balozi wa ukerewe nchini mh. philip parham akiteta na waziri wa nchi ofisi ya makamu wa rais (mazingira) profesa mark james mwandosaya ofisini kwa waziri. mazungumzo yalihusu mkutano wa mabadiliko ya tabia ya nchi utaofanyika huko bali, indonesia, desemba 3, mwaka huu ambapo prof ataongoiza ujumbe wa bongo
Home
Unlabelled
mwandosya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
jamani balozi wa ukrane au ukerewe?
ReplyDeleteKoku karibu ujifunze slang za Michuzi.
ReplyDeleteUKerewe = UK (yaani United Kingdom)
NEWala = NEW york
na vijimambo vingine vingne utaviona taratibu kadiri tunavyokwenda.
karibu nyumbani koku...ulikua umepotea njia km mwana mpotevu!!! michuzi blog iz everything...
ReplyDeletejamani sasa huyu Professor anaongoza ujumbe wa watu wangapi? kwenda Indonesia wote wote hawa kufanya nini, ina maana kichwa na masikio mawili ya professor hayatoshi kwenda huko kutuwakilisha?nani analipia manauli na matumizi ya huu ujumbe? kweli bongo tambarare,,na wewe balozi Parham ongea na mshikaji wako Gordon Brown muachie visa hizo watu waingine Ukerewe, sio mnatuchekea tu, kwenye visa mnaleta ubishi...
ReplyDeleteKwakweli wabongo tusiwe tunatafuta mchawi nani! Tuwe na moyo wa support kwa nchi yetu (Ingawa ni ngumu kwakuwa kuna wasanii wengi sikuhizi...). Prof. anakwenda Bali kwa manufaa ya nchi. Kuna mkutano wa UNFCCC au ni mkutano wa 13 wa Conference of Parties (COP 13). For more information ndugu zangu nenda www.unfccc.int/2860.php
ReplyDelete