video ya kwanza ya lady jd ilichezwa na mwanamuziki huyo na frank ambao usiku wa kuamkia leo waligongana pale kwenye kiota kipya cha machozi band kinachojulikana kama chinese club

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. best taratibu, mke wa mtu ni sumu, ooh angalia mwenyewe asije kufanya limao, ooh shauri yako, maana namuona mamaa kajiachia kabisa! hadi hapo hiyo kitop yake inakaa mbaya kidogo, noma best

    ReplyDelete
  2. kaka nimekuzimia ile mbaya
    uko wapi vile?

    ReplyDelete
  3. kaka nimekuzimia ile mbaya
    uko wapi vile

    ReplyDelete
  4. Dah! Frank huo mkono na huyo mke wa mtu inakuwaje?? haya mambo ya kizungu bwana!!............Kalonga!!

    ReplyDelete
  5. ASTAGHAFILULAHI!!!! SIYO BURE

    ReplyDelete
  6. ndugu zangu kuoa celebrity ni kazi kweli...maana atajifanya ni fans kumbe issue biyeeeee

    ReplyDelete
  7. BABU KAMA KAWAIDA YETU KUKUMBUSHIA SIO VIBAYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...