Hellow michuzi,

napenda kumpongeza dada yangu mpendwa Neema kwa nondo yake ya Social justice huko chuo kikuu cha York University Toronto,Canada. Najua huwa anaangalia blog yako.
asante,
mdau Gasto.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. Ooooh ...hongera sana Neema kwa kufuta nondo nzito toka YorkU!

    Sawa sawa: "In order to reach the high shelves, we have to stand on the books we have read..."

    From the Peace Tower, Ottawa

    ReplyDelete
  2. Shem hongera sana!

    ReplyDelete
  3. hongera sana sister Neema.hivi sister umeolewa?maana natafuta mke ndugu yangu.

    ReplyDelete
  4. Congratullazzion Neema.

    J.D, Houston TX.

    ReplyDelete
  5. We anon 10:39 kwa taarifa yako Neema ni mke wa mtu. Hivi nyie watu wengine vipi? utamuombaje mtu umuoe kwa kumuona tu kwenye picha.

    ReplyDelete
  6. Sasa wewe anonymous 10:30 kila mwanamke anae graduate unataka awe mkeo, wa UK pia uliulizia, ndugu pole sana wake hawapatikani namna hiyo! Huyu Binti AMEOLEWA NDOA TAKATIFU AZANIA FRONT SEPTEMBER 2007. Ni Mke wa rafiki yangu.

    ReplyDelete
  7. Hongera Neema Julia!
    Houston Tx!

    ReplyDelete
  8. Hongera sana Neema,
    Maganga Mabula,
    Bukene-Nzega

    ReplyDelete
  9. Congrats cousin, Keep it real!
    Wewe anon 10:39 unaetafuta mke kwenye blog ya Michu, nani alikudanganya wake wanapatikana namna hiyo? na kama hujui jinsi ya kupata mke ukimpata huyo mke mtadumu kweli? Nakushauri wasiliana na watu wanaolewa maana ya mke na ndoa ujifunze.
    Upanga,
    Dar.

    ReplyDelete
  10. Sasa kosa liko wapi? kuuliza kama ameolewa au la,hakuna kosa yeye anatufuta mke aliye soma.Mwacheni ajaribu bahati yake.Hajakosea lolote hapa.Huku ulaya watu wanaulizana straight,are you married?, yes or no, wengine wanasama yes, but Iam not happy,upo hapa kitakacho fuata hapo usiniulize Mimi.

    ReplyDelete
  11. Hivi ile sheria ya kuzipima hizi nondo za nje kama ni za kweli inaanza lini? sababu hizi nondo za nje bwana usiziami hata kidogo,kuna final exams za take home and bring tomorrow.Nondo za kweli ziko bongo bwana mtu una suffer hasa, mitihani ya kustukiza hakuna warning mwanangu. mtu ukigraduate unatoa machozi. Hizo ndiyo nondo za kweli si hizi za marekani na kananda hakuna chochote majoho tu,

    ReplyDelete
  12. Karumekenge kawaulize makampuni ya Kigeni hapo Bongo huwa wanaajiri wanafunzi wengi waliosoma Bongo au Ughaibuni?? Hapo utapata jibu elimu ya wapi ni bora.

    ReplyDelete
  13. kuna FT world rank za university....dar univrsity ni ya ngapi? kasome vitabu vya mwaka 66, watu wanaendelea na technology!

    ReplyDelete
  14. Karumekenge,

    Kwanza inaelekea unakawivu na chuki na watu waliosoma nje. Watu wanampongeza Neema, wewe unaleta roho mbaya wakati unajua dada yetu amemaliza shule.

    Pili, hizo shule zenu mchosho tu hata kimombo hamkijui na mkipewa kazi mnavurunda. Rais wenu na Nchimbi ni mifano tosha.

    Sisi tupo huku mzuu tunapiga kitabu na tunaendelea na maisha. We ulie tu...

    ReplyDelete
  15. Hivi wewe karunekenge at 10:08 pm
    mbona una wivu hivyo ?
    badala ya kusapoti watu wanaofanya vizuri kimaisha wewe unakandia oh sijui bongo degree sijui kusoma kwa shida !!! loh unatia aibu, hiyo hiyo digree yako ya bongo ukitoka tu nje ya nchi kidogo haitambuliki japo ulilia machozi kwenye giraduesheni yako.
    yaani shida yako ni uone analia machozi akipokea cheti au?
    nenda zako wewe mshamba mkubwa wewe

    Hongera sana Neema endelea kuonyesha mfano mzuri kwa vijana.
    mijitu mingine bwana !$#&%&*

    ReplyDelete
  16. nami nampongeza dada Neema kwa kula Nondos, lakini jamani Karumekenge, mnamshambulia buree, mimi nakaa huku europe, kweli jamani huku ughaibuni kuna some Nondos hazieleweki, zimetokea kwenye vitaasisi vya ajabuajabu, ukilinganisha na za bongo, basi bora za bongo,,sometimes.Msimshambulie sana, ana POINT.

    ReplyDelete
  17. Kaumekenge umekosea hapa sio mahala pake inabidi umuombe radhi dada Neema.

    Hiyo mada ina mahala pake nakubaliana na wewe kabisa inabidi tumuombe bwana Michuzi siku moja ailete mezani, kwa sababu ina ukweli ndani yake. Na Chuo cha DSM sio kama hivyo ambavyo mnakikandia nyie mnaosoma nje, kinaheshimika na kina heshima yake ingawa kiko kwa wamaskini. Najua mmekasirika kwa kuwa mada hii ameileta kwenye Graduation ya Neema na si nyinginezo ambazo tumeona kwenye globu hii.

    Pamwe na kusema hayo dad Neema hongera sana kwa kupata Nondos yako huko Canada.

    Na nataka niwaambie jamani hata ukiwa wapi shule ni shule tu ina ugumu wake, lakini kwa wenzetu unafuu unakuja kwa sababu kuna facilities za kutosha ila hakuna kudesa. Hongera tena dada.

    ReplyDelete
  18. ok! dada hongela sana na kanondo kako,lakini utapa kazi kweli bongo au! sababu hawahitaji watu kama hao.tetetete hahaha, umepoteza muda wako bure !

    ReplyDelete
  19. BREAKING NEWWWWWWS!
    KUANZIA DESEMBA MOSI MWAKA HUU WENYE NONDO ZOTE ZA NJE ITABIDI WAENDE 'PREMINARY TEST' KATIKA CHUO KIKUU CHA CHANG'OMBE ILI KUZIPIMA NONDO ZAO KAMA ZINA FAA, HAPO WAKAPATE MITIHANI YA KUSHUTUKIZA, TUONE HIZO NONDO KAMA ZITAHIMILI.

    ReplyDelete
  20. YAANI Wajomba Mnausongoo?nimeuliza tu jamani, wala huyo wa uk sijauliza mimi au nimekose kuuliza?ndio maana munafumaniwa na wake za watu,inabidi uulize kwanza sio kupapara tu.any way sister hongera sana na mungu akujalie, take care.
    wajomba acheni wivu,"KUULIZA SI UJINGA TEBEA UJIONEE ndugu yangu"

    ReplyDelete
  21. Kalumekenge yaani jina lako ni sawa na mwenyewe, wewe unamuuliza huyu dada kuwa atafanya wapi kazi, oh akirudi Tz Kwanza wewe hayo yanakuhusu nini?

    Hivi wewe pamoja na kuwa na Tribunal Arusha na sehemu mbalimbali duniani, hivi unaelewa nini kinafanyika mpaka kufikia hapo au unafikiri ni MGAMBO WANAAMKA ASUBUHI NA KWENDA KUKAMAKATA? Ha~ha ~tehe tehe

    Wewe siku zote unapangiwa bei ya KAHAWA, KOROSHO, KATANI n.k. na wazungu ila ukitaka kununua gari wanakupa bei yao WEWE KWA VILE NI KALUMEKENGE UNAONA SAWA SIO?

    Hivi wewe unaelewa ni kwanini mzungu akupangie kuwa hela yako ya kitanzania iwe ndogo kuliko ya kwake? OF COURSE KALUMEKENGE HAJUI.....

    Je unafahamu lolote kuhusu Amnesty Int,Human Rights Commision,UNHCR,UNIFEM,UNAIDS

    Kalumekenge haya haya mabo huyajui ongeza upeo upo nyuma sana nadhani unajua kulia tuu desa likikubali!

    Hivi una idea Yeyote kuhusu human Social justice and Human rights?

    ReplyDelete
  22. Wewe kalumekenge, Acha kutuabisha! unamuuliza huyu dada atafanya kazi gani..?!!!!

    Hivi wewe unaelewa maana ya Social justice? Au kingereza chako inabidi ulie ukiweza kusoma neno moja?

    Bwana mdogo hii field ni pana sana, tafuta on line maana yake ni nini Acha kutuaibisha!
    Arusha

    ReplyDelete
  23. Karumekenge kweli mawazo na upeo wako ni mfupi sana! sidhani kama ameshafunguka kimawazo.

    Huyu dada naweza kufanya kazi popote duniani licha ya Tanzania.

    Hivi wewe unajua lolote kuhusu mambo yanayoendelea kwenye dunia ya leo?

    Inaelekea shule uliyokwenda ulidisco nina hakika haujamaliza, hata mtu wa form six hawezi kuwa na upeo mdogo namna hii!
    Mdau
    Geneva

    ReplyDelete
  24. kwenda zenu,akafanye world tribunal ya wapi? Rwanda, Burundi ambayo sasa hivi inaitwa the most Luxury tribunal ever seen in the world. hawahitaji mtu pale, yeye cha kufanye avue Joho aliweke chini aamuke asubuhi sana kuwahi kuanza kazi za mabox yenu,kwa sababu hiyo ndiyo field ya watu wanao soma nje.Angalia hesabu hii; Vinondo+Vijoho=Mabox, tetete hahahahaaa kwikwikwikwi

    ReplyDelete
  25. Karumekenge, nimesoma comment zako zote ni negative! ACHA WIVU!! KAMA HAUJAPATA NAFASI YA KUJA HUKU KUSOMA POLE SANA. WIVU KWA WALIOHITIMU HAUTABADILI KITU!

    Inaelekea wewe ni limbukeni close minded type!Hebu leta nondo yako iliyokutoa machozi tuitume hapa tuone itakuwaje

    http://www.cicic.ca/en/page.aspx?sortcode=2.17.22

    Mdau
    University of Alberta Canada.

    ReplyDelete
  26. neema poaa

    ReplyDelete
  27. Tumaini acha wivu tunakufahamu!

    ReplyDelete
  28. Jamani huyo karumekenge mbona ameshindwa kujibu swali la anon 6:20? hebu atujibu tena atoe data za ku-substatiate majibu yake kama kweli hiyo nondo yake iliyomtoa chozi HAKUDESA!

    ReplyDelete
  29. Dah comment za huyo karumekenge kweli zimefanana nae mwenyewe!
    aliyempa hilo jina hajakose hata kidogo.Achanani nae huyu ni mjinga fulani msipoteze muda wenu

    ReplyDelete
  30. Mtanzania mwenzetu akifanya vizuri tunampongeza, haijalishi amemaliza chuo cha SONGEA au SWEEDEN. kwa nini unaona wivu sana kwa waliomaliza shule nje ya nchi? Mbona waliopo nje ya nchi hawaoni wivu kwa wanaomaliza huko na wanawapongeza? KIKOROSHO HICHO NA ROHO MBAYA! HASA KARUMEKENGE!

    ReplyDelete
  31. Oyaa mimi nafikili washikaji mnapo hangaika na hilo tindiga Karumekenge mnapoteza muda ndio linataka hivyo kuwapagawisha watu. Hongera dada kwa kumaliza shule.Hilo kambungu linaandika kama linaharisha maneno! sishangai kuna washikaji kibao kazi yao ni kuongea mineno ya namna hiyo kwa nini jamani tusipongezane na kutakiana kila la kheri huu ujinga wetu wabongo wa kudhalauliana na kuandika mineno kama hiyo ndio inafanya wageni wanatupeleka kama mbuzi. Wewe karumenyoka au kenge hata kama umesoma mbinguni lakini ulichofanya wewe na huyo dada hakuna tofauti! udsm na uk university zote ni uni, nafikili kalumekenge ni mshamba na ana enjoy kuwapagawisha watu kama hivyo.Kirusi mkubwa huyo ambacho hakina dawa ongea point.Mjomba inaonekana hapo bongo hata hajui atakula nini? Kalubandika!acha wivu ambao hauna maana na kuongea misifa je waziri mkuu wako kasoma wapi wewe kirusi kwa taarifa yako ni Bath university. Jamani tujenge tabia ya kupongezana na sio kuharibiana siku na mnaacha waarabu na wahindi wanaanza kuichukua nchi ingali hawaujui uchungu wa bongo, lakini wanatumia mineno ya watu kama hilo tindiga karumenyoka.

    ReplyDelete
  32. hawa wote wanakupotezea muda wako, weka joho chini,ficha hako ka nondo kako na kabebe box lako.
    kwisha hakuna cha world tirbunal au bujumbura.box box box+vinondo

    ReplyDelete
  33. wewe anon wa 2:12 naona umeongea ukweli huyu kalumenyoka ni anataka kuonekana na ni mapepe tu kaibuka tena!misifa na kudharau watu wa mtoni wewe utafia bongo ni wivu wa watu walioko mtoni hata kama maboksi poa lakini raha tunakula!

    ReplyDelete
  34. Karumekenge point zako hovyo kama wewe mwenyewe!Aibu zako kwanza tunakufahamu wewe tindiga haupo Tanzania! upo unabeba box kwa miaka mingi kweli ndo maana kinakuuma. shule imekushinda.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...