waziri mkuu wa canada mh. stephen harper alitembelea bongo kwa ziara ya siku moja ambapo pamoja na mambo mengine alitembelea shule na kutoa ahadi ya nchi yake kusaidia afrika na asia katika masuala ya afya. nenda http://pm.gc.ca/eng/media.asp?id=1911

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Awww Stevien Harper...hahahaha my ol man cutie (yes i said it) but the thing is kama anataka kusaidia anaweza kusaidia but if only HE WONT LISTEN TO THAT MORAN AKA GEORGE BUSH. Best of luck on that one.

    ReplyDelete
  2. Mmmmhh Steven what are you doing there !!
    bla bla bla nyingi
    Ok we will see

    mdau
    Canada

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...