We are welcoming Tanzanians to our event, but they MUST register online or call us. They cannot just show up at the dinner because the room will be full!!! And we don’t want to turn anyone away!
they must either register online at
call us at 202.736.2239.

Nichet Smith Director,
Public Relations
Leon H. Sullivan Foundation
1800 K. Street NW Suite 1021 Washington,
DC 20006 202.736.2239 202.736.2226
Sullivan Summit VIII "The Summit of A Lifetime"
June 2-6, 2008
Arusha,
Tanzania
REGISTER NOW ONLINE!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Naomba kuuliza...

    Nani na kwanini anazawadiwa? Mwenyejibu naomba anielimishe tafadhali

    ReplyDelete
  2. Fundrising hiyo mwana, we nenda ukifikiri ni kuzawadiwa, utashaaa.

    ReplyDelete
  3. Kujiandikisha sio bure, ni $300.00 na ukiwa na mwenzio unakwenda naye ni $175.00. Mimi nilifikiri ni bure kwa sisi Watanzania. Sasa mimi nilipie $300.00 huo ni nusu mshahara wangu wa wiki moja kwa chakula cha usiku mmoja tu!!!!! Mwenye njia nyingine anieleweshe

    ReplyDelete
  4. KUna cha bure duniani? hamkujua? Hebu muulizeni Masanja Mkandamizaji atakwambieni Bure Kafa na wameshamzika!

    Nyie hamuoni wanavyopiga debe, ingekuwa bure si kungeshajaa, na wala msingetangaziwa , kwa wabongo ninvyowajua ingekuwa bure wangejaa marafiki, ndugu jamaa na mhu mhuuu! wa hao wanaowatangaziwa msingepigiwa debe na mngeuliza mngeambiawa kumejaa!!

    KALAGHA BAHOOO!

    ReplyDelete
  5. wazalendo hii event ni bure na wala msilete mambo ya kuwaogopesha watu wasiende.

    ReplyDelete
  6. FUND RISINGIIII?
    UBALOZI UNASHINDWA HATA KUSHEHEREKEA UHURU DAY.OH! BALOZI NYANGANYI HUKO WAPI,AFADHALI WEWE ULIKUWA UNATUJUMUHISHA.

    ReplyDelete
  7. Nilijaribu kujiandikisha na wakasema nilipe hiyo $300, lakini leo nimejaribu na kuandika address ya Tanzania, basi nikaandikishwa bure. Kwahiyo jamani basi mjiandikishe kwa wingi, kiingilio ni bure kama wewe ni Mtanzania.

    ReplyDelete
  8. Mnadanganyana tu washikaji, hata kama utajiandikisha bure cha moto utakikuta huko. Hambadiliki mnapenda vya bure tu, mngeambiwa kuna harusi mchangie mngekimbilia wenzenu wanataka mchangiane kwa ajili ya maendeleo mmeanza ooh kulipia dola 300, ooh ni mshahara wa wiki, nyie vipi mbona siwaelewi?
    Jiandikisheni na mhuzurie hamhui kuwa misaada tunaletewa huko TZ watu wanafanya fundrising za kufa mtu wazungu?
    Waigeni nanyi.
    Kila la heri.

    ReplyDelete
  9. YOU GUYS ARE COMPLAINING, WHILE SOME OF US IN NEED OF THOSE TICKETS. YOURS WASHINGTON DC NATIVE………….FULL KUJIACHIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...