Home
Unlabelled
miss zanzibar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah, kumbe nyie michuzi wazee wa zamani mlikua mnafaidi eeeh!!! manake nikiangalia hivyo vifaa na ukimwi kipindi hicho ulikua ni wakuusikia tu kwenye majira!!!!
ReplyDeletecheck kiatu cha miss znz ndo catalogue ya sasa......
ReplyDeleteWatoto wa kizanzibari wa ukweli. Ila jamaa wabishi sana, warudishe mamiss Zanzibar uone Tanzania tutakavyonyanyasa miss World. Ila itabidi mamiss wawe wanavaa mahijabu manake huko zenji wakiona vichupi watu lazma watoane macho! Hehehe
ReplyDeletemichuzi unatisha kweli hizi picha umezitoa wapi? maana kipindi hicho hata mtaji ulikuwa auna wa kununua kamera na kuanza kupiga nafikiri kipindi hicho ulikuwa unapigwa na umande wa kwenda kula mbungalai za shule ya vidudu hila mimi wana blog pamoja na michuzi unisadie majibu ya maswali haya tu
ReplyDelete1.kwanini mashindano ya umiss yalifungiwa na kwa sababu gani?
2.mpaka sasa umiss umeisaidia nini tanzania ambacho kitajibu swali la mwalimu kuwa jiulize umeifanyia nini tanzania?
3.hivi kuna tatizo gani ambalo linatufanya tushindwe kila mwaka na sasa tunazaidi ya miaka kumi
4.hivi kwanini kamati ya miss tanzania awafanyi uchaguzi ambayo yanaweza kuchangia mabadiliko makubwa ya umiss? jamaini naomba munisaidie majibu haya kupitia hata e-mail yangu ya jozzee2006@yahoo.com au kwenye picha hii
napenda kutoa na shukrani za dhati
...naona hakukua na seksheni ya "mavazi ya ufukweni"...looks more that an outfit show
ReplyDeleteLeo blog yako vipi mbona hivyo, hatuelewi wadau.
ReplyDeleteMashaaalla miss zanzibar ila mguu umekataa lakini asili yao..kichekeso mwambie ageuke nyuma hiyo pasi alopigwa si mchezo..ha ha haaaa
ReplyDeleteWadau msoelewa michu anatuletea mamiss leo mchuano wa Richa miss world..Tumuombee ushindi jamani.
duhh mdau hapo juu umeniua.I namaanisha bongo wanawazimia mademu weupe weupe,wakiwaona tu hoi.Kwani tukipeleka weusi katika miss world itakuwa noma jamani?? mbona tunasagana,kuna mademu weusi wazuri kibao,msisage jamani
ReplyDeletekaka michu alafu una mipasho wewe.Watu wamesaga richa ukaona uwa pashe kiushaidi na mademu wa kizenji.Daahhh nimekoma mwenyewe kaka.
ReplyDeletekaka michu hebu tutafutie mamiss kenya ili tupambane nao hapa hapa ulingoni.Mazei tunasubiri
ReplyDeleteDuh, aisee, watu wa enzi hizo walikuwa mazoezi kwa sana nini? Maana hao Mamiss wote hapo hiyo Miguu yao ni MGOGORO!!! Inaelekea kulikuwa hamna usafiri wa magari, ilikuwa ni TZ 11 tu!!!
ReplyDeleteNa huyo Bi shoGa wa kulia (Miss Punjab in cloloured dress), over and above Mgogoro wa Miguu, hilo umbo lake nalo Mgogoro Mtupu!!! Halijakaa kimiss hata!! BIG PROBLEM !!!
He hee halo!
ReplyDeleteKwa kuwakandia wenzenu hamjambo, leteni picha zenu kwenye bulogu tuone, tena zionyeshe na miguu hata kama ni wanaume si kuna pensi kama hatutaona vifito hapa!!