mdau john kitime wa njenje katuletea zawahi hii ya Mzee Steven Hizza, mwimbaji na mtunzi maarufu wa Atomic Jazz. Hapa akiwa bado jukwaani Jumamosi iliyopita akiimba nyimbo zake za zamani kama vile Amida wangu, Tanzania yetu ndio nchi ya furaha. Kwa sasa yuko na Fax Jazz inayopiga Tanga Hotel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Duh, huyu jamaa bado yupo kumbe? Aisee mlitisha enzi zenu, kwa nini bendi mliua? Nawapa Big Up kubwa sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...