Waziri Mkuu Mh. Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Tanzania katika Muungano Nchi za Falme za Kiarabu (UAE), Juma Maharage baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dubai akiwa njiani kuelekea Vienna Austria kuhudhuria mkutano wa Shirik la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Du! Michu huyo Maharage ubalozi ivyo, akipewa ujk si atakuwa wa duaraa...kudadek wabongoo

    ReplyDelete
  2. dah! muheshimiwa maharage anahitaji mazoezi haya ndio matatizo ya kula kulala unavimba bila mpangilio!

    ReplyDelete
  3. Hehehe majina mengine bwana.Eti maharage.haya bwana mie mwanangu ntamuita njegere sasa au kunde kabisa

    ReplyDelete
  4. Jaman michuzi hizo picha za harusi jaman tunaomba maana mimi kweli nina hamu nazo nikaone kabinti ka 85 na jibaba jaman hata kama wansemaga age is nothing ila yapasa kuangalia yaan kwa sababu ndo sio mchezo jaman oooh. haya

    ReplyDelete
  5. Huyu jamaa kupewa jina la chakula basi akaamua kula kula! Kuna jamaa anaitwa Matoke Manyama, sijui yuko wapi siku hizi, nadhani yeye ni mara mbili ya hili balozi.

    ReplyDelete
  6. tehe, tehee kadadadek, hii kulala made my day!mambo ya kuita watoto majina ya michakula
    ahah ahah!!

    ReplyDelete
  7. Daahh jamaa kashiba!!!!

    ReplyDelete
  8. Kudadeki chibarozi chinene mweeeee.
    Hii ndio inaetwa Obecity siyu? Eti wanaglobu hebu nisaidieni

    ReplyDelete
  9. duh mzee michu,huko Dubai gym hakuna.hilro rijamaaa rinakura tuuu,serikali ianze kuangalia watu kama hao ni gharama wakifia nje ya nchi maana ndege zinawalipisha marambili.

    ReplyDelete
  10. Hiri ri barozi niririonaga zamani huko Mwanza bado rikisomaga shure ya msingi ya miduro skuri chini ya kilima cha nyumba ya Arasii wa Mwanza. Lilikuwa ri kijana rikubwa tangu utotoni.

    Si ni ri dogo lake barozi Kassim Mawado (jina ra zamani: Kassim Maharage)! Rakini lilipotaka kuingia Wizara ya Nje, basi kaka yake akabadiri jina na kuitwa Kassim Mawado!

    Rakini rinatumia pesa ngapi kira mwaka za kufanyiwa "mediko chekapu" huko majuu?

    ReplyDelete
  11. Duuh! jamai Pepe kale kafufuka? oooh siyo mtu mwingine..duuh mzee fanya ka diet kidogo hatari kwa afya ..huoni aibu kwa mwenzio mzee lowasa hapo anakutizama kwa jicho la huruma anajua afya yako mbovu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...