kaka michuzi,
naomba niwekee hii kwenye web yetu ya jamii. namtafuta kaka yangu anaitwa Lusungu Mng`ong`o, mara ya mwisho nilimaliza nae shule ya msingi Mgulani. yeyote anayemjua amstue.
Michael namlowe
namalowe@hotmail.com

Michael Lusungu yupo chicago wasiliana na huyu Mr Oscar mail yake nafikili mwenyekiti wa wabongo atakupa mawasiliano yake.
ReplyDeleteDJ LUSUNGU ANAPATIKA KATIKA NO HII
ReplyDelete847-348-1052
Nashukuru nitaijaribu hiyo namba!
ReplyDelete