pamoja na kuwapiga chenga kwa kutolewa mlango ambao sio, wadau wanampiga denge richard na kumbeba msobemsobe...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

 1. heheheheheeh mungu wangu am in love...
  lol michuzi huwa unanipa raha saana. yaani una maneno ambayo ni haba sana kuyapata hususani sisi tunaoishi milimani.mda mwingine huwa najilaum kwanini sikuzaliwa enzi zenu.

  ReplyDelete
 2. hapo asipoangalia watoto wa kihuni wanampiga "chadema" mfukoni hapohapo na kumchapa rand zake zilizosalia.
  Amuulize Yusuf Makamba watoto wa kihuni walivyomfanya hapo eapot!

  ReplyDelete
 3. JAMANI KUHUSU RICHARD KUTOKUWASALIMIA WASHABIKI KWA NAFASI TUSIMLAUMU YEYE, TULAUMU UONGOZI ULIOANDAA, PALE ILITAKIWA MABAUNSA WAFANYE KAZI SIO KUMKIMBIZA KWENYE MAGARI, HAWAJAONA WENZAO SAUZI ILIVYOKUWA? WASHABIKI WALICHUKIA SANA MAANA WAMEMSUBIRI HUKU MVUA IKINYESHA, HALAFU WANASHINDWA HATA KUMLAKI KWA RAHA JAMANI!!! ILISIKITISHA SANA, SASA HIVI HATA WAKITOA NAFASI KWAMBA AENDE MNAZI MMOJA AKAPATE KUSALIMIANA NA WATANZANIA WATU WANAWEZA WAKASUSA!!! WABONGO BWANA, NDO MANA HATUENDELEI...!!!

  ReplyDelete

Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...