gonjwa la macho mekundu ya watani wetu wa jadi limeingia dar kwa nguvu zote na mmoja wa waathirka wa kwanza ni mwenyekiti wa kijiwe cha empress fundi mussa ambaye toka aanze kuugua wiki ilopita siku hizi anakula gogoz mpaka kitandani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. gogoz nini nini? Mnapotumia Kiswahili hiki cha mitaani mjaribu basi kutafsiri kwani wengine tulioondoka Tanzania zamani Kiswahili hiki cha mitaani kinachobadilidilika kila siku kama kinyonga kinatupiga chenga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...