KESI NAMBA 1474 YA 2007 MAHAKAMA YA KISUTU, DAR
SHAILESH PRAGHJI VITHLANI

ANATAKIWA KUISAIDIA POLISI JUU YA TUHUMA ZA UNUNUZI WA RADA. UKIMUONA RIPOTI POLISI KARIBU YAKO AMA PIGA SIMU INTERPOL 33-472 44 700

http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2007-11-09T10_37_26-08_00

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mnamuonea Tu Mbona Kama Hawa Tunao Kibao Tu Hapa Bongo Au Kawazidi Mgao??? Muacheni Alifuata Kanuni Za Chukua Chako Mapema Tatizo Nn?.Kazi Kweli Kweli

    ReplyDelete
  2. Dah kusaidia Polisi usisikie,Labda polisi wa huku Ughaibuni nako sina hakika ukiwasaidia inakuwaje,lakini wa Home kule ni balaa asee usisikie kuwasaidia,utajuta!Msaada hugeuka majuto!!

    Ila Sasa this rada case is becoming more serious,Maana wakati jamaa wananunua sijui hawakusikia kelele ama ndio kutia Pamba masikioni??Kwa mtaji huu tutajua mengi ngoja tu!!

    Huyu Vithlani na Mwenzake Somaiya Inabidi waelezi Jamaa gani wa Serikalini Wameshirikiana nao maana sio wao wenyewe!!

    Nilisoma na Mtoto Mmoja Wa Vithlani..Pambaf alikuwa anaringa sana maana alikuwa na fedha kweli,kumbe alikuwa ala pesa za walipa kodi wavuja jasho wa Tanzania ambazo ziliibiwa na Baba Yake!!

    We Need Accountability in Tanzania and Africa Generally!!

    God Bless Tanzania,God Bless Africa!!

    ReplyDelete
  3. FISADI MWINGINE! WASIENDE MBALI, YUKO INDIA, PAKISTAN, BANGLADESH AU INDONESIA. IT VERY EASY TO HIDE ON THESE CONTRIES IF U HAV A BRIT PASSPORT. KUMBUKA KAMA ANA BRIT PASSPORT HE PROBALY POSSES OTHER FIVE OF AFRICAN COUNTRIES NA CANADA OR AUSTRALIA. NA WANAOMTAFUTA WASITURIDHISHE TU TUNATAKA KUSIKIA ACCOUNT YAKE FROZEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! THAT IS WHAT MATTERS FIRST, IN USA TAKING CARE OF THIS WHILE THEY DEAL WITH U.

    ReplyDelete
  4. HUYO NI MPAMBE TU.............. ANAE HUSIKA MNA MJUA

    ReplyDelete
  5. SASA WAJAMANI TUNAMTAFUTA MTU WAKUWASAIDIA POLISI.............

    WAKATI MKAPA YUPO NYUMBANI

    YEYE NDIYE ANAYEFAA KUSAIDIA POLISI

    ReplyDelete
  6. SASA MKAPA MBONA HAKAMATWI WAKATI YEYE NDIYE ALIYETIA SAINI?????

    ReplyDelete
  7. ndo mnamtafuta leo wakati mmeshamtafutia sehemu ya kujificha, hapo mnawapunga macho wananchi na bongo yalivo mazozo kweli yataamini

    ReplyDelete
  8. Kama muuaji aliachiwa je unategemea huyu atakamatwa,hii ni danganya toto tu,kwani yeye ndiye aliyeidhinisha malipo.In procurement prcedure everything is clearly stipulated under Procurement Act.Sasa kama taratibu zote zipo na zikavunjwa basi waanze kushughulikiwa wote waliohusika na mchakato mzima wa ununuzi wa Rada hiyo.

    ReplyDelete
  9. watanzania tuache usanii. hii ni kiinimacho. tumesahau jinsi Mkapa alivyolishulipalia suala hili. alivyolisisitiza hata kutoa maneno ya kashfa kwa waliolipinga. alikuwa kama mbogo aliyejeruhiwa. kumbe alikuwa analinda maslahi yake. sasa kwa nini yeye asiwe wa kwanza kuisaidia polisi. je ameshaojiwa. TUTALINDANA MPAKA LINI. TUTAOGOPANA MPAKA LINI. nakupongeza uliyesema tufros account

    ReplyDelete
  10. Kamateni wote basi, hata waliosaini mkataba wa IPTL ambao unatuzidia machungu ya maisha mpaka leo na utaendelea kuvi-affect hata vizazi vyetu vingi vijavyo siku za mbeleni..

    Mungeanza kumkamata aliyesaini mkataba wa umeme wa IPTL kwanza kabla ya kumfukuzia Vithlani... Tunadanganyana tu hapa.

    Halafu tunakua hatuna aibu kusema tutaleta "Maisha Bora kwa Wote". Kama kweli tuko serious basi tungeyaboresha wakati ulee kabla ya kushika kalamu ya kusaini mkataba wa IPTL.

    ReplyDelete
  11. Kwa kweli hii inji IMEOZA.....yaani hilo CHANGA LA MACHO analengeshewa nani.....ndio hatukatai kwamba sisi ni WADANGANYIKA ila kwa hili TUMESHTUKA.....Yaani mumchukue ponjoro, mmeshamlipa pesa zake kwa kukubali kuchafuliwa jina lake, mmemsafirisha kwenda kumficha.....halafu sasa (huku mmeziba pua)...."ANATAFUTWA NA POLISI".....wanga wakubwa nyie!!!

    ReplyDelete
  12. ACHENI HIZO NYINYI.MMESHAMPA KAPESA
    KAKE SASA ANAKULA MAISHA YAKE HAPA
    (JINA KAPUNI) ETI MNAONGEA KWA SAUTI
    NYEMBAMBA ''ANATAFUTWA NA POLISI''
    YANI HIVI MNADHANI WATU HAWANA AKILI EEE.KWENDENI HUKO.MSHINDWE
    NA MLEGEE WACHAWI WAKUBWA.MBONA
    HAMJAMKAMATA BWM? YAONE VILE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...