kombo ya wadau mbalimbali waliohudhuria kagera dei usiku wa kuamkia leo diamond jubilei

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Kumbe dar kuzuri eeeh, navyojua mi kawaida wahaya ni weus kimtindo...sa nashangaa kuona hapo weupe kibao!!! mkorogo nini? au hao ni wanyembo!!!

    ReplyDelete
  2. watu wazuri sana tena wamepenza sana hasa hao akina mama,hahahaaaaa!
    bania basi na hii anko michuzi,hahahahaaa,michuzi kweli ni chuchuchu,sikujua lol,

    ReplyDelete
  3. Hahahahaa Michuzi nilipo sema wanawake wazuri ukaiweka ubaoni, wanawake wabaya hao michuzi nilikuwa nakupima tu na mimi ni chuchuchu kama wewe.wanawake wabaya hasa aliyepaka poda ya wazungu huyo.Hahahaha michuzi nimekupata hata usipo weka hiii sawa.

    ReplyDelete
  4. 2nd raw 3rd picgture what happend...hizi mega pixel zinatuumbua

    ReplyDelete
  5. Jibu kwa Anony. wa 12:11, hiyo facial mask! Siyo make-up. Inaelekea dada yetu alikuwa na haraka kiasi kwamba alisahau kuosha uso.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...