waziri mkuu mh. el akiwa na mkuu wa mkoa wa kagera na waheshimiwa wengine wa meza kuu wakiwapongeza wanakamati wa kagera dei kwa kazi nzuri. jumla ya milioni 100 keshi zilichangwa hapo hapo na pamoja na ahadi jumla ya shilingi bilioni 1.4 zilipatikana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Eeeh kweli hawa ndo wasomi tanzania nzima!!! wakora waitu, km vp ishu za namna hii zifanyike tanzania yote...its so sweet!!! hongereni wanakagera.

    ReplyDelete
  2. anon 10:37 kama vile ulikuwepo kichwani mwangu, basi waanzishe kila baada ya wiki kadhaa, DAY ya mkoa mwingine, ili sote tuendelee, haisaidii kuendeleza tu wakina NSHOMILE MPAKA UNIVERSITY.....tena hao ukiwaendelea ni sawasawa na 0, maana wataendelea kujipenda wao, wajijenge, wakae wakiwacheka wamakonde tu..tujiendele zote, KAGERA DAY,MWANZA DAY, ARUSHA DAY, LINDI DAY,IRINGA DAY etc etc

    ReplyDelete
  3. un gambira stupid infront of my waifu hawana utani....hata huku tuliko kwa wao ndio wanajua ukabila ukialikwa kwenye pati ya mhaya utajikuta mwenyewe the rest ni wahaya tu.......


    wow dola laki moja hapo hapo na million to come zikitumiwa vizuri mkoa huo utakua Dar soon

    Kila mkoa ungeiga hayo mbona tungekua mbali


    Tunataka singida day....

    ReplyDelete
  4. Off topic hivi one billion in zero 9 au 12? Thanks

    ReplyDelete
  5. walikua wangapi kuchanga hela zote hizo? huku tuliko ukitoa mchango zaidi ya dollar 10,000 lazima uonyeshe kwenye tax return ulipie gift tax au kama ni donation usave tax....

    wallah bongo tambarare hela zote hizo watu wanashika cash....check books no ni just cash...mh ndio maana hela zinapitia nje kwa nje na govt haicollect tax kabisa

    ReplyDelete
  6. Wewe nawe, ushalipa hizo tax au mashauzi tu! Maana sijui umeshatuma pesa Bongo mara ngapi, kwa ndugu, jamaa, kununua pengine nyumba, na kulipia ada watoto wa shangazi na mjomba umelipia kodi zaidi ya ile uliyokatwa ya income tax kwenye biashara au mshahara.

    Mimi najua wengine huwa wanapata taxi relief kwa kuchangia kwenye jamii, sasa kama mtu income yako umeishailipia tax na unapoamua kuitoa kwenye jamii tena ukalipe tax, mhu labda uchumi wa huko uliko maana taxi inabidi ziwe nyingi ili zilee wazee (wazee ni wengi kuliko vijana wanoweza kufanya kazi), vibinti vidogo vinavyozaa vinapofika miaka 16 ili vipewe allowance na mahali pa kuishi na serikali, wasiotaka kufanya kazi ambao wanapewa pesa ya kujikimu, na benefit za wakimbizi na benefits nyingine za kubembeleza watu wasome kama ni Ukerewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...