kasera
    kansas city

    ReplyDelete
  6. TUNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUCHIMBA MAFUTA YETU WENYEWE NA SISI TUNUFAIKE NA KUUZA NCHI ZANJE..LAKINI KUMBUKENI KWAMBA HIZO KAMPUNI ZENYE TENDA YA KUTAFUTA MAFUTA NDIZO "KAMPUNI MAMA ZINAZO TUUZIA MAFUTA" WHAT THE FU***K D U TH!NK !$ G@@N@ HAPPEN ?? JE WATAPATA FAIDA KUTUCHIMBIA MAFUTA YETU WENYEWE "TUJITEGEMEE" AU KUTUUZIA MAFUTA WAINGIZE FEDHA NYINGI TUWATEGEMEE WAO KUCHANGIA BAJETI YETU SO WE CAN GET TO THE NEXT SH!!T ? MAFUTA YAMECHUKUA MUDA (MIAKA MINGAPI ?) GANI NA KAMPUNI NGAPI NA $$ NGAPI ZIMETUMIKA KUTAFUTA ? MPAKA LEO HII. MWENYENZI MUNGU TUNAKUOMBA MSAADA WAKO..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...