MANKA'S EX BOY FRIEND ALETA BARUA YA WAZI KWA WANA BLOG

Habari za leo ndugu wana blog,
nimesoma comments zenu zote alizoandikiwa huyu binti (Manka)na wengi wametaka kujua kwanini mimi na Manka uhusiano wetu haukudumu. Nitaanza kuelezea historia yetu kwa ufupi.
Mimi na Manka tumekulia kwenye mazingira ya pamoja tumeenda shule pamoja.Familia zetu zilikuwa na uhusiano wa karibu sana ukizingatia parents wetu pia walisoma pamoja.
Tulisoma wote tangia nursery mpaka secondary. Manka kwa bahati nzuri akafanikiwa kupata nafasi ya kwenda Norway mimi nikabakia Tanzania wakati naendelea kutafuta chuo nilikuwa naenda kumvisit oslo Norway na mimi pia nilikuwa natafutafuta chuo Norway lakini kwa field yangu( Aerospace and Aeronautical Engineering)nilifanikiwa kupata chuo colorado united state of America niliona kinafaa zaidi kwangu.
Wakati naenda masomoni nilipitia Norway kwa week mbili kumuona Manka baada ya hapo nikaenda kuanza chuo baada ya kumaliza mwaka wa kwanza hapo chuoni mimi na manka tulipanga kurudi likizo Tanzania ilikuwa kipindi cha Christimas baada ya hapo masomo ya kawa magumu sana kwa wote wawili kwa hiyo iilikuwa vigumu sana kuonana na kama mnavyoelewa a long distance love affair mara nyingi inakuwa ngumu sana kumantain na admit mimi ndio nilikuwa na makosa sana maana nilicheat kwa nia ya kuibia nilimpenda sana sana manka kwa bahati mbaya au nzuri my wife Lynnie (AUSTRALIAN) alipata ujauzito wa mtoto wetu wa kwanza Anold.
Nilificha kwa muda wa mwaka mzima nikiwa namkwepa kila kukicha Manka na familia yangu ilibidi ni hame nyumba na namba kubadilisha.
Mimi na mke wangu tukazidi kuwa wapenzi mwisho tukapendana ki kweli kweli fikira za manka zikabakia kama a espeacial friend ikabidi niwe mkweli kwa Manka maana nilijua imeshapita muda na itabidi ajue tukio lote walichukia sana lakini mwishowe walibidi waelewe na kwa ufupi Manka aliudhulia kwenye harusi yetu ambayo ilifanyika hapa States Manka, dada yake na mama yake walikuwepo na kwa ufupi mtoto wetu wapili wa kike anaitwa Rosemaria jina la katikati la Manka hata kwa sasa Manka akija states anafikia nyumbani kwetu na ni mshauri mkuu katika familia yetu.
Najua nilimuumiza sana kiroho Manka inaweza kuwa ndio matatizo yaliyompeleka kutokuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu(my opinion).
Manka sio kama watu mnavyomchukulia ila she is too PICKY very open minded na mwenye AKILI sana thats all I can say


Steve Mwil.........

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 104 mpaka sasa

  1. hebu acheni kusafisha vyupi vyenu hadharani!!!

    ReplyDelete
  2. hebu acheni kusafisha vyupi vyenu hadharani!!!

    ReplyDelete
  3. Me nashindwa kuelewa inakuwaje kwenye hiki kitabu mithupu anachoamua kukitunga kitakamilika lini ili tununue kitabu kizima kuliko tuwe tunasoma nusu kwa nusu.

    Sasa amemaliza muhusika mkuu aliyesababisha manka aje kutafuta boifilendi sijui hazibandi.

    Embu aje mama mkwe na mke wa steve tuone atasema nini?

    Duuu kweli sikujua hii blog imegeuka dhb embu wekeni vipengele vya mapenzi na mapendo na sehemu ya kuongelea maswala mengine.

    Hii post yangu najua me ndo wa kwanza kuandika sasa nisiikute ndo nitajua kuwa mnacreate wenyewe hizi story.

    Wewe steve sasa siumtafutie manka mzungu huko uliko ama ndugu wamke wako ama manka amsubirie huyo mwanao uliyemzaa kwakumcheat manka mumkuze na kumpa cfa manka anazozitaka.

    Mmmmh embu mie me natafuta wakumsaga kweliiiiiii

    ReplyDelete
  4. Huu ni utoto... Mtu mzima mwenye watoto wawili hawezi kuandika ujinga kama huu kama kweli ana akili nzuri

    ReplyDelete
  5. Steve, I think both you and Manka are missing the point. The comments are based on what Manka thinks a model man should be.
    Whatever happened between you and her in this case is irrelevant.
    who does she think she is to make such demands on a partner or husband?
    She might have a 1st class degree,Phd, xyz in xyz but what she hasn't and never will have is a degree in the college so called LIFE. Unfortunately for her she is struggling with the most basics.
    Now for both of you GET OUT OF MY WWW and find a life somewhere in Mars of Jupiter, join your alien friends ...... Mnanitibua kudadeki!

    ReplyDelete
  6. kwa mtaji huo basi wewe kijana ndio tukulaumu kwa kupoteza akili ya yule manka na kama bado friend ni uzushi tu maana feeling yeye bado anazo,na sasa anakuja kutupa habari hapa uwanjani huu ni ubunafsi na ume mpa mwenzio frastresheni ambazo aziwezi kwisha na kikia chako cha pweza kimetulia na huyo mauralia au na yeye soon anatkuja kwa michuzi kutupa story maana wewe ni mchakavu na mharibifu na sio mkweli yaani wewe ni sawa tu na karamagi kama alivyo tu richmond na epa walivyo tufisadi watanzania wewe unapaswa kubeba lawama zote na ubadiri tabia yako ya kubadiri matundu kama njiwa na utamaliza butcher na nyama ni ile ile sasa ona akili ya huyu manka imesharuka na kurudi hiyo uzeeni,na mume anayemtaka hampati kisa atakuwa anakuja kwako kukuona inamtosha.

    ReplyDelete
  7. Michuzi sasa hawa watu wamedhamiria kuigeuza blogu yako kuwa wanja la udaku, kuwa makini ndugu yangu. Sasa huyo anayedai ndiye ex-boyfriend anamaanisha nini kwa hiyo post yake kama si kuendleza udaku tu? Hizi story nakushauri umuuzie Eric Shigongo utapata hela nzuri!

    ReplyDelete
  8. Kijana safi sana. Nadhani umetoa kauli nzuri sana. You seem to be a man in your own class!

    I said it before huyu dada ni very understanding, independent and SHE KNOWS WHAT SHE WANTS! Ni mtu anayethubutu. Wengi wametukana lakini hawakuangalia ukweli. Personally I salute her. Ni wachahce wanaweza kufanya aliyoyafanya.

    SHE WILL SUCCEED, BECAUSE SHE KNOWS WHAT SHE WANTS. And Iam sure she was aware of the likely outcome of her post but she did it any way! Ni wachache wenye mtizamo kama wa Manka and kwa wenye akili ni dada wa kukata na shoka!

    Hongera kaka kwa kuwa mkweli..wangekuwa wengine wangetoa matusi na kukandamiza kikweli kweli. Yu are seem to be muelewa!

    All the best Manka!

    As long as you know what you want YOU WILL GET IT.

    ReplyDelete
  9. Ishakuwa blog ya kipuuzi.What is this sasa?Michuzi ukiendelea hivi nakuhakikishia mwaka huu hauishi kabla hujapotea kwenye anga za blog.Get serious man.

    ReplyDelete
  10. Manka used the wrong forum kutafuta huyo mchumba........heartbraek ni order pf the day, she shouldnt b an exception.....but we are not going all crazy with stupid qualifications kama size za viatu...C'on..
    And you are a bastard....are you hoping that writing this testimonial itasaidia uhusiano wako or how unaonekana concerning what u did>

    ReplyDelete
  11. eeeh,manka zamu yako sasa...................

    ReplyDelete
  12. YEHUUUUUUUUUUUU! YESU NA MARIA, WATANI ZANGU WACHAGA NDIO MMEGEUKA HIVI! YEHUUUUUUUUUUUUUU. KAKA UMEKUJA THIBITISHA USEMI WA WATU KUWA HUYO BI DADA HAWEZI KULICHEZA RUMBA, KAMA ANGEKUWA ANAWEZA KULISAKATA RUMBA KISAWASAWA, NDUGU YANGU HAKUNA CHA UMBALI WALA NINI USINGEMTOSHA, RUMBA SI MCHEZO BWANA HASA LIPATE MJUAJI WA KULISAKATA. KWA KUWA NDIO HIVYO TENA, UKAAMUA KUMTEMA SASA HAPA NDIO UNAZIDI KUMCHAFUA, UNAFIKIRI WAKATI WA KUCHEZA RUMBA INAHITAJIKA AKILI? KWANI UNACALCULATE MAHESABU AU UNAANDIKA THESIS? BASI INGEKUWA HIVYO WASIOKUWA NA VYETI WASINGECHEZA RUMBA. BORA UNGEUFUNGA MDOMO WAKO WATU WASINGEJUA KUWA ULIKIMBIA BIDADA LIGWARIDE HALIWEZI. UKIPATA MTU ANACHEZA GWAREDI KAMA FFU WA TZ WEWE! UNGEBEBA BOX, UKAFUNGA ZIPU NA KILA BAADA YA MIEZI SITA UNGEKUWA UNAMTAFUTA.LAKINI NDIYO HIVYO TENA UKISOMA BETWEEN THE LINES INAONYESHA BIDADA HAKUKUFIKISHA KUNAKO RUMBA SO ACHA KUMPAKA ILI ANGALAU ANAWEZA KUAMBULIA HUMU AKAJIPATIA MTU WA KUMLIWAZA ANYETAFUTA AKILI KITANDANI!

    ReplyDelete
  13. Haya yaliyoandikwa hapa umeyataka kwani ungekaa kimya?
    si ungemshauri huko huko offline?
    inamaana akija mnakumbushia sio? huoni ndio unazidi kumchnganya?
    mwambie alete na picha sasa tuone kama anastahili hizo Qualifications alizotoa...Mume hachaguliwi hivo sikiliza Feux De Lamour ya JB Mpiana utajua ninayosema.

    ReplyDelete
  14. Who is Manka by the way?

    ReplyDelete
  15. Nigga get the f*ck outta here!!yaani unashikilia mapaja ya ex wako...masela kama mpo interested na huyo binti basi pitisheni cv zenu kwake fala mkubwa huyu, i hope your wife is reading this gabbage u've written......wait a minute...this shit is kinda staged up!Nonsense 2pu michuzi unaleta

    ReplyDelete
  16. I dont see the logic of this called "Manka's EX boyfriend" to write this story
    hicho ulichoandika kama history yako ni nonsense kwa sisi wanablog, hatuhitaji kujua kutoka kwako. Huyo Manka ameshaandika kwamba anatafuta mwanaume its enough just kwa aliyevutiwa kuwasiliana nae sio wewe ulete story zako

    ReplyDelete
  17. Steve, inaonekana bado mdogo au pengine umekaa sana huko ulipo ukasahau "Mila na Desturi" zetu manake hayatuhusu hayo.... Au ndio yale mnayoyaita "Pimpin"....

    Kazi njema kumtaftia kimada wako.... anakaribishwa pia manake sisi wenye hisham hatuna noma na "MAPOOZEO"

    ReplyDelete
  18. Hivi na Steve naye ana akili kweli!!!Kama mshauri wako mkuu ni Manka, basi umepoteza mwelekeo. Hivi hizi Degree mnasoma tu au mnasoma na kuelimika? Mara M Eng, Aeronautical Eng,etc. Lakini IQ below 50 %.

    ReplyDelete
  19. Holly shiiit, Very sorry for Manka and Family for been a such a hypocrite and a pure laughing stock in this blog,one thing who the hell you thing u are? and two don't come out here bitching about your stds because your wickness is somebody else's strength and vice versa.Don't ever again come out here winning with your xboyfriend about your private life, please keep them private na pia unaonyesha ukweli wa ule msemo kwamba kuwin elimu si kuwin maisha because that lil money u got never buy you happiness n if you're looking for a man you in wrong site just google the right site otherwise you and your x boyfriend ya'll look like bunch of dirty bustard..peace out

    ReplyDelete
  20. Steve ni kweli wewe ndiyo uliyemuacha huyu dada au yeye ndiye aliyeanza kukudharau pengine kwa kushindwa sharti la ukubwa wa kiatu (tehee!! teheee!!!). Nasema hivyo kwa sababu huyu dada amespecify ukubwa wa kiatu na hii inaonyesha uzoefu aliupata akiwa nawe. Usijaribu kumuosha huyu dada kwani amejichafua mwenyewe na hakuombwa kuleta upuzi wake hapa, kama anataka kiatu size kubwa hapa siyo mahala pake, aende Jolies au ;;;;;;;;;;; huko atajaribu mwenyewe na kitakacho mfaa ataingia nacho mkataba

    ReplyDelete
  21. Bollocks!

    ReplyDelete
  22. Tangazo kutoka STUDIO...

    TAMTHILIYA HII YA ""MANKA CV"" INALETWA KWENU NA UDHAMINI MKUBWA WA http://issamichuzi.blogspot.com


    ......

    ReplyDelete
  23. mIchuzi michuzi unatuchefua na huu upuuzi...kuna sehemu kibao za kutafuta wachumba sio hapa,hapa kila mtu anaonanaa mna wakwake.sasaaa michuzi naona huna cha kuandika unatafuta waosha vinywa waongee..sitasoma tena blog yako na byee michuzi

    ReplyDelete
  24. C'mon fella, this is a made story... its fishy and fake.

    A dad hawezi andika upuuzi huu.. Kwanza revisit all the comments,I dont think kama most of the guys were interested in knowing kwa nn mliachana na chizi mwenzio Manka.

    Na ulivyo chizi unasema eti "...mimi na mke wangu tukazidi kuwa wapenzi mwisho tukapendana ki kweli kweli fikira za manka zikabakia kama a espeacial friend ikabidi niwe mkweli kwa Manka maana nilijua imeshapita muda na itabidi ajue tukio lote walichukia sana lakini mwishowe...." and that moment tayari mlikua mnamtoto mmoja. wat a stupid statement.

    Kumbe ndo maana mlikua na uhusiano na Manka,maana wote ni vichaa mlikutana.

    Nazidi kusema the whole shit really sucks... If u know what a real man means.

    ReplyDelete
  25. HAKUNA MTU ANATAKA KUJUA MKE WAKO KATOKA WAPI NA UNASOMA WAPI....KIFUPI MIMI SIPENDI KUTOA COMMENT HAPA LAKINI NINACHOJUA KWA HAPA KWETU ULAYA MANKA ANAJIUZA ,MEANS ANAWEKA PESA MBELE NA SIO UTU,,,MWANAMKE ANAYETAKA MAKUBWA ANAJIUZA KIAINA,,,,NA WEWE STEVE KAMA UMEOA USINGETAKIWA KABISA KUSEMA LOLOTE KWANINI USIOE WOTE WAWILI....MDAU..00316

    ReplyDelete
  26. HII EMAIL NIMEIPENDA SANA WOTE MNAOPONDEA SIJUI MNAPONDEA NINI NA MSICHOTAKA NINI UKIJISIKIA ANDIKA KITU CHOCHOTE ANDIKA SO LONG MICHUZI ANAKIPA BARKA BASI MI NASHANGAAGA SANA UTAMSIKIA MTU OH BLOG IMEGEUKA KUWA HIVI MARA VILE ALIYEKWAMBIA...ZIFUTAZO NDIZO STANDARD ZA BLOG NANI? MBONA WATU MNAPENDA KUSHARE MATATIZO YENU YASIYO NA MSINGI NA KILA MTU KAMA UNAONA TITLE INAKUBORE TULIA ACHANA NAYO AU ANZISHA BLOG YAKO UWEKE STANDARD ZAKO WATU WAKUTEMBELEE MNAMAUZI SANA HUYU KAKA ALIYEANDIKA NIMEPENDA STORY NZIMA BAHATI MBAYA SIKUONA HIYO PICHA YA MANKA WALA SIJUI STORY ILIKUWAJE MWANZO LAKINI KWA NILICHOSOMA HAPA KIMENIFURAHISHA WATU WENGI WAMEPITIA HAYO NA WATU WANATAKIWA KUJUA MAPENZI NDIVYO YALIVYO NI SAFARI NDEFU NA INAPOKUWA IMEFIKA MWISHO WATU LAZIMA WAKUBALI NA KUWEZA KUSONGA MBELE KAKA NIMEFURAHI KUONA HILI NI FUNDISHO PIA KWA TULIO WENGI NIMEPITIA HILI NILIMPENDA MTU SANA NA SASA NIMEOLEWA NA MTU MWINGINE NA MTOTO FAMILIA YANGU NZURI SANA NAMPENDA SANA MUME WANGU LAKINI ALIYENIACHA ALINIUMIZA KWA WAKATI ULE, NIMEPITA HAYO NASONGA MBELE LAKINI SIJASAHAU UCHUNGU NILIOUPATA KWA WAKATI ULE

    ReplyDelete
  27. Duh. Nyie hamna haya kweli. Kueka mambo yenu wazi hivi ili iweje? Kama hawa watu wanamkatalia Manka kwani wanawalisha nyie au kuwavisha? Aso mtu kweli ana mungu. Unambia vaa nguo ujistiri sasa nyie hamjistiri kueka mambo yenu wazi dunia nzima isome kha.
    Sijawahi kuona wachaga wasokua na haya wala vibaya hawavijui.

    ReplyDelete
  28. Duuu sasa huyu manka anapick hadi size za viatu basi kama ndo hivyo amtafute shaq o'neal anaevaa kiatu namba 26 na ni single vile vile, manka si unajuwa maana ya kuwa na mguu mkubwa manake hata mguu wa kiunoni yaani mguu jr nae ni noma sasa just be careful what you wish for dada yangu.peace

    ReplyDelete
  29. Huyu Steve Muongo Pia Halafu Huyu Ni Steve Anajiita KijanaMzuri Kuleeee..... Wanakujua Wana Blog

    ReplyDelete
  30. Jamani me hii story yote looks like imetungwa. IT IS VERY BORING. Michuzi hebu uwe unachambua nini cha kutuwekea bloguni, if they want to express their boring feelings hapa sio mahala pake.

    ReplyDelete
  31. unajua watu hawana kazi za kufanya..

    saasaa kama huyu mtu mzima kujidai ye manka at the same tym kuwa X-bfriend wa manka... hamuoni huu ni wendawazimuu jamaniii...

    kijana hana kazi ya kufanya.. na watu wa namna hii huwa wanakataliwa kwenye jamii kutokana na upuuzi wanaoufanya..

    saasaa basiii ili waonekane wana umuhimu wanaamua kuandika mawazo yao ya kijinga kuona jee watuu wata-respond!!! ili afarijike kisaikolojia...

    Jamaa anahitaji saikolojisti huyooo...

    Na ukichaa upo mwingi si kuokota makopo tuu..

    ReplyDelete
  32. Jamani hii ni Hadithi ya Manka nini?. CRAZY GK IMBA TU MWANANGU SAUTI YA MANKA... msituyeyushe jamani juwa kali bongo. baridi kali ulaya, tunasubiri hukumu tu twende peponi mungu akijalia. issa pendezesha blog ila sio kama hivi mambo ya manka wacheni uongo jamani mwanaume mtu mzima hawezi kukaa kufagilia uongo huyo tushamstukia manka tu huyo.

    ReplyDelete
  33. Chaguwa wimbo au kma nikuchagulie iwe kama ahsante kwa hayo mashairi uliyotupa Basi wimbo Hautokuwa mwingine isipokuwa ule uliyopigwa na Kikundi cha makasi uitao SIKU YAKU

    ReplyDelete
  34. huyo manka na ex boyfriend tutoleeni upuuzi wenu kwanza hayo maelezo yenu kama watoto wa darasa la saba,mmeliza verisity nyie?

    ReplyDelete
  35. Watanzania bado mna maisha ya usiri na hao ndio ambao mtakaa kuyalinda na mnafikiri hao ndio maisha,mnamaisha ya kufikirika bado na wala hamuoni umuhimu wa watu kuishi maisha ya kweli,nawalaumu baadhi ya watoa maoni kwa kuwaona hawa waliongia kwenye hii blogu ya michuzi yaani manka kuelezea fikra zake na mahitaji yake na huyu bwana aliyestaarabika na kujua maisha ya kweli na kutoa ukweli kama ulivyokua hata kama si sifa lakini hivyo ndivyo ilivyo.waacheni watu waongee maisha kama yanavyokwenda na wewe wajibu wako ni kuongea kama unavyoona wewe na sio kuu attack muongeaji huna ya kuongea hamna haja ya kuingia na kusema jambo alaah!

    ReplyDelete
  36. Hey Manka i only got four words for you "MCHAMBA SANA MWISHO HUSHIKA MAVI".so good luck boo boo.

    ReplyDelete
  37. Is this for real or just a way to provoke conversation?

    ReplyDelete
  38. I STILL BELIEVE KWAMBA CHIBIRITI WILL BE THE BEST MATCH FOR MANKA. I DONT CARE ABOUT WHAT HAPPENED BETWEEN STEVE AND MANKA, I THINK CHIBIRITI WILL BE ABLE TO MAKE MANKA FORGET ABOUT THIS STEVE GUY.

    CHIBIRITI, WHERE ARE YOU BROTHER?

    ReplyDelete
  39. We kwenda zako huko! Ulininogewa na penzi la huyo mua ustralia ama uliogewa na US? Ukawa unataka kutengeneza karatasi by any means? Kicheche tu wewe! Laghai mkubwa... Na nimetabiri kifo chako kitakua cha ukimwi. Sheitwan rajiim!

    ReplyDelete
  40. That is another part of the coin, but real it doesn’t erase the utopian mind of Manka. The Important part of marriage is love itself and not material things. Real love comes from heart and not from brain. The descent approach is not to list multitude of specifications but you could have just introduced yourself and the main problem which is to get a marriage partner, a response from public could have given you a chance to asses, select, build relations and decide by specifications which you desire! Marriage is not like buying a car or building house. It is not a matter of material things; it is about real love and not business love which you can purchase.

    ReplyDelete
  41. Embu tuondeleeni huu uchafu. Tunataka matukio sio hadithi za abunuasi.

    ReplyDelete
  42. Hebu tuambie kitabu chako chahadithi utakiitaje...kwa vile kinaendelea vizuri tu a...au ni short short stories????


    Steve unaishi wapi colorado manake mimi nipo hapa kwa muda sana

    ReplyDelete
  43. This is unneccesary for 2 adults who claim to be very educated to talk about their private life on a public blog.manka I took ur words as a joke at the beginin but now seems to be true and all I can tell u is "SHAME ON YOU". Steve too "SHAME ON YOU" for responding to her.Manka get a life sweetheart even a 13 year old girl will not try to find a lover in such a way.Some people may be attracted to u but if u go beyond to that point they will think u got issues and back off.

    ReplyDelete
  44. we anonymous 9 march 11,2008 5:17 pm..
    wewe ndo hautakuwepo kwenye anga na hautawahi julikana...misupu tunasubiri part two ya manka na tutasoma...misupu anaweka anachotumiwa sasa wewe unaesema ishakuwa ya kipuuzi fungua yako kama hautakuwa msomaji peke yako...alaa

    ReplyDelete
  45. Naomba niwakumbushe ndugu zangu,hii ni blog ya jamii. Na hii post inahusu masuala ya kijamii. Kwa hiyo wale waliokwazika na post hii,tafadhalini muwe wavumilivu na wenye kuchukulia mambo wa mtazamo mwingine pia,si mbaya kujumuika katika habari kama hizi. Nafikiri ni kwa sababu habari inamhusu Manka. Mi mwenyewe hii habari imeniuma sana pia imenikumbusha mbali sana kwani hakika nafahamu fika hamna penzi linalouma pindi livunjikapo kama lile lililoanzia tangu utotoni. Nasema hivyo kwa sababu yalinifika yalowafika hawa tena ilinitokea tangu 1997 hadi leo nina miaka 33 nimeshindwa kabisa kupata msichana wa kuoa kwani bado nina hisia kali sana juu yake kiasi kwamba nikionana nae usiku hutokea nikamtaja ndotoni,ugomvi unakua mkubwa kama nipo na rafiki mwingine,mbaya zaidi mahusiano hufikia kuvunjika kwani ni vigumu msichana kuamini kwamba kuna uaminifu kati yetu.
    Kwa waliowahi kukumbwa na huu ugonjwa wataelewa na kukubaliana na post hii na comment yangu,ila kwa wale ambao hiyo ni hadithi,hakika itakuwa ni hadithi kwao.
    Si kwamba namuombea ubaya huyu X boy friend lakini ili akitaka ndoa yake idumu,basi akae mbali sana na Manka,vinginevyo upendo wa kweli haufichiki,atajikuta anarudi tu kwa Manka.
    Nawapa hongera wote walioweza kuishia kwenye ndoa penzi lao la utotoni,lakini kwa kina sie huu ugonjwa unatusumbua sana si Manka tu anayesumbuliwa na ugonjwa huu lakini hata mimi George Mwesiga ugonjwa huu unanisumbua sana na bahati mbaya mpendwa wangu huyo amekwisha olewa ndoa ya kikristo,uwezekano wa kurudiana nae ni sawa na hakuna,isipokua juhudi za kumfuta akilini zinagonga ukuta kwani nikionana nae tu namwona kama yule wa miaka kumi iliyopita

    ReplyDelete
  46. Haya sasa maigizo!!!!!!!!!!!UZUSHI MTUPU

    ReplyDelete
  47. I don't think U should feel sorry about leaving Manka, unless kama unampenda bado na unataka kurudiana naye, huna sababu ya kuelezea nini kilitokea. Sijaona dhumuni hasa la wewe kufanya hivyo, Je, unataka kumsaidia apate mchumba unayedhani atakuwa bora kwake? Huwezi kwa kuwa hata wewe hukuweza. Na kuhusu yee kuwa too PICKY ni tatizo kubwa kwake.
    Kwa kuwa anashindwa kutofautisha sifa za mpenzi na sifa za mfanyakazi au mwajiriwa. Nina maanisha kuwa, Manka ametoa sifa kemkem kuhusu mchumba anayemtaka aweje, sifa ambazo zinamaanisha kuwa anataka kuajiri mume na si kupata mpenzi, sana sana atapata wasanii, wamuumize aishe kabisa. Sishangai kwa kuwa ni Mchaga, mara nyingi hudhani kuwa mali ndiyo ndiyo bora kuliko peace of mind. Halafu ushauri wangu kwako mzee Steve, wewe mwanamke umeachana naye, waambatana naye wa nini? Ukijua kuwa ulimwacha bado akupenda na wewe wampenda, msituzingue ninyi, mnataka kuwachanganya watu tu. Hivi chukulia mkeo anajisikia vipi iwapo Manka nakuja kukaa kwenu? Usiweke uzungu humo, hata wao wanawivu mwingi tu na ndiyo maana wanuwana kwa wivu. Sawa mkeo ni mstaarabu, anajifanya hajali kuwepo kwa Manka, aumia lakini hasemi. Na kwa kuwa, anajua uhusiano ulokuwapo kati yenu, kila kukicha ndani fikra zake kunajambo atataka kuthibitisha kwama kweli hakuna uhusiano tena au anadanganywa. hiyo pekee ni mateso yasiyo ya lazima kwake. Fikiri hilo utaharibu na huko. Achana na Manka ahangaike kivyake au muache mkeo, mrudie Manka. Usikae kati yao.

    Ni ushauri tu huo nakupa, mwanamke mwanamke tu, na siku zote fikra za mapenzi hazijifichi na kumbuka mwanamke na mwanamume marafiki ndiyo hufanya mapenzi na si maadui hao hubakana. Urafiki kama wenu huo, mimi siufagilii kabisa, naomba niwe muwazi.

    Na kwa mpenzio mamnka, mwambie kuwa, atafute mpenzi na asiajiri mume. Halafu, wapenzi hawatafutwi katika, mitandao au magazeti. Yeye anatatizo gani? huko mtaani anakokaa hakuna vijana? Kazini je? Shule alikosoma na anakosoma? party anzaokwenda? Marafiki wa rafiki zake? Marafiki wa familia ya baba na mama yake je? Hao watu anaopanda nao daladala kila siku, vipi? Au kwa kuwa ana usafiri? safari anazo kwenda? Kama huko kote na kungine hajaona mtu anayefanan na kuwa mpenzi wake, basi asijaribu kwenye mtandao, humu ndo atachanganyikiwa kabisa. Na hii inamaanisha kuwa huenda ana matatizo ya tabia au anajiona ni matawi ya juu, ambalo nalo pia ni tatizo la tabia. Mwambiye ashuke huko juu aliko. Mapenzi hayana shahada wala stashahada, hayajui mchaga, wala mmasai, mweupe wala mweusi na ndo maana wewe umeoa mtu wa taifa jingine, vipi kama nagesema anataka wazungu tu, ungekuwa naye leo? Huyu Manka ni mshamba wa mapenzi kwa ufupi. Anadhani kwa kuwa kasoma, kasafiri basi anahaki ya kumiliki mume. Naenda kazini, nitarudi kuandika baadaye. Mwambiye kuwa mimi nimesoma sana, nimesafiri sana, mke wangu ni mbongo, ana zero ya form 4 na ni mmakonde, lakini nampenda. Halafu kilicho muhimu nikuwa, nilipomuona mara ya kwanza tu nilimpenda na sikumuuliza kama ni wa kabila langu, ana elimu gani, kasoma wapi, wazizi wake wakoje, ana pesa kiasi gani, anvaa kiatu size ngapi, sikujali kimo chake wala rangi yake, sikujali kama anaonge kiingereza au kichina, ukweli kiingereza kaanza kuzungumza baada ya kufika hapa marekani, sikujali rafiki zangu, ndugu zangu, wafanyakazi wenzangu au wageni wangu watamuanaje, kwa kuwa, ninachojali ni vile mimi namuaona na yeye ananiona, ninampenda hivyo tu basi, sijali ana shilingi ngapi bank au katika kibubu. Hala fu lugha watu hujifunza, haijalishi umesoma kiasi gani kuongea lugha fulani. Halafu si wote wasomi wanaongea kiingereza au kifaransa. Jamani bye, nitarudi baadaye.

    ReplyDelete
  48. i have this gut feeling,that either some dude is taking us for a ride,or unknowingly we are being used as guinea pigs.if what is unfolding in front of us is true,then this is an outright case of mental breakdown,manka and his co pilot need immedate medical assistance,i dont see how so called learned personality's could of all places undress themselves in a blog

    ReplyDelete
  49. MIJITU MINGINE SIJUI IMEKOSA CHA KUFANYA, MANKA NA HUYU BWEGE WOTE AKILI ZAO HAZINA AKILI, WATOE BWANA MICHU WANANICHAFUA TU HAWA, KUDADADEK !!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  50. KWELI WATU HAWANA KAZI ZA KUFANYA..MICHUZI HII NDO UKAONA HABARI YA KUWEKA KWENYE BLOG YAKO???
    AM DISSAPOINTED,THIS'S INSANE!

    ReplyDelete
  51. Sasa wewe Steve, mbona haueleweki kabisa; Hivi unaomba ushauri ? au unajisifia ? au unataka ujulikane ? Na muda ulio tumia kuandika hii hotuba....mbona ungefanyia mambo ya maana,.....halafu wewe ni Baba !. Upeo wako wa kufikiria bado chini sana. Unachafua hii BOLG.

    ReplyDelete
  52. KUNA MAWILI HUYU BINTI ANA MATATIZO TENA MKUBWA TU NA NASHAWISHIKA KUSEMA UPEO WAKE WA KUNG'AMUA MAMBO NI MDOGO,AKILI YANGU INANITUMA KUAMINI KUWA HAPA TUNATUMIKA ,SIMFAHAMU SANA MICHUZI ILA NILIWAHI KUMUONA KTK PROGRAMU MOJA HUKO BONGO ANA DALILI ZA KUWA MSANII FLANI SINA UHAKIKA SANA NISIMUHUKUMU ILA ISIJEKUWA KAFANYA MCHEZO NYUMA YA PAZIA TUNAHITAJI KUTUMIA BLOG HII KULETA ELIMU KWA WANANCHI WETU KTK NYANJA ZA UCHUMI NA MENGINEYO NA SIYO KUJADILI HABARI ZA MAHABA ZA MTU FLANI NA BWANAKE HUKO WAPOTEZE MUDA WETU NASEMA HIVI KAMA MICHU UMEFANYA MCHEZO UNAPASWA KUTUOMBA RADHI NA KAMA HUUSIKI KWA NAMNA YOYOTE YA USANII BASI TUMIA AKILI YAKO VIZURI MTU MZIMA WEWE USIWE MUHUNI HAIPENDEZI UNCLE MICHU KAZI NJEMA

    ReplyDelete
  53. MANKA NA YEYE AJIBU MAPIGO SASA..TUNASUBIRIA TU!BRO MICHU LETE MAMBO..WATU TUKO MKAO WA KULA!TUPE NYEPESI NYEPESI

    ReplyDelete
  54. ...AND HERE IS TO PRESENT YOU MICHUZI'S CELEBRITY ladies and gentleman,
    Number one goes to CHIBIRITI
    Number two goes to MANKA
    Ladies and Gentleman stay tuned for the rest of the list after a short commercial break..........

    ReplyDelete
  55. Unless Kaka Michuzi edits the stories, to me, the ex-boyfriend and the prospective-girlfriend seem to be the same person. Look into their writing styles, the way they dont respect brackets etc. Is it so because they happened to live together? ALL THE BEST!

    ReplyDelete
  56. michuzi, tunaipenda hii blog lakini sasa unaaanza kutuwekea mambo ambayo mhaya anasema "none of ou business" yaani matatizo ya kila mtu yakiletwa kwenye hii blogu basi itageuka kuwa something else hebu weka vitu vya maana

    ReplyDelete
  57. Wacha kumsifia Manka kuwa ana akili sana.Angekuwa na akili sana angeshaolewa siku nyingi.

    Mwanamke ukiona hajaolewa ujue akili hana.

    ReplyDelete
  58. Hii hadithi nzuri lakini nafikiri hapa sio mahala pake!

    ReplyDelete
  59. Mdau uliyesema juu ya CHIBIRITI big up sana. Ni kweli huyu jamaa atamfaa Manka Mushy. Huyu jamaa si yule wa Rome italy mwenye Desktop ya zamani sebuleni kwake......hahahaha. Hey brother plz show up and rescue this single gal. you 2 will make a gud family. Mr and Mrs CHIBIRIZI.........I LOVE IT

    ReplyDelete
  60. i can not belive it!, you are so stpid!

    ReplyDelete
  61. umbea mtupu huu unaleta za shigongo hapa..mmetunga tena hii ndo haieleweki

    ReplyDelete
  62. Please be civilised!improve your blog to give us a down to earth news on what is happening in tanzania where majority of people are impoverished with poverty etc

    Dont give us nightmares of mankas...these are of other class they have their own class..do you really need someone who find a friend to send an aplication to you acompanied with valid certificates of schools!boolshit!is it an office or a company!was ur friendship a love at first sight or ur were just looking for something?perhaps money monger....rudi uchagani ukaolewe na villagers....

    ReplyDelete
  63. Seriously,steve unapoteza muda wa wadau tu..Yani umeandika irrelevant story kabisa ambayo hatuhitaji kabisa kuisikia..Kuna mshkaji kasema,review all the comments, hakuna mtu alihitaji kujua mliachanaje n stuff like that.Nilipoona intro nikajua mtoto wa kiume utaandika kiume lakini we ndo umeboa zaidi ya Manka mwenyewe.Kwamba she's too picky, we know that already,so what??

    ReplyDelete
  64. NADHANI UMAANA WA HII BLOG YAKO BWANA MISUPU A.K.A. MICHUZI UMEISHA !!! KWANI BAADA YA KUTUHABARISHA NA HABARI ZENYE UMUHIMU KWETU NA TAIFA KWA UJUMLA, UNALETA MALUMBANO BINAFSI AMBAYO HAYANA MANUFAA KWA JAMII YA BLOG HII. HAWA WATAFUTAO WACHUMBA NA KUJITANGAZA NADHANI KUNA SEHEMU MAHUSUSI KWA SHUGHULI ZA UTANGAZAJI WA MAMBO HAYA HASA YAHUSUAYO WATU WACHUMBIANAO KAMA VILE MAKANISANI AUMISIKITINI NA SIO HAPA !!!!! Michuzi endelea kutuhabarisha na habari NYETI na MUHIMU kwa jamii NZIMA achana kabisa na UPUUZI wa akina MANKA and the like !!!!!!

    Ciao !!!

    Kichwabuta Mwendantwala

    ReplyDelete
  65. Wewe Steve ngoja ni-mtafsirie hii post yako mkeo kwa ki-norway tuone kama hukuti nguo zako nje!

    ReplyDelete
  66. ...kama kisa hiki ni cha kweli, basi mimi naona ndiyo hali halisi iliyopo. Vijana wengi wakienda huko majuu kusoma wanakuja na lundo la vyeti lakini kamwe hawawezi tena kuwa watu wakutumainia katika mahusiano ya ki-makisha. Most of them hawawezi tena kuwa waume au wake wazuri kwa sababu mume au mke mzuri kwao ni vyeti na si mapenzi ya kweli. Hii ndiyo maana jamaa huyu alishindwa kukaa na Manka maana kama kweli alikuwa anampenda asingemdanganya. Mbona kila siku watu wanaimba ...'nitakufa kwa ajili yako mpenzi, nk.( au pia hii ni uongo?) na Steve hakufikia hata hali ya kuuguwa kwa ajili ya Manka. Steve alimchukuwa Manka kwa ajili ya vyeti na si mapenzi ya dhati! Yeye alishindwa, kwa nini awasukumie wengine?Mfupa uliomshinda fisi mbwa atauweza?
    Manka hapa anatafuta vyeti na si mtu wa kumuoa.Kwa lugha nyingine anatafuta mtu mwanaume mwenye vyeti hivyo ili amwajiri na si kuwa mume wake.
    Anony mmoja amesena SO LONG AS MANKA KNOWS WHAT SHE WANTS SHE WILL GET IT. Ni sawa. Manka anatafuta vyeti na si mume. Vyeti atavipata lakini kamwe mume au mke hatafutwi kwa njia hii.

    Nasikitika kusema kwamba sasa hivi jamii yetu inatikisika kwa kukosa misingi imara ya familia maana ndoa nyingi ni za vyeti (CV vs CV)na hizi hazidumu, na zinazodumu ziko kahututi kwa sababu wanakuwa ni mke na mume kwa kuwa wanashea nyumba tu lakini mioyo yao ikiwa mbali mbali sana.
    Kina Manka na Kina Steve wako wengi na kwa bahati mbaya ndiyo wanaoitwa wasomi. Ndiyo wadau wakubwa wa nchi. Wameshika usukani kuipeleka jamii ya binaadamu kwenye shimo la uharibifu, na itatumbukia tuu....

    ReplyDelete
  67. SASA NAONA MWATHIRIKA WA VILE VIPINDI VINAVYORUSHWA NA TV ZETU KARIBU ZOTE VYA TAMTHILIA SASA HII NDIO EFFECT YAKE,MANA HATA TVT WANA KIPINDI MAALUM ETIKUJADILI HIZO TAMTHILIA!!!! BASI NAOMBA MMPELEKE HII PROPOSAL YENU ILI IFANYIWE KAZI KULE BAGAWOOD MAY B WANAWEZA FYATUA KITU CHA UHAKIKA.

    ReplyDelete
  68. MICHUZI HII BABU KUBWA MWAMBIE MANKA NA STEVE WAENDELEE KUTUPA HABARI SISI WAPENDA UMBEA TUNASUBIRIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  69. hii story si mchezoo nimeipenda msiopenda nendeni mkalale utamu tupu hapo

    ReplyDelete
  70. mimi nimemmind sana steve umefanya vibaya ila bado unampenda manka

    ReplyDelete
  71. sio kila siku habari za kitaifa tu jamani lazima tuburudishe akili zetu kwa mambo ya kijamii tatizo lingine Tanzania hakuna sehemu za counciling zaidi ya kwenye ukimwi sasa mawazo yenu ndio yanasaidia watu wengine auoni watu 170 walio comment tayari wamemfanya manka aelewe tatizo liko wapi watu kuwenu POSITIVE jamani na elewene matatizo

    ReplyDelete
  72. Skia michuzi,

    Ukiona Comments zinafikia kwenye Mia naa..., post majibu ya Manka tuendeleze libeneke.

    Hiyo story ya Manka Part 111 waweza kuiita "The Trinity",

    Pia la muhimu ni kuiombea "Copy Right" kabisa ili Kina Ray na Kanumba wasije kuiiba na kuitolea movie au kitabu.

    Kama ka-blog ketu kaki-advance zaidi mi nashauri tuitolee Movie sisi wenyewe wana Blog na hata naweza kukusaidia kigiza tukiwa na kina Kibiriti wa Kibatari, Manka mwenyewe na wadau wengine.

    Au wachangiaji mnasemaje??

    Naanzisha hoja juu ya hoja.

    JAMAA-Arusha

    ReplyDelete
  73. duhhhhhhhh me sisemi ila nina 12inch km ongea.

    mdau,kuala lumpur

    ReplyDelete
  74. Hawa jamaa sawa kabisa na mtu aliyekwenda jisaidia HAJA KUBWA peupe stendi kubwa ya mabasi watu wakiwakodolea macho wakifaidi sinema ya bure!Michu Pleeeeeeeeeeeeeeeeeeaaaaaaaaaaase!
    Muda wetu unathamani kubwa!Ukigeuza Blog hii mahala pa kusuluhisha migogoro ya ndoa au kichaka cha kusakia wachumba,wadau watakutoroka mshikaji.Na ku Mind sana Michu!Fikiria mwenyewe hizo comments zinazo flow.And just what the hell is this!Ooooh mimi nina degree nina experience nina bank account nina gari....he mama!WATU WANATAKA FRESH YA SHAMBA,hiyo midabwada nani ataiweza!Chukua time pleeeeeeeeeeeeeeeeaaaaasee!

    ReplyDelete
  75. Mr Issa,

    I would like to thank you for the tireless effort and commitment that you put in providing us who are outside of Tanzania with lots of news about our beautiful country.
    I would like to say this, your blog provides more information about Tanzania(we can debate the quality of it)than any Tanzania government information entity for those abroad. It's easier to get information about government issues back home then to visit the nearest Tanzania embassy and try to get the answer.
    I am not sure if you have grasp the magnitude of your blog and what opportunities that can be derived from it.
    It saddens me when I visit your site and find nonconstructive people posting their love stories for us to read. Yes its your personal blog but again it's gone beyond the point of being a personal web page. In matter of fact you should start your own website for this!

    For these two idiots who think we give a damn about their boring love life. Manka get a life, find yourself a guy and move on steve is no longer in your reach. By the way asking people to send their cv if they only fit your criteria; if you think about it shows how shallow you are and maybe those defects are what you have.
    For Steve, grow up! You moved on you have a family respect it. What kind of man who is self respecting will disrespect his wife and family by going online and answering some desperate x-lover's comments.Is it an ego trip??

    To my fellow readers sorry for wasting your time with this and Issa keep up the good work and please don't let some of these idiots spoil the fun of your blog

    Homer Simpson

    ReplyDelete
  76. HII STORI YA KUTUNGWA!!! UZUSHIIIIIIIIII BUT ENTERTAINING..HA HA..WILE

    ReplyDelete
  77. Haya sasa masihara,ubabaishaiji ushaanza?sie tutajuaje kama kweli alie andika hii sms ndie ex wa huyo manka???michuzi angalia aina ya sms ya kuzipublish maana wabongo kwa fix ni balaa.

    ReplyDelete
  78. i think michuzi this blog of urz iz free.in meaning to kwamba mtu yeyote anaweza kupost chochote.kwahiyo i don't see the reason why people should complain about wat manka and steve wrote.kama mlikuwa hamtaki mngeanzisha blog zenu bwana.

    ReplyDelete
  79. WABONGO KWA KUPENDA KUSHABIKIA MAMBO YA WATU CHECK WALIVYOCHANGIA HOJA YAANI INAELEKEA KILA MTU AMEFURAHI UMBEA HALAFU WANAJIFANYA WA MEMIND KAMA NI HIVYO MBONA MMEACHA KUCHANGIA HOJA NYINGINE MICHUZI ENDELEZA LIBENEKE HII INAONYESHA ULIVYO FAMOUS KILA PANDE YA DUNIA PIGA BAOOOO,MANKA MIMI NITAKUOA EHEEEEEEEEEEE.UNAJUA NINI WAMEMIND WALIVYOAMBIWA LAZIMA WAONGEE KIINGEREZA NDIO KIKUBWA KIMEKUWA TATIZO HAPO

    ReplyDelete
  80. Acha ushamba we Steven,

    Kwa hiyo unampigia debe au??

    Kama unampigia debe kwa kumuonea huruma, muoe wewe basi,
    si alikua wako na unajua utamu wake.

    Ina maana web za kutafuta uchumba hajaziona??

    Na masharti yoote hayo ya kazi gani??

    Kwanza madem waliosoma mambo ya ufundi hawakuwagi wazuri, wengi wao wagumu tu hata zaidi ya ma-men,

    Na huyo muathirika mwenzio Manka atakua hivyohivyo,

    ReplyDelete
  81. This posting from the so called manka's x's gibberish, steve don�t bullshit us, the story u�re telling is synthetic, hujui hata kutunga uongo, story yenyewe inaonyesha kabisa haina value-adding facts kuonyesha kweli ni x wa manka, hata mtoto wa darasa la tatu akiiona anajua tu kwamba umetunga, so let people give manka the lesson if at all she posited that marriage advert.

    ReplyDelete
  82. pole mtani wangu Manka.pia hongera,msimamo wako huohuo endelea nao.mimi niliachwa hivyohivyo na mwanaume ambae pia wazazi wanafahamiana.Nikajitia hasira nikja zalishwa sio hata kuolewa na mswahili wa hali ya juu familia hovyoooooo waswahiliiii.mh shida

    ReplyDelete
  83. I like it the way people have fallen in a trap that exposes weaknesses na frustration zao, I am sure this is a game and it turns to me to be so funny, anyways best wishes endeleeni na maguvu ya hasira dhidi ya Manka na Steve wa kufikirika, Misupu wa watu mwacheni kosa lake nini?

    ReplyDelete
  84. sasa huyo manka akija kukutembelea unamuambiaje huyo mkeo ? au unamjulishakama ni dada yako tu kisha mkeo akienda shopping nyie huku aaaaaaaah mnajilia URODA wenu kwa raha zenu HENO HENO

    ReplyDelete
  85. Steve

    nakushukuru kwa kumuacha Manka free. Manka kama utasoma hii comment naomba naomba usome maelezo yangu hapo chini uone ka unaweza kuungana nami maishani.

    Mimi ni kijana wa miaka 30, sijaoa ila niliwahi kuwa na girl friend na hatukufanikiwa kuendelea na uhusiano wetu kwa vile yeye aliolewa na mtu mwingine mimi nikiwa masomoni Denmark. Kwa sasa niko Marekani nafanya Postdoc (urban settlement) Navaa kiatu namba 8, ni mrefu 5.7, mtanashati, mcheshi na nisie na makuu. Napendelea movies. Pianasafiri sana kutokana na kazi yangu. Nategemea kurudi Tanzania baada ya miaka mitatu na nitakuwa katika jiji la Mwanza. nimekupenda kwa vile umvumilivu na unajua unachokitaka maishani. Pia nina hasira...nikikasirika nakunywa pombe na sipendi kuongea na mtu hadi hasira ziishe. Ni mchaga wa Machame Lyamungo. Napenda kupata watoto watano kutoka kwa mke wangu. Pia ni mtiifu sana. Nadhani tutakuwa compatible kwani na mie niko desperate baada ya mwezi wangu kunitosa. Napenda sana attention kutoka kwa my significant other, je unajua kulicheza rumba kwa kutwanga na kupepeta?naupenda sana huo mchezo....kama uko tayari mwandikie michuzi mie nitaweka jina langu hapa na contact pia. Nimejaribu kukutumia email zinafail kuingia kwa inbox yako, sijui maombi yamekuwa mengi. Nakuahidi kukupenda na ninahisi tutaliwazana vyema.

    Wako

    Urassa

    ReplyDelete
  86. Huyu manka sio mjinga wadau.

    Anajua anachokifanya. Hakuna kitu kizuri kama kuridhishwa kimapenzi.

    Steve hakumridhisha kimapenzi ameongea tu ila amelialize kosa lake.

    Nasisitiza manka sio mjinga kwa sababu ya namba tisa ya mguu.

    mguu namba tisa si mchezo mwanawane.

    manka ana mahesabu yake. Lazima ujue urefu wa mguu ndo urefu wa mashine jamani.

    Manka analo analolitaka.

    Candidates alichosema kigezo si muhimu kwake hicho ni kinyume Hivyo vyote vya juu tisa kumi Mgugu namba tisa.

    Namba tisa jamani tisaaaaa

    ReplyDelete
  87. Mimi nawashukuru hawa kina Manka na bwana wake (wa zamani) kwa kutupa nafasi ya kujadili na kuburudika na michango ya wasomaji. Michuzi ukipata kama hizi tuwekee tuendeleze libeneke, asikudanganye mtu, hizi za hivi zinapendwa sana ndio maana zimepata wachangiaji wengi sana. Udaku unapendwa, ndio maana Eric Shigongo ametajirika kwa kuuza udaku na hata majuu habari za udaku au shows za udaku kwenye TV ndizo zinazojaza washiriki pomoni. Wape watu kitu roho inapenda, usibane wala nini! Akikuletea mtu habari kama hii weka hapa, wala usijiulize mara mbili!

    ReplyDelete
  88. 4 sure people have time to waste...

    ReplyDelete
  89. Anony hapo juu wa Wednesday,March 12,o8; 4:28
    Umeniacha hoi sana..kwamba kiatu Namba 9 sio mzaha..yani wewe una akili sana.
    Nitakutafuta.Unajua kuyachamua mambo kiundani.inawezekana wewe ni mwanasheria.

    ReplyDelete
  90. KAMA NI MTIHANI WOTE MNA F NA MICHUZI ANGALIA HABARI ZA KUTUWEKEA HUMU UNATULETEA HABARI ZA KISHOGA HUMU?

    ReplyDelete
  91. MANKA HISTORIA YAKE IMEANZA ZAMANI KAMA UNATAKA KUJUA:
    BOFYA HAPA

    ReplyDelete
  92. patamu hapa! hizi story mbili zaweza kuwa zakweli kwa 10% au za kutunga kwa 90%. but one thing is that'they have poured their heart to the public' thid is what is what they share in common.
    pia ukikaa kimya unaonekana unabusara hata kama busara huna kulikoni ukifungua mdomo, maana when you open your mouth you let people see what is in your head and your heart!
    lakini pia kilammoja anajaribu kupunguza sress aliyo nayo,i mean manka,steve, wewe, na mimi kwa kusema chochote hapa!
    ama kweli penye wengi hakiharibiki kitu, na penzi la kweli halifi,likifa haliozi,likioza halinuki, likinuka linanukia marashi tupu!
    najuwa kuna wengi yamewasibu mazito,but if you swallow them and keep quety you die early as men do,but if you cry out you get relieved and live alitle bit longer as women do!
    let them speak out and live alitle bit longer

    ReplyDelete
  93. DUUUUUUUUUUUUUUUUUH YANI STORI YA KIPUMBAVU KAMA HII IMEPATAPA COMMENTS NYINGI KULIKO MAFISADI? EH MUNGU TUNAOMBA UTUTOLEE UJINGA SISI WATANZANIA TUWE NA UWEZO WA KUTAFAKARI MAMBO HILI TUJIKOMBOE NA MATATIZO YA KUJITAKIA KWENYE JAMII ZETU. AMEN watanzania twaendelea kuwa vichwa vya wendawazimu,wadau mmenifanya mpaka na mimi nijitusi kwani mnaniwakilisha pia.

    ReplyDelete
  94. Bollocks,blistering barnacles.....yall crazy.

    ReplyDelete
  95. Bro michuzi nimekukubali,research yako imefanikiwa anzisha tu blog ya dating kwa watanzania ,utatupata wengi na ikiwezekana tulipie ,maana nenda mbele rudi nyuma hili swala linasumbua si kwa dada MANKA tu,si umeona maoni zaidi ya 200.
    ALL THE BEST.

    ReplyDelete
  96. ****MAONBI YANGU YAMEKUBALIWA NA MANKA, TUNATARAJIA KUNGA PINGU ZA MAISHA MUDA SIO MREFU MUNGU AKIPENDA. TUTAWATAARIFU HUMUNDANI WAADAU WAPENDWA****NILIKUWA NASUBIRI NAFASI KAMA HII

    ReplyDelete
  97. Asante michuzi, nadhani utafiti wako umekamilika, hawa watanzania wote walioponda hawana lolote kuna, picha ya mama kikwete kwenye blog hii yuko shuleni haina comment,kuna news nyingi humu hazina comment, why this kama hamjaipenda, nyie acheni unafiki!! kama kweli mko serious kwa nini stori zingine huwa hamcomment,WATANZANIA NDIO MAANA HATA UKIMWI UNAWATETEKETEZA KWA SABABU YA KUJIFANYA WASTAARABU SANA, SI HERI HUYU ALIYEONYESHA UKWELI WAKE HAPA, WANGAPI WANAWAKE WANAFICHA MAKUCHA YAO??

    MNASEMA HAPATI MUME KWA STAHILI HII.KESHAMPATA MTAPEWA KADI.MNAMLAUMU STEVE,WANGAPI MMEFANYA HIVYO??

    mdau-canada

    ReplyDelete
  98. Mazee Manka Ume chizi Ithink your reception is so cold thats why the other guy alikuacha My suggestion is wewe come Nairobi kuna place ina itwa KOINANGE streeet ukija pale utapata ma sister du kama wewe na Elimu zao waki fanya biashara yakujiuza ithink hiyo itakua poa kuliko kujitangaza bila kujionyesha.ama jibu imail niliyo kutumia ili nikupeleke china kwaajili ya hiyo business
    Have a lovely day

    ReplyDelete
  99. Please note:To the best of my understanding here in Tanzania there is no Real Person worth her salt by the name of MANKA MUSHI.This name has almost become a BRAND NAME right now for those wishing to attract CHEAP POPULARITY,especially so to our forks who are still disillusioned by thinking to be associated with a certain spectre carries you higher up the ladder of success in society.Whereas infact this is all Bull*@%\\.In almost every regional town here there is one bunker called Manka Mushi to the detriment of those sincere few who would really wish to go by that beautiful african name!So, please save your precious time and dismiss this hullaballoooo as Absolute NONSENSEeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  100. yeah that is really cool! i enjoy it the way it is! because if you think you are fine, you are not! do you know why?because i have been pulling myself together trying to put things together to find out who is the cause of all these which is going on here,do you know the answer? it is you!because you too are not fine!manka,steve and i we are not fine!that is why we keep talking,
    that is why we do things in one of the following ways:-
    1.the right way
    2.the wrong way or
    3.the army way
    and any of those way can lead you to lose or win!but when you lose you gain,i mean your loss can range from reputation to material loss,count it not a loss, but a fee you have paid to gain the knowledge of not repeating the same in life endeavors!


    see me when i see you!

    ReplyDelete
  101. JAMANI MANKA UKIMYA HUUUU TUNAKUSUBIRI KWA HAMU SANA KAKA MICHUZI PLEASE MTAFUTE MANKA TUNAKUOMBA MPAKA TUPIGE MATOWEEE NDIO UTATUELEWA

    ReplyDelete
  102. mimi sifanyi utani ningeweza kumuona MANKA tu ningefurahi sana bwana michuzi make sure in future tunamuona MANKA.

    ReplyDelete
  103. KWANZA KWA YOTE NAONA KWAMBA HII STORY NI MTU NIO ANATUNGA KWANZA NA PILI WEWE MANKA NA HUYO JAMAAA WOTE WASHAMBA HAMJATEMBEA NA KUONA DUNIA IPO VIPI NA WEWE MANKA ANGALIA USIJE UKA[PATA MME ASIYEKUWA NA KICHWA WALA MIGUU MAANA NIMEWAONA WEWE NA HUYO JAMAA WOTE WASHAMBA NA PIA NAKUJA KWA WEWE JAMAA ULIYEMUACHA MANKA NAKUAMBIA KWAMBA WEWE NDIO KABISA MSHAMBA HAUNA HATA MPANGO KWANZA SIJAONA SABABU YA MUHIMU YA KUSEMA ETII MASOMO MAGUMU SANA NDIO MAANA ILIKUWA VIGUMU KUVUMILIA KWANZA UKIKAA BILA KUFANYA MAPENZI UTAKUFA?KWA HIYO WEWE NIMESHAKUONA MZAIFU SANA KWA HIYO NILIKUONA WEWE KAA SANA NA KWA MAKINI NA FAMILIA YAKO NA MKE WAKO IPO SIKU WATAKUCHUKLULIA TU NA KAMA MIMI MUONGO UTAKUJA KUKUMBUKA NILISEMA NINI MAANA WEWE NA MANKA AKILI ZENU ZOTE SAWA KABISA MAANA NAONA KAMA HATA NURSERY HAMJASOMA NYINYI MAPENZI GANI HAYO YA KISHAMBA HEBU MSIRUDIE TENA KULETA HABARI ZENU ZA KISHAMBA HAPA HAMUONI HATA AIBU MNAONGEA HABARI ZA KIJINGA MBLE ZA WATU KWELI NYINYI BADO HAMJA ENDELEA KABISA.

    ReplyDelete
  104. Kutokuonekana kwa Picha ya manka hadharani hakuna tofauti na Kuwekwa hadharani kwa majina ya ya wale jamaa wa EPA, au hata kutokuonekana kwa Balali.

    Inaelekea hii style ya kuficha watu michuzi umeshai-adopt,

    Hakuna tabu boss, tunajua we ni mtu wa system, keeep it up kumficha huyo dem

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...