TIK...TOK....TIK....TOK MDAU WA MILIONI 3 ANANUKIA NA DOLA 500 NDO HIZO. ILA WADAU NAOMBA NIWASHUKURU KWA KUWA NAMI KATIKA HILI MAANA HATA MIE KOROHO KINANIDUNDA KUTAKA KUJUA NI LINI NA SAA NGAPI TUTAGOTA MDAU HUYO WA MILIONI 3

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Naweka comment ya ushindi kabisa ...

    ReplyDelete
  2. rdor7819@hotmail.com

    ReplyDelete
  3. Hey Michu,
    Ee bana nami najiandikisha kupigania hili rundo la mahela. Peace kwa wadau wote

    ReplyDelete
  4. Michuzi
    Any habari kuhusu Ballali? Please post some news kuhusu Ex-Governor na wote wliohusika na wizi wa pesa za walalahoi.

    ReplyDelete
  5. Si niwe mimi tu jamani??!!!,

    Au nyie wadau wengine mnaonaje

    ReplyDelete
  6. Nazifanytia timing. Zangu hizo. Subirini............! Tatizo la hapa bongo week hiyo unaweza kukuta mtandao hakuna! Mechi in akuwa imekwisha kabla haijaanza!

    ReplyDelete
  7. valentineannosy@yahoo.com..
    najaribu bahati yangu :)
    michuzi endeleza libeneke kama kawa

    ReplyDelete
  8. mi nasubiri matokeo tu

    ReplyDelete
  9. mie hizo wala sizitaki michu mie nasubiria zangu zile za mechi ya arsenal na man utd ulizosema kesho washindi watajulikana...hadi nshazipangia matumizi

    ReplyDelete
  10. Silali mpaka nizichote hizi.

    Far East.

    ReplyDelete
  11. Dimbwi la utumbo taabani.Mdebwedo sifa na kujigamba kumekwisha.Lakini kama kawaida mashabiki wao watasema tutachukua mwakani.

    ReplyDelete
  12. Mweee nishinde jamani nami
    pampula2007@gmail.com

    ReplyDelete
  13. loudabbana@hotmail.com.....tuko sambamba...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...