Yafuatayo ni mahojiano yangu na Jaji Mark Bomani, Mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Rais kuhusu Sekta ya Madini. Nilipata nafasi ya kuzungumza naye kuhusu kamati hiyo na majukumu yake. Majibu ya Jaji Makani yanaweza kuwashangaza watu wengi. Zaidi ya yote miaka 46 baada ya Uhuru; wapi tulipo, wapi tunataka kwenda. (Pichani, Amir Jamal, Dereck Brycson, JK Nyerere, Chief Abdallah Fundikira, Paul Bomani. Juu toka Kushoto Solomon Eliofoo, Rashid Kawawa, Nsilo Swai, Oscar Kambona, Tewa Saidi Tewa
Title: KLH News Episode: Mahojiano na Jaji Mark Bomani wa Kamati ya Madini
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2007-12-09T00_31_32-08_00
Enjoy!
Michuzi, mbona pa kutoa maoni maandishi yake ni ya Kirusi,yakhe? Kulikoni?
ReplyDeleteKatika hiyo picha hakuna Solomon Eliofoo wala Dereck Brycson!
Huyo Mzungu kari ya Nyerere na Jamal ni Ernest Vassey, Waziri wa Fedha). Na huyo Mzungu mwingine si Bell, Mwanasheria Mkuu wa serikali. Unayemwita Solomon Eliofoo ni Job Lusinde.
nusu yao kwenye hiyo picha walimezwa na nyerere!!!
ReplyDeleteKumbe Nyerere Papa, anameza watu? Duh, hii hatari.
ReplyDelete