Kaka Michuzi,

Pole kwa kazi. Naitwa Rachel Manning Mwalwaka. Naomba nikupongeze kwa kazi nzuri uifanyayo ya kupashana habari. Nina Imani hata baba yangu Manning Jasson Mwalwaka huko Uholanzi haimpiti mbali hii Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Rachel hebu acha visa, hivi michuzi anaweza kuwa kaka yako kweli?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...