huko birmingham (ya marekani) kundi la mission band linaendeleza libeneke la muziki wa injili kwa kwenda mbele likiwa ni la wabongo watupu. kundi hili lina tovuti yake www.themissionband.org kwa habari zaidi na kama kuna maswali nenda admin@themissionband.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NAOMBA KUULIZA SWALI LA UFAHAMU!

    Nimesumbuka kidogo kwenye ubongo wangu naomba wadau mnisaidie. Ni kuhusu suala la bidhaa "feki" huko Dar es Salaam zinavyoteketezwa? Naomba kujua, hii bidhaa ilivyopita bandarini TRA walitoza kodi, je, walivyoteketeza hiyo bidhaa kuna sheria ya yule mteja kurudishiwa ile kodi aliyotozwa bandarini?

    Mimi nina imani wafanya biashara wengi hawana nia ya kutuuzia bidhaa "feki" ni kutokujua tu, Je! TBS inawasaidiaje hawa wafanyabiashara kutambua bidhaa "feki">

    Suala lingine ni makampuni yanayotengeneza barabara, mbona barabara nyingi pia ni "feki" mbona TBS havunjivunji baada ya kuona ubora haukidhi mahitaji ya Mtanzania?


    Ombi langu:
    TBS hamieni kwenye barabara nyingi ni "feki" na huwa kuna kipindi cha garantii lakini RUSHWA ndio inafanya hao maafisa wanaosimamia hizo idara kutofuatilia makandarasi hao "feki". Sasa TBS fanyeni kazi yenu.

    ReplyDelete
  2. JAMANI WADAU WA DAR ES SALAAM.

    KUNA KIPINDI JENGO KUBWA LILIVUNJWA HUKO DAR, LIMEMALIZIWA KUVUNJWA?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...