Iwapo Tanzania itafanikiwa kuingia kwenye kundi la timu 20, majaliwa ya kuwa wa kwanza au wa pili katika kundi letu la kwanza, basi tutakuwa tumejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza fainali za Afrika mwaka 2010 nchini Angola hata kama hatutafanikiwa kwenda Kombe la Dunia Afrika Kusini. Kwa nini? Kwa sababu washindi watatu wa kwanza wa kila kundi (kundi litakuwa na timu nne), watakwenda moja kwa moja kwenye fainali za Afrika. Sasa hapo tushindwe wenyewe tena.
Angalia hapo makundi yalivyo, halafu soma utaratibu wake utakavyokuwa, kwa Kimombo ili kuweka msisitizo.
Africa draw:
Group 1: Cameroon, Cape Verde Islands, Tanzania, Mauritius.
Group 2: Guinea, Zimbabwe, Namibia, Kenya.Group
3: Angola, Benin, Uganda, Niger. Group
4: Nigeria, South Africa, Equatorial Guinea, Sierra Leone.
Group 5: Ghana, Libya, Gabon, Lesotho.
Group 6: Liberia, Algeria, Senegal, Gambia.
Group 7: Ivory Coast, Mozambique, Botswana, Madagascar.
Group 8: Morocco, Rwanda, Ethiopia, Mauritania. Group
9: Burkina Faso, Tunisia, Burundi, Seychelles.
Group 10: Mali, Congo, Sudan, Chad.
Group 11: Togo, Eritrea, Zambia, Swaziland.
Group 12: Egypt, DR Congo, Malawi, Djibouti.
1. They will play six rounds of matches through 2008 with the 12 group winners plus eight best runners-up progressing to the last league stage.
2. The 20 remaining teams are to be divided into a final stage of five groups of four, with the resultant group winners going onto the World Cup in South Africa and the top three in each group qualifying for the 2010 Nations Cup finals in Angola.

Should South Africa finish top of their group, the runner-up would qualify for the 2010 World Cup.
Caf also used the 2006 World Cup qualifiers to determine the 16 Nations Cup finalists in Egypt the same year.
Africa are to have six teams at the World Cup finals for the first time.
-Mobhare Matinyi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Timu ya TANZANIA hua haiendi popote bwana usituzingue wewe,tutaishiaga ni yanga au simba zaidi hapo hamna tena.
    Kma unabisha naomba tuwasiliane baadaye.

    ReplyDelete
  2. Huyu mshkaji nafikiri si mzalendo, Tanzania sasa hivi kwa mpira tumepiga hatua sana, kilichobaki ni support yetu sisi waTZ ili wachezaji wapate moyo, na zaidi lzm tumfunge mtu siku hiyo, hakuna cha E'too wala nani, ni kipigo tu kama Buknafaso

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...