miss tz 1995 emmily adolph akivishwa taji na miss tz 1994 aina maeda baada ya kushinda. kesho huko china miss tz 2007 richa adhia anapanda jukwaani kutuwakilisha katika miss world. tumuombee heri ashinde na kuletea taifa sifa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hapa Bro Michu naona unatutafuta maneno kutuletea picha kama hii. Mimi sisemi neno nangoje comments kutoka kwa wenzangu.

    ReplyDelete
  2. Kwa kanuni za uchambuzi na unusaji wa habari, hata kama habari ya Emmily ndiyo imetangulia, hapa habari ni ya Richa na si ya Emmily.Kwa kanuni hiyo hiyo tunasema si kila atanguliaye polisi ndiye mwenye haki!!
    OED

    Nyakatakule

    ReplyDelete
  3. michu nisaidie kwani hii picha imeleta mabishano tunaomba majina ya walioingia kwenye top 10 ya wakati wa aina maeda halafu, nipe majina yote ya walioingia siyo wakati wa Emily ni wakati wa Aina aliposhinda taji.

    Thks

    ReplyDelete
  4. mmh!!! kakondeana..we acha tu!

    ReplyDelete
  5. Anony wa 3.56, mimi nawakumbuka top 4. Alikuwepo mwenyewe Aina Maeda, Lucy Ngongoseke, Doto Abuu, Miriam Ikoa. Nafikiri pia kuna msichana alikuwa akiitwa Nzota na mdogo wake Eunice, ah wengine sikumbuki.

    ReplyDelete
  6. Wewe michuzi usitake kutuchanganya kabisa. Huyo RICHA unayetaka tumuoombee ashinde si angeeenda akawakilishe nchi yao ya INDIA kwenye hayo mashindano? Au siku wahindi walipokusanyika pale Karimjee kumpongeza wewe uliona katika ule mwaliko alikuwepo mtanzania hata mmoja au ndio unataka tena kutukumbusha madudu ambyo tulikuwa tushasahau? Chunga sana bwana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...