wavingirisha sketi wakisindikiza gari la matangazo ya twanga pepete kuzindua albamu yao ya 'mtaa wa kwanza' wikiendi hii hapa dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Du jamani hata kama ni katika kuvutia wapenzi, ila siyo kwa kuvaa viatu vya matairi (wheel shoes) na kupata support ya gari, sasa itokee mguu ukaingia kwenye tairi???? na isitoshe hizo andakizzz za barabara za Dar??kwa sababu huku tunapobeba mabox, kuna njia maalum kwa watu wanotumia aina hizo za viatu, licha ya kwamba ni shemu ya mazoezi, pia ni njia mbadala ya kusafiria ambayo ni rafiki wamazingira kwani hakuna cha kutoa carbon dioxide wala nini!!!!! Kweli bongo tambarare!!

    ReplyDelete
  2. Hii ni mojawapo ya sababu za ajali za barabarani

    ReplyDelete
  3. hivi hawa wakipata ajali na hayo mashimo yote ya barabarani watamlaumu nani?
    haya mambo ya kuiga vitu bwana, siku moja yatatutokea puani. jamani tufanyeni vitu vinavyoenda na mandhari ya Bongo.
    halafu mnajitia Bongo NY sijui tambarare. hama lolote.
    lets come up with our own ideas instead of coping everything we see on TV

    mdau
    Canada

    ReplyDelete
  4. Anony ni "Roller skates" sio wheel shoes. ha ha wala vumbi bwana..

    ReplyDelete
  5. Kaka Michuzi usinibanie.. Mimi sijui kama hakuna Polisi wa Usalama au ndiyo umbumbumbu wa wheel skating. It's too dangerous sijui kama hao skaters wanajua kiasi gani wanahatarisha maisha yao na watumia barabara wengine. Shame on you.

    ReplyDelete
  6. Wadau naomba msaada,
    Kwa hapa site senta tiketi za uzinduzi zinapatikana wapi?

    ReplyDelete
  7. Starehe itakuwepo pale gari likatike breaks maana hiyo ni kawaida kwetu bongo. Haya na vichwa hivyo mtu akindoka kuna usalama kweli?

    ReplyDelete
  8. INABIDI NCHI YETU IENDE NA WAKATI KUPITISHA SHERIA KADHA WA KADHA KUZUIA AJALI ZINAZOWEZA KUZUILIKA. BADO TUKO NYUMA SANA.

    ReplyDelete
  9. Anony unaeuliza tiketi nenda kwenye ofisi za FM Academia ndo wanauza tiketi za Twanga Pepeta uliza mtu anaeitwa Nyoshi El Saadat.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...