ile pyee baada ya kurudi tu toka kwao brazil kwa mapumziko ya mwishoni mwa mwaka, jambo la kwanza alilofanya kocha wa staaz marcio maximo ni kufungua duka barabara ya bibi titi, dar...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

 1. Uyo mfanyabiashara sio kocha

  ReplyDelete
 2. duka la lake au la timu anauza nini

  ReplyDelete
 3. Huyo ni enterprenuer wa nguvu! Bongo hapa wandugu. Na akipata mwanamke wa Kibongo, hasa hasa
  Mdigo au Mzigua, basi huyo hatoki kabisa bongo kama wenzake wote waliomtangulia (Tambwe Leya,,,,)

  ReplyDelete
 4. Mithupu ehe!
  Kiswahili cha tmk icho, wambele hawawezi kufaham...gari ikiharibika ukifungua boneti ndio kufungua duka wadau...mmenisomaa???

  ReplyDelete
 5. Si utani hapo ndipo penye alidhani kushindwa kufika Ghana ilikuwa mchezo, atasukuma sana kitara hicho

  ReplyDelete
 6. inaonyesha jinsi wanavyomlipa...cheap cange...na quality ya ujuzi itakua cheap vile vile...mwenye market ulimwenguni asingekalia kupata kihela cha kumfanya kuweza kuendesha gari inayoharibika njiani...aibu ...tuwalipe vizuri tupate makocha top of the line

  ReplyDelete
 7. Huko ndio kunaitwa kufungua duka nao wadau wa mwanzo lugha ya Tmk imewapita kulia..tatizo mtu mzima huyu hata kuchek oil kwa gari haangalii migari ya bongo/japan mingi imechoka watu wanafanya ubishi tu kujaza ma USED..
  Pole kocha hiyo ndo bongo darisalama

  ReplyDelete
 8. Hey did you see the traffic Police behind Suzuki, anasubili mushiko nini

  ReplyDelete
 9. Hivi jamani wabongo lazima muwakandie watu?Gari ni mashine, hata kama ikiwa mpya inaweza kuharibika!Yaani hamna hata siku moja watu wakatuliza boli wakafikiria kabla ya kuropoka! Na wengine hawajui kiswahili, baaasi taaabu tu!

  ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...