richard akipozi na mashabiki wake uwanja wa ndege wa sauzi kabla ya kupaa kuja dar jioni ya leo ambapo alipotua tu alikabidhiwa jezi ya taifa kama utakavyoona hapo chini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. jamani kaka yetu huyu richie ana damu ya kupendwa na wazungu sijui anawapa nini.lol. dont worry everything is gonna be alright mwammbie rickie 'no one' by alicia keys dedication to rickie

    ReplyDelete
  2. Aisee michuzi jamaa ndo tayari ameshinda dola laki moja yake huyo!
    good luck!!
    sasa vipi kuhusu droo yetu ya mshindi wa utabiri wa mechi ya aseno na manchesta ya dola mia tano sie walala hoi???

    ReplyDelete
  3. Sasa tuone kama na yeye ataitwa BUNGENI kama walivyoitwa Taifa Staaz!
    Kikao cha Bunge si bado kinaendelea?

    ReplyDelete
  4. ANGALIA USIJE UKAMTANI HUYO BIBI HAPO MAANA WE NI MTU WA KIFUPI CHA "kafia ulaya mazishi africa"
    ila hongera sana.

    ReplyDelete
  5. Nimeangalia picha zote za mapokezi mbona sijamuona JOEL BENDERA? Hakwenda kumpokea?
    Mbona alikwenda pale alipokuja yule ZE KOMEDI wa kutoka MAREKANI?
    Au kwa sababu Rich ni M-Bongo? Huu si ubaguzi huu?
    Wacheni kupapatikia WaMarekani tu!

    ReplyDelete
  6. Joel Bendera anajiheshimu, hawezi kwenda kumpokea kibaka!
    Huyu Kijana ni laana ambaye anhitaji msaada kutoka wodi ya psychiatry muhimbili...

    ReplyDelete
  7. Wewe Kwetu Mwanza acha wivu usio na maendeleo yanakuhusu nini kuandika hapa huyu Richard Kibaka!haya huna hilooO!!!!99.9 tunamsapoti wewe kalaga bao kubeba maboxi mwenzako kaula utajaza ndo maana huendelei.BIG UP RICHARD CONGRATURATIONS!!!!!!

    ReplyDelete
  8. wewe Anon wa 12:37 ... Hujaona lolote..Pesa ya DSTV huna kwanza LOL! Unamfagilia mbakaji, pole na dunia yote inakucheka na wafigiliaji wengine! Tazama kidogo kwenye mtandao upate elimu!

    Mwanangu, Tuliendelea zamani sana na tumestaafu na miaka 30! Try that!

    ReplyDelete
  9. Richard, na huyo mama wa picha ya chini naye ulim-nigerialize?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...