Michuzi,
Msaada kwenye tuta. Namtafuta bwana BONIFACE MWALUKASA (au maarufu kama BONI) mkazi wa maeneo ya Ubungo hapa Dar es Salaam.Alikuwa dereva wa teksi anapaki kituo cha taksi jirani na baa ya Machange Kinondoni.Simu yake haipatikani kwa muda mrefu sasa,na nina ujumbe muhimu sana kwake.Naomba msomaji yeyote wa blogu hii anayemfahamu amjulishe awasiliane nami kwa namba 0713543505
-TICHA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ticha kweli umepinda, hapa umeona panafaa kumtafuta BONI, POLE usijali watakusaidia. Siku nyingine jaribu kutafuta sehem nzuri ya kumtafuta Boni hapa tunajadili mambo ya msingi kwa taifa letu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...