Wadau wenzangu mnaoishi nje ya nchi,
salam.
Hapa ninakutumieni tovuti yenye orodha ya makampuni yenye nafuu katika simu za VOIP.http://progx.ch/home-voip-prixbetamax-3-3-2.html
Pia, unaweza kujisajili kwa kutumia anwani pepe yako nao watakufahamisha punde gharama zitakapobadilika.
Tovuti hii pia inapatikana kwenye kisehemu cha "tovunganishi" katika (Tovuti Unganishi = Web Link) www.nukta77.blogspot.com na www.nukta77.com
Shime tuhabarishane na kusaidiana Wadau.
"Siasa si hasa bali visa na mikasa",
Salam zangu,
Subi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. nchi ya nje ya wapi? Hizi gharama zinatofautina bara na bara. Zinaweza kuwa cheap huko uliko na kwingine ni ghali...Ni vizuri ungeeleza uko bara gani

    Huku nilipo skyper ni ghali sana ni heri kutumia phone card kuita bongo. Ila kuna mtu aliyenipa hii kwake ni rahisi sana

    Shukrani kwa hili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...