kaka Michu mwimbo WA Cinderella unapigwa sana hapa Holland katika Funx fm ambayo in fm inayoongoza kwa kupiga nyimbo R&B,Rap ,Reggae n.k inayorusha matangazo yake kutoka mji WA Rotterdam na Eindhoven. Na unaelekea kupendwa .kama kidachi richebo bofya hapa www.funx.fm ,au www.funx.nl wanajaribu kuelezea mvutano kati ya kibaz na Malaika Kamagusha.

Well Gud laki Kiba..

mdau Holland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. kaka Michuzi mbona habari za Ali Kiba halafu picha ya mzee wa Bembeleza?

    ReplyDelete
  2. Tesa mwanangu kiba.

    ReplyDelete
  3. HONGERA KIBA! LAKINI MIMI NDIO MDAU WA MILIONI 3
    ASANTENI...
    poelmart5@yahoo.com

    ReplyDelete
  4. Kweli wabongo hasa 'boxis pple' hamtakuja kuendelea kabisa, habari njema kama hii kijana wetu sauti yake inapasua anga huko nchi za mbali hakuna watu wanaotoa comments za kumpongeza au kumpa ushauri, wanasubiri tu Michu apost kitu kilichokaa kushoto kushoto waanze kukandia
    Noma sana nyie dubyaz

    ReplyDelete
  5. Michuzi ujanja wako wote kumbe hata wanamuziki huwajui, unatuekea picha ya Malow then unaleta stori ya ALI KIBA.OK lakini Big Up! KIBA tunakuaminia we ndo mchizi weeeetu!

    ReplyDelete
  6. Kaka Michu umechoka. Mbona huyu Ritaaa. huyu mkali wangu. unique voice, I like him.

    ReplyDelete
  7. @ 1:30 pm acha unafiki mbona wewe hujampongeza. Ndio wewe mkaanga buyu umekosa la kusema unatafuta maneno.

    ReplyDelete
  8. Mashallah amejaliwa. Sio wengine wanaopata namna hiyo. Mungu amzidishie kipaji chak ekiendeleeeeee.

    ReplyDelete
  9. Kweli hiyo picha hata mi nilidhani macho yana makengeza ingawa siko tz simjui vizuri namwona kwenye video's anyways michuzi apologize halafu weka correct pic.
    Back to the point Dogo namkubali anafanya vizuri sana, hardwork inajidhihirisha. keep on pushing kiba!

    ReplyDelete
  10. I want this Kid y'all.... he just too damn sexy shoooooooooot!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...