richard apitishwa kinyemela mlango wa dipacha kukwepa vurugu lango la araivo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. nimeshtukia dili. Nadhani huyu jamaa kachukua kitu kidogo halafu yeye na familia yake wanaleta maneno ya ajabu ajabu ili magazeti yauzwe. Huyo Riki katulia tuli anamsubiri waserebuke. Hawa jamaa miyeyu. Jamaa pete bado ipo kidoleni kwikwikwi

    ReplyDelete
  2. huyu dogo LAZIMA ajiangalie kwa makini otherwise neema aliyoipata isije ikaleta balaa ! kuna ngoma nje nje bongo, sasa asione hiyo laki moja dollars ndio amefika peponi, itabidi awe makini sana na vishawishi, kujirusha nje nje maana wachawi ni wengi !

    Dogo nakushauri ! be careful who you hang out with, your sorroundings na mengineyo ( ningekushauri mengi iwapo utaniandikia cheki japo ya dollar 5,000 kijana) thats nothing ndani ya 100,000 !

    ReplyDelete
  3. Jamani mbona bongo nuksi?!!!Jamaa kapata dollar laki tu ndo basi sokomoko..Mbona watu kadhaa wamerudi bongo na pesa kama hizo na zaidi..Sasa itakuwaje hapo Hashimu(mcheza kikapu) atakapo chaguliwa NBA na mkataba wa dollar milioni kadhaaa..? Itabidi asishuke hapo Juliasi Kambarage Airpoti....!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...