Mkubwa michuzi assalaam aleykum? naomba uniwekee hii kwenye web yako maana washikaji wanapitia wengi. Nawatafuta washikaji zangu kwa mara ya mwisho tulimaliza wote Mgulani Primary School 1990- Lusungu Mng`ong`o na Ferdinandi Nyaluchi kwa yeyote anaeyejua walipo hao jamaa plesase mail me!Thanx in advance kaka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. I know Lusungu Mungongo A.K.A Dj Oslus anaishi Chicago..Mwandikie email mwenyekiti wa chama chao cha TCA atakupa details za Lusungu (Oscar) mwenyekiti@tanzaniamiwestusa.org

    ReplyDelete
  2. Hujaweka email yako, tutakutumia vipi sasa hizo anuani zao?

    ReplyDelete
  3. nashukuru sana anon hapo juu nitawasiliana na mwenyekiti, mail yangu ni k.mnyalukolo@yahoo.co.uk

    ReplyDelete
  4. Lusungu will be contacting you thru your email.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...