maafisa wa sauti za busara na wa kampuni ya zantel wakipozi baada ya kutangaza rasmi kwamba tamasha la busara kwa 2008 litafanyika kuanzia alhamisi ya wiki ijayo hadi jumatatu yake katika ukumbi wa ngome kongwe na siku ya mwisho itakuwa ufukwe wa matemwe. toka kushoto ni n mwenyekiti wa sauti za busara simai mohamed said, mratibu kwame mchauru, mkurugenzi dj yusuf mahmoud, bosi wa biashara wa zantel justin coetzee na afisa masoko wa zantel mdau allan. hii ilikuwa leo ambapo zantel wamemwaga mamilioni ya shilingi kama wadhamini wakuu wa sauti za busara mwaka huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ustaadh upara unakuja huo na hauzuiliki.

    ReplyDelete
  2. Tena safari hii makulati ya Forodhani yamehamia ngome kongwe ndani kwa hivyo kula humo kwa humo manake Viwanja vya Forodhani vipo under renovation.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...