Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. NILIDHANI MIKATABA INAANDIKWA NA SISI(WANASHERIA NA WATAALAMU WA FEDHA NA WA MADINI WETU)WAKISSHIRIKIANA NA WAO ILI KULINDA MASLAHI YETU. SASA KAMA MIKATABA INAANDIKWA NA WAO, KWANINI WASIKAMUE KADRI INAVYOWEZEKANA?

    ReplyDelete
  2. wadau hi imekaaje nifafafanulieni:

    Kuhusiana na makampuni ya Barrick kutochangia maendeleo katika nchi yaliyowekeza, Obhrai, alisema Canada wana utaratibu wa kuchochea maendeleo, hivyo hata makampuni ya Canada yanapaswa kufanya hivyo kokote duniani wanakowekeza.

    ReplyDelete
  3. Ahh..kwa mara nyingine tena,ujinga wetu umejionyesha kiwaziwazi..nadhani hatufikirii kuzitumia akili na bongo zetu bali tunamwona huyo mzungu anazitetea haki zetu!!!tutajifunza lini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...