injinia juma hussein msonge ni mmoja wa wadau waliokula nondozz ya Masters in Engineering Management satadei ilopita chuo kikuu cha udsm. hongera sana mdau na asante kwa pongezi za bwawa la maini kwa kumpiga mkole porto jana. mambo ya yu neva woki aloni hayo, usikonde

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Michuzi hizo sio NONDO ni SOLAR POWER au SOMAPOWER.

    ReplyDelete
  2. hongela sana kaka msonge ,degree ya chuo kikuu cha bongo ni degree hasa, ukigraduate unalia na machozi.ni kama Impossible vile,hongela sana, siyo hutu tu degree twa nje hakuna chochote,.

    ReplyDelete
  3. hivi wewe kalumekenge
    kila mahali wanapoweka picha za graduwesheni wewe upo
    bado unakandia degree za nje tu, inaelekea wewe una inferiority complex zako. unawivu sana na watu wanaomaliza shule nje au ulinyimwa viza? mwakani jaribu tena kutafuta visa ukija huku tutakuazimia joho UVAE, UPIGE PICHA UWEKE KWENYE MICHUZI.
    Ha~aha~ tehe~tehe wewe ulie tu
    na ukifika ubalozini jitahidi kwa kingereza na sio no but bcoz !!!

    kaka Juma hongera sana

    ReplyDelete
  4. j.msonge hongera sana,nimefurahi kukuona toka enzi za old school,1997.naona mambo safi!

    ReplyDelete
  5. Wewe Anon uliyenisema kwamba sijui kingereza acha hiyo,degree za bongo ni mali sana utake au usitake. wewe unasema kingereza, ndiyo kizungu cha bongo graduates si kizuri sawa na Wachina na Wajapani na WaCuba na hawa wote wana very skilled professinals, Cuba inaongoza sana kwa madaktari na hawaongei kizungu hata kidogo, china kizungu is not reachable hao wajapan ndiyo usiseme. Graduate zetu wengi ni very very competed,Engineer wa bongo ana plan project vizuri sana na dunia inajua hivyo, Ingekuwa Elimu yetu ni duni watalaam wetu wangekuwa hot cake nchi za nje? Mwaka jana kwa kipindi cha miaka kumi kilicho pita madaktari wetu 400 wamekwenda kufanya kazi nje ya Tanzania bila pretest exams,ma Engineer, watalaam wa madini wote wako nje halafu wewe unasema oo kizungu.acha hizo. Je nyie wenye vidree vya nje tuwape mitihani ya kushutukiza mtapita au ile ya kwenu ya take home. Hongela sana msonge na LiNondo Lako la bongo wewe ni Mwanaume.Mpaka machozi yananitoka...Migomo, umeme, maji hakuna, mitihani ya kushutukiza lakini mtu ana pasua tu.Shit

    ReplyDelete
  6. Wewe Anon uliyenisema kwamba sijui kingereza acha hiyo,degree za bongo ni mali sana utake au usitake. wewe unasema kingereza, ndiyo kizungu cha bongo graduates si kizuri sawa na Wachina na Wajapani na WaCuba na hawa wote wana very skilled professinals, Cuba inaongoza sana kwa madaktari na hawaongei kizungu hata kidogo, china kizungu is not reachable hao wajapan ndiyo usiseme. Graduate zetu wengi ni very very competed,Engineer wa bongo ana plan project vizuri sana na dunia inajua hivyo, Ingekuwa Elimu yetu ni duni watalaam wetu wangekuwa hot cake nchi za nje? Mwaka jana kwa kipindi cha miaka kumi kilicho pita madaktari wetu 400 wamekwenda kufanya kazi nje ya Tanzania bila pretest exams,ma Engineer, watalaam wa madini wote wako nje halafu wewe unasema oo kizungu.acha hizo. Je nyie wenye vidree vya nje tuwape mitihani ya kushutukiza mtapita au ile ya kwenu ya take home. Hongela sana msonge na LiNondo Lako la bongo wewe ni Mwanaume.Mpaka machozi yananitoka...Migomo, umeme, maji hakuna, mitihani ya kushutukiza lakini mtu ana pasua tu.Shit

    ReplyDelete
  7. Karumekenge naona unaweka uongo sasa, education system zinatofautiana sana na kila sehemu wana standards zao. mimi ni Phamasist nilimaliza Masters hapo Bongo baada ya credentials zangu kuangaliwa ilibidi niandike mitihani na kufanya baadhi uya course kumeet requirements na standard zao. ACHA KUSEMA VITU VYA UONGO KUTETEA POINT YAKO.

    Hebu tujibu hapa ni nchi gani hiyo waliyokwenda kabla sijakutumia website inayohusu foreigh credential evaluation.

    Hongera ndugu msonge.

    ReplyDelete
  8. WEWE LABDA ULI-FAIL NDIYO MAANA ULIPEWA PRE-TEST ACHA HIYO,ULIKUWA NA PASS NDOGO HII NI KAWAIDA KWA WATU KAMA WEWE. ACHANA NA UNYANYASAJI WA MATIFA YA WEST, ETI HATA MADAKTARI WA CUBA WANAWAPA PRE-TEST NANI DAKTARI BORA HAPA DUNIANI KUMSHIBA MCUBA?WAMAREKANI WANAKWENDA KUTIBIWA CUBA, TENA FREE. HEBU WEKA HAPA CHETI CHAKO CHA PHAMARCY NIKIONE NA HIYO NCHI ULIYOKWENDA NA SISI WATAALAM WAO TUTA WAPA PRE-TEST KABLA YA KUWAPA KAZI BONGO.SHIT!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...