wadau wa tampere huko ufini majuzi walisherehekea mwanza dei kwa libeneke hadi lyamba. watembelee kwenye globu ya mdau mjema http://kilimanjaro-wim.blogspot.com/pamoja na ya wadau wa tampere http://watanzaniatampere.blogspot.com/
Home
Unlabelled
mwanza dei finland
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Du hii bendi ya familia...si mchezo.
ReplyDeleteBaaab kubwa..ilikuwa hapatoshi..maana hapo tulipata vionjo vya kiasili vikiwa vimekolezwa na technology ya kisasa...
ReplyDeleteKwa msaada tu kwenye tuta..hapo Kati ndio mtaalam wa sanaa za maonyesho aliyepikwa chuo cha sanaa bagamoyo MENARD MPONDA kushoto kwake namuona Catherine Mponda NA Deo Mponda...ama hakika hizi ndio familia za Talents..
Endelezeni libeneke tupo pamoja....
Chwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaap
jamani wadau, Kagera Day walifanya ili kuchangia mfuko wa maendeleo ya elimu mkoa wa Kagera, what about this Mwanza day in Finland, pesa inaenda wapi? just curious
ReplyDeletewoow, jamani Band yenu nzuri, amekosekana Viivi tu, band itimie...next time don't isolate her in the singing PLEASE.
ReplyDeleteSema Mponda, naona mambo si mabaya ukoo mzima wa wamakonde unahamia Tampere,safi sana ndo kupiga hatua, hongera sana nasikia wife ameshamaliza kusoma Masters kule University of Nothing,na sasa ni meneja mkubwa, hongera , tusinyimane hizo project anazofanya bwana, tupeane wote tule jamani..kila la kheri.
ReplyDeleteMwanza day? in Finland? whats the connection btn Mwanza and Finland, if any???Hongera nasikia umeoa kwa watani wa jadi, big up..
ReplyDeleteooh, Deo Mponda, nakuona, always sexy...kila la kheri, na salaam nyingi toka huku uswahilini...wenzenu tupo, mkipata time njooni tukwangue vizuri hizo ndonya ili mkienda na huko ulaya,mlitangaze vizuri kabila letu la wamakonde.
ReplyDeleteAnonymous sa...
ReplyDeletejamani wadau, Kagera Day walifanya ili kuchangia mfuko wa maendeleo ya elimu mkoa wa Kagera, what about this Mwanza day in Finland, pesa inaenda wapi? just curious
Tuesday, November 27, 2007 2:17:00 PM EAT
Ndugu hapo juu,
Dhumuni haswa la Mwanza Day mjini Tampere siyo kuchangisha pesa bali ni kuadhimisha siku ya urafiki kati ya jiji la Tampere na Mwanza. Miji hii miwili ina mikataba ya urafiki na ushirikiano katika mambo mbali mbali. Unaweza kuwatafuta wahusika wakupe taarifa zaidi juu ya ushirikiano wa miji hii miwili. Natumaini nimejibu your curiosity.
oh, yes,asante kwa kunijibu, nimeelewa sana, tena basi nilikuja nikaona photos zingine mahali nikaona wageni toka Mwanza ndo nikaelewa zaidi, haya good work wadau,,,,
ReplyDelete