KAGERA DEI USIKU KUAMKIA LEO AMBAPO WAZIRI MKUU EL ALIKUWA MGENI RASMI ILIFANA SANA. MILIONI 100 ZILIKUSANYWA HAPO HAPO UKUMBINI DIAMOND JUBILEE NA PAMOJA AHADI ZILIKUSANYWA BILIONI 1.4 AMBAYO NI REKODI KATIKA MICHANGO YA KUSAIDIA MAENDELEO YA MIKOA. DAR ILIKUSANYA MILIONI 700 KWENYE MFUKO WA CHANGIA ELIMU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Safi sana wanakagera, mmeonyesha ushirikiano mzuri sana ambao unatakiwa ufatwe na watu wa mikoa mingine.

    ReplyDelete
  2. Mara zote wana-Kagera wanakuwa hawana masihara hata kidogo katika mambo ya elimu-nawapongezeni sana kwa hilo, na ni mfano wa kuigwa na baadhi ya mikoa mingine inayoona elimu kama kituo cha Polisi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...