HABARI ZINASEMA MBUNGE WA JIMBO LA KITETO MKOANI MANYARA MH. BENEDICT KIROYA LOSURUTIA AMEFARIKI DUNIA LEO JIJINI DAR. KWA MUJIBU WA REDIO ONE MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA KOTA ZA BANDARI KURASINI, DAR.
TUMUOMBE MUNGU AILAZE PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU - AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Why our life is so short. I really afraid of going back home. will i survive for long!.
    Any way Rest in peace Ben

    ReplyDelete
  2. anonymous 10:02 pm, Nyambaf...we kwa mawazo yako ukikaa ughaibuni ndo haufi. Kifo kipo pale pale muda wako ukifika hata kama upo sayari ya mars utakwenda tu.Kifo hakipo kwa wala vumbi tu. Kimeshaandikwa kwa kila kilicho hai hakiepukiki.

    ReplyDelete
  3. We Ben cjui nani wewe Mbwiga kweli, limbukeni mkubwa wewe. Eti unaogopa kurudi nyumbani, so unataka kutuambia huko ulipo hawafi? Uongo tu usio na msingi. Hayo makaburi wanaishi walio hai? Mbona wabongo mnakuwa waongo hivyo, kisa mmetoka? Lione kwanza. eti I really afraid, kiingereza chenyewe feki, nenda shule lione.

    For Ndugu wafiwa, Poleni kwa msiba, Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu panapostahili.

    ReplyDelete
  4. Duh, nilikutana na huyu Mheshimiwa India hospitali inaitwa APOLO. Alienda kufanyiwa check-up, Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.Ameeni,

    ReplyDelete
  5. Pole nyingi sana kwa wafiwa, nilisoma na binti yake anaitwa VERONICA LOSURUTYA huko dodoma na kukaa naye bweni moja, tumepoteana miaka mingi sana, naomba kama kunayeyote mwenye contact zake aniwekee hapa kwa MICHU hapanshaka nitazipata ili niwasiliane na mpendwa na kumpa pole, RIP our beloved dad LOSURUTYA.

    ReplyDelete
  6. Take it or live it, the truth remains that life expectance in third world countries is way shorter than in developed countries, hivyo msimsakame huyo aliyesema anaogopa kurudi kwao.

    ReplyDelete
  7. Nilibahatika kukutana na Mheshimiwa marehemu LOSURUTIA huko Kiteto. Kwa kweli alikuwa ni mtu wa msaada kwa wengi na amewasaidia vijana wengi wakimaasai ada ya shule bila kujali wanatoka boma gani ila kuonyesha wahahitaji la kusoma.
    Alitusaidia gari kupeleka vijana zaidi ya 40 kwenye mkutano wa TYCS bure Arusha mjini(mwaka 2001).
    watoto na familia kwa ujumla ni watu ambao hawaonyeshi dharau kwa watu na mtomto wake nilimfundisha mafundisho ya dini. She was very bright.
    May His Soul Rest in Peace. Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...