Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Usijifagilie hilo si lako hapo ni michuzi ngawira bwana

    ReplyDelete
  2. kumbe mzee mambo yako sio mabaya,una mchuma tena umeutia chata la jina lako.hongera sana mzee

    ReplyDelete
  3. Kwa elimu uliyonayo huwezi kununua gari ukaandika jina kishamba hivyo. Ila naomba kujua Michuzi ni ukoo au Jina la Babu au lina historia gani kwako?

    ReplyDelete
  4. Sikuhizi michuzi una kampuni ya kusambaza dikodiko michuzi mix! du si mchezo, ujasilia mali au mkulabita sijui mkukuta ! hongera.

    ReplyDelete
  5. HUYO MTU NI KIBOPA.....

    ReplyDelete
  6. MICHUZI KUMBE NAWEWE NI FISADI MKUBWA TENA WEWE WA KWAKO NI WAKWENYE MEDIA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...