meneja wa kilaji cha redds mpeli nsekela (mwenye shati) akiwa na wadau walioshinda bahati nasibu ya redds na kujipatia tiketi ya kwenda sanya, china, kushuhudia miss world majuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa ndio watatuambia ukweli wa Richa alivyouza sura uchina.
    Kuna miss TZ mmoja alishaenda miss world akaja akasema alikuwemo top ten kumbe wapi, dunia ilikuwa haijawa kijiji kama sasa, wangemuumbua

    ReplyDelete
  2. Acheni ujinga wenu yameenda wapi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...