kumbi zinazidi kuchipua kila pembe ya dar. hapa ni kimara stop-over

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Nasikia heshimiwa Adam Malima amefiwa na Mkewe MICHU picha basi....

    ReplyDelete
  2. Kweli bwana amefiwa na mkewe kazikwa jana.. michu tupe taarifa

    ReplyDelete
  3. ebwana Michu wamjua mwenye ukumbi huo??hebu tujulishe basi kama ni yule mzee Isack Kilato wa BOT

    ReplyDelete
  4. safi sana aliyewekeza pesa zake kujenga huo ukumbi unaonekana ni msafi na unavutia,huko Kimara hata ukiwa na harusi kulikuwa hakuna kumbki safi ya kufanya shughuli...hongera ila muutunze na muweke standard kubwa ya usafi na uongozi safi hapo la sivyo utakuwa umetupa pesa chooni

    ReplyDelete
  5. Ndiyo ni mali Isack Kilato wa BOT

    ReplyDelete
  6. michuzi acha ushamba, huu ukumbi wa zamani hata mimi naujua, mi nimeingia humu 2004 , harusi ya rafuki yangu gwakisa mwaisumo...we misoup vipi vitu vya long time hivyo

    ReplyDelete
  7. Jamani kuna ukumbi uko Avocado,huu cha mtoto,unaitwa sijui The Stalllion aisee uko bomba mbaya! Uko mikocheni dah.....michu Tembelea pale ujionee na uje uweke pic hapa watu wajionee! Ndio ukumbi bab kubwa kwa Dar sasa hivi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...