brother michuzi mambo vipi?
brother kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa kuiweka blog hii kipenzi cha wadau walio wengi duniani, nikiwemo na mimi, safi sana, inatuunganisha na ulimwengu wa kwanza wa pili na wa tatu, wote tunakutania kwenye blog yako!! inapendeza sana
brother mimi ni mdau nina miaka 27 ,naishi japan kwa sasa natafuta mchumba kupitia blog yako, "jina na mengine nitaongea na mchumba mwenyewe"
sifa za mchumba ninayemtaka ni hizi hapa
1. awe mwenye mapenzi ya dhati
2. awe anajua kuwa kuna raha sana duniani, na pia kuna shida, ugumu na karaha sana dunaini
3. awe mzuri, wa muonekano, mkalimu, asiwe mnene,
4. asiwe mpenda pesa, na starehe, bali pesa ziwe kisukuma maisha, na starehe zitokane na mapenzi na maisha tutakayokuwa nayo
5.asiwe mtu wa kukata tamaa,
6. sichagui kabila, wala rangi,
7. awe na elimu ya form four au six, haijalishi mambo mengine kama kuongea kizungu, kijapan, french na mengine
8. asiwe mnywaji pombe, wala mtutaji ,,
8. awe na moyo wa upendo, upole, na huruma, awe mtu wa kujali sana hata mambo madogo
9. awe mtu wa kujipenda anavaa anapendeza, anakwenda na wakati, sichagui aina ya nguo,
10. awe mtu wa kufundishika na kuelewa, awe mshauri mzuri
11. awe mtu wa kujiongezea sifa za kulinda, kupenda na kuendeleza familia
12. anaruhusiwa kuwa free kutoa maoni, kuongea, kujadili na kupanga maisha ila sitokubali maelezo wala maoni ambayo hayomo katika ukweli wa maisha na mfumo wa uchumi na ustawi wa jamii
tuwasiliane kwa email hii micho200027@yahoo.com
mdau japan
brother kwanza napenda kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa kuiweka blog hii kipenzi cha wadau walio wengi duniani, nikiwemo na mimi, safi sana, inatuunganisha na ulimwengu wa kwanza wa pili na wa tatu, wote tunakutania kwenye blog yako!! inapendeza sana
brother mimi ni mdau nina miaka 27 ,naishi japan kwa sasa natafuta mchumba kupitia blog yako, "jina na mengine nitaongea na mchumba mwenyewe"
sifa za mchumba ninayemtaka ni hizi hapa
1. awe mwenye mapenzi ya dhati
2. awe anajua kuwa kuna raha sana duniani, na pia kuna shida, ugumu na karaha sana dunaini
3. awe mzuri, wa muonekano, mkalimu, asiwe mnene,
4. asiwe mpenda pesa, na starehe, bali pesa ziwe kisukuma maisha, na starehe zitokane na mapenzi na maisha tutakayokuwa nayo
5.asiwe mtu wa kukata tamaa,
6. sichagui kabila, wala rangi,
7. awe na elimu ya form four au six, haijalishi mambo mengine kama kuongea kizungu, kijapan, french na mengine
8. asiwe mnywaji pombe, wala mtutaji ,,
8. awe na moyo wa upendo, upole, na huruma, awe mtu wa kujali sana hata mambo madogo
9. awe mtu wa kujipenda anavaa anapendeza, anakwenda na wakati, sichagui aina ya nguo,
10. awe mtu wa kufundishika na kuelewa, awe mshauri mzuri
11. awe mtu wa kujiongezea sifa za kulinda, kupenda na kuendeleza familia
12. anaruhusiwa kuwa free kutoa maoni, kuongea, kujadili na kupanga maisha ila sitokubali maelezo wala maoni ambayo hayomo katika ukweli wa maisha na mfumo wa uchumi na ustawi wa jamii
tuwasiliane kwa email hii micho200027@yahoo.com
mdau japan
PS: wadau nashukuru kwa kuendeleza libeneke kupitia globu hii ya jamii kwa njia mbalimbali. kwa unyenyekevu naomba kuanzia sasa mdau anayetafuta mwenza kupitia humu aambatanishe pia picha yake ili isijekuwa kama mtu anauziwa mbuzi kwenye gunia - michuzi
Hii yote wanamwiga manka watanzania bwana atasiku moja awabuni chao lazima mtu afuatilie nyuma nyuma ebu niambieni ukweli wangapi kati yetu wamefikiria kubuni chao tujifunze kutumia sehemu kubwa ya akili yetu hakuna haja ya kuibania kuwe creative
ReplyDeleteHILDA
Mdau ni jinsia gani??
ReplyDeleteyeye huyu ni wa kikeni ama kiumeni na anatafuta mchumba wa jinzia gani??? Nackia japani nako kubaya kwa mambo ya Chum*ini....Hebu iweke sawa Plz...
Yes Michuzi umenena, if people mean business let them post their photos.
ReplyDeleteThey put some criteria for wachumba they are looking for? Do they merit? Are they themselves attractable enough? Why they are lonely todate?, Japan, Uk, wherever you are who cares?
Yes post your photos so that whoever wants to go for you should be at least sure of what is going for.
Kwa kuongeza kaka michu picha iwe ya full na sio passport size yenye kuonesha sura tu..kwa style hiyo wachumba watapatikana kutokana na mwonekano wa mtafutaji...
ReplyDeleteMSIHANGAISHE WATU AKILI NA KUTUJAZIA MAMBO YASO NA MAANA KWENYE BLOG YETU HUYO MCHUMBA WA TOFAUTI GANI USIE WEZA KUMUONA MPAKA UMTAFUTE KWENYE BLOG HII! HEBU WEKA NA PICHA YAKO TUKUONE MAANA MPAKA UTAFUTE MTU KUPITIA MTANDAO WEWE MWANAUME WEKA PICHA YAKO HATUTAKI MAMBO YA KUPINDAPINDA HAPA! AU UNADHANI UKISEMA UKO JAPAN BASI UTAPAPALIKIWA? WADADA BONGO WAKO BIZE NA BUSINESS ZA MAANA SIO ZA KUTAFUTANA.FANYA KILICHOKUWEKA HAPO KAMA KUBEBA MABOX UMECHOKA RUDI KWENU WAKAKUTAFUTIE NDUGU ZAKO!
ReplyDeleteHizo sifa zote ulizo mention hapo juu, mimi kuna mwanamke mmoja tu ninauhakika anazo zote,kwa jina aitwa MAMA THERESA lakina kwa bahati mbaya hatunaye tena hapa duniani
ReplyDeleteWe mwenzetu unatafuta mchumba wa sex zotee? manake hujaitaja wewe mvulana wala msichana; isitosho kama mvulana unataka mchumba mvulana au msichana? na kama msichana unataka mchumba msichana ama mvulana?
ReplyDeleteNihayo tu.
heh! heh!heheh Mdau wa Japan unanichekesha sana, hivi binti mwenye sifa kama hizi inamaana vidume havija muona muda wote na kumnyakua au unatumia kura ya veto kwa kukaa kwako japan ili amuache mtu na aje kwako
ReplyDeleteMh naona nimefikia qualification zako ila tatizo elimu yangu ya juu kidogo sijui itakuwajee? halafu hujasema kama wewe ni mwanaume/ au mwanamkee
ReplyDeleteKwanza, wewe ni mwanamke au mwanaume?
ReplyDeletePili, point.4 na 5 zinaendanaje?
Tatu, "Awe mtu wakujipenda anavaa na kupendeza, anakwenda na wakati sijali aiana ya nguo"???
Too complicated. Anyway good luck with your search.
Wewe ni mwanmke au mwanume?cv yako ina hange tu,
ReplyDeletemichu safi sana,tunaomba picha yako wanza
tumeona picha ya mwenzako juzi juzi tu kwenye glob hii kaoa mwanamke wa kijapan, sasa nakushangaa wewe!! umeona wapi mtu akatafutiwa mchumba karne hii kama hutaki maradhi!! huko kwenu huna ndugu wakakusaidia kukutafutia mwenye sifa unazozitaka!! mie aka sikutaki, juu ya kwamba uko japan, lakini sikufagilii, kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza kaka.
ReplyDeleteKipengele muhimu kama wewe mwanamke au mwanamume hakipo sasa huyo mchumba utampataje? Kisha hiyo fom foo ya zamani au ya kina Maimuna?
ReplyDeleteHaya mambo ya Manka yameanza. Mdau wewe ni wa jinsia gani - mwanaume au mwanamke? Unataka mchumba wa jinsia gani - mwanamke au mwanaume? Unahitaji CV kama Manka?
ReplyDeleteWewe unayetafuta mchumba, ni mwamke unatafuta mchumba mwanaume au ni mwanaume unatafuta mchumba mwanamke??Hapa naomba kumuunga mkono Michu maana wengine wanatafuta umbea tu. Weka picha. Na huko Japan unakusanya mascrap ya spare ulete bongo?
ReplyDeleteDah mambo yamekuwa mambo.Michuzi naona bora na wewe ubadili jina kama Rtd & tvt uwe Issamichuzi/Dating.blogspot.com.
ReplyDeletePili huyu mwombaji mchumba hajaeleza yeye ni nani mdada ama mkaka?
Haihusiani na picha. Lakini ni habari muhimu:
ReplyDeleteOfficial: 75 Miners missing in Tanzania (Associated Press)
ARUSHA, Tanzania - A government official says 75 miners are missing and believed to have died in mines following heavy rains in northeastern Tanzania.
Kaka Michuzi umenena, twataka picha (full) sio passport size, na picha yenyewe awe amesimama sio kaka. Hapo ndio walengwa wataanza kuchambua na kutuma maombi.
ReplyDeletepamoja na kuombwa utaje jinsia bado uko kimya. jieleze vizuri. ila nakupongeza huna complications kama manka.
ReplyDeletemichu naona hii imekuwa dating web. keep it up!
mdau wa holand
Naona kaka Michuzi uanzishe blog ya pili ajili ya watu wanaotafuta wachumba maana internet imekuwa ndio njia rahisi ya kutafuta wachumba, natumaini kuna wadau watajiunga.
ReplyDeleteJAmani msitumix hapa huyo mchumba umekosa huko mitaani hapa kwenye net ndio utampata kwanza mambo yakutafuta wachumba kwenye net ushapitwa na wakati kwa style hiyo utapata manungayembe na madodoki. Nakushauri tafuta kabint karembo huko mitaani wapo wengi tu kapigishe mistari tu ndio mapenzi ya dhari hayo kaka.
ReplyDeleteMhhhhhhh mambo yetu yale yalee michuzi itabidi uandae ubani uweke shekhe na padri kabisa hapa hapa uturahisishie kazi ili tuujenge familia bora hapa sebuleni kwako.
ReplyDeleteKAMA NI MWANAUME MTAFUTA MANKA NA KAMA NI MWANAMKE CHIBIRITI YUKO FREE BADO ANATAFUTA MKE WA PILI
ReplyDeleteHuyu jamaa fix kweli, nina uhkika 100% kwamba yeye mwenyewe hawezi kutimiza ingalau robo ya masharti aliyoweka kwa mwenzi anayemtafuta.Tusiwe matapeli kwa hili jambo ambalo ni la msingi.
ReplyDeleteHaya kaka wataka mchumba weye .... ila hujasema wa aina gani hapa duniani wapo wnegi ..i.e same sex or opposite sex coz hapo Japan tumeona kwenye vyomba vya habari watu wenye same sex wanaoana sasa wewe vipi hicho kipengele ...je wewe una kazi gani ya maana ya kumlisha huyo dada coz mdau mmoja aliandika humu nettini kuwa maisha Jp yapo juu kama huna yen 180,000 huwezi kuishi au ndioitakuwa kupishana kwneye vituo vya train .. wewe ukiingia nyumbani wife naye ndio anatoka kushika zamu yako ya usiku ...patamu hapo maana ya ndo inakuwa haipo .
ReplyDeleteMdaus.
RSA
sasa nyie meona hapa ndo pakutafutia wachumba ehee! jamani kama midomo zege kuweni watawa basi,
ReplyDeleteuna miaka mingapi?
ReplyDeleteHuyu ni Mwanaume, amerekebisha hii post kwenye Blog ya Mjengwa.
ReplyDeleteHivyo anatafuta nyie wanawake.
Michu, pole sana ndugu yangu ninaomba kama unaweza kudesign website ya date agency maana kila mara wabongo wanatuma maombi ya kutafuta mchumba ambaye ajaumbuwa so kama unaweza kudesign hiyo website. tareeeeeeee
ReplyDeleteMICHUZI MIMI NAONA KAMA UNGETENGA KIJISEHEMU KIDOGO KAMA CHA JAGGED KWA AJILI YA DATING SEARCH HALAFU UNGEKUWA UNAWAUNGANISHIA LINK ZA DATING HAWA WADAU WENZETU WANAO TAFUTA KUNUNUA UGOMVI.MIMI KWA MAONI YANGU SI VIBAYA KAMA HAWA JAMAA ZETU WANGEKUWA WAPO SEREOUSLY WANGE POST JAPO MOJA YA PICHA ZAO NA NUMBER ZA SIMU TENA PICHA IWE CLOSE SHOT MDAU LUTON.UK
ReplyDelete+447737334500
hohohohoh ka michuzi blog yako sasa ishakua eharmony.com manake kutwa watu wanatafuta mchumba lkn mungu awajalie wapate watakao na pili ekeni picha zeeeeeeeeeenu tuzione. Lkn dah atleast huyu hana makuu kama da Manka manake yule alikua kiboko.
ReplyDeleteKaka Misupu Hapo Umepatia sana Lazima wa Weke Picha Zao Ili Ilahisishe Kupata Huyo Unaemtafuta. Hivi Mtu Unafikia Hatua Ya Kutafuta Kwa Njia Hii Inamaana Njiani,Kazini Kanisani Madukani Na popote Kwenye Jumuia Huonagi watu au Ndio Ile DOMO ZEGE UTE HALAFU NASHINDWA KUONGEA???? (MIE NAMTAFUTA KAKAANGU RASHIDI CHIKILINI YUKO SWEDEN NAOMBA ANIPIGIE SIMU HIII 076 7099032 NI MIMI MZEE WA KUNAWA) NAZANI SITAJI PICHA KAKA MISUPU
ReplyDeleteHAYA WADAU MNAOTAFUTA MWAGENI LAZI HAPO (new blog) bongodating@blogspot.com hapo ni pa dating tu, kutakua na wachumba toka nchi mbali mbali wanaotaka ku hook up na wabongo, wabongo kwa wabongo na mkoroganyo wote...
ReplyDeleteNadhani watu wengine hamna kazi. Yaani several questions zinahusu same thing jinsia gani! sasa kama mwenzio kauliza lazima uulize?
ReplyDeleteili iweje?
Faljunuun Funuun
Mdau UK.
Nyie waosha vinywa, keleleni!
ReplyDeleteMi namtaka! Mchumba nipigie simu
usiku! lol
-sum badi [dxb]
Mhhhhh Kweli watu sasa hivi sio harali kabisa sasa wewe huko japan umekosa wabongo wanaosoma huko au mazeruzeru hakuna huko?wewe kwanza katika watu 10 bora nitakuweka namba 9 kwanza inaonekana huko uliko ni baharia au mpishi wa kwenye meli sasa mademu wote hao unakuja kutafuta mwanamke kwenye internate mhhh kama mimi nisinge hata kujibu kitu nenda zako fanya kilichokupeleka huko
ReplyDeleteMdau
U.k
Liverpool
NA HIZO PICHA MTAKAZOWEKA MUWE MME-SMILE......TUANGALIE KABISAAA DENTAL FORMULA KAMA INAHITAJI UKARABATI AU INAHITAJI KUWA REPLACED. NA VILE VILE ITATUPA IDEA KAMA UNA KIKWAPA CHA MDOMO OR SOME....
ReplyDeleteebwana cjaona sharti la kupima NGOMA me na mashaka na ww kwa swala hili usije ukatuumizia dada zetu
ReplyDeleteBro Michuzi, I think hii issue ya kutafuta wachumba is serious people wamechanganyikiwa issue ya kupata mchumba sio lele mama hivyo naomba maswala haya uyaangalie kwa undani na ikiwezekana uwe na mawasiliano ya siri na wahitaji na uwasaidie. wanatuna wanadhani ni utani. Mimi ni msichana lakini mnene.
ReplyDeletepole kaka
Namuonea huruma mchumba atakayempata kwani - kuna hatari akinenepa kaachwa
ReplyDeleteMimi sijaona cha ajabu humu au kitu ca kufanya watu waanze kumsagia huyu dada, namwita dada kwa test ya mfumo mke ambao nauhisi kwenye andishi lake. nasema si ajabu kwa yeye kuomba mchumba humu au kutoa vigezo mabavyo kwa mtazamo wangu ni vya kawaida sana kwa sisi sote tulio na wenzi naamini hivyo ni vigezo muhimu ambavyo hata wewe ungevihitaji au tulivihitaji, ila hivyo ni kadri tu,ambavyo havina masharti makubwa kwa yule ambae anatafuta mume au mke si kwa anaetaka kuchuna buzi au kutafuta mpishi au mfanyakazi wa kazi za ndani. Naamini hivyo kwani mama yeyote au baba yeyote angependa kuwa na mke/mme mwenye hivyo vigezo. Ushauri wangu kwa mshana/kijana wewe, kuwa humu hutapata mchumba ambae labda atakuwa amevinjari(serious) kwa jinsi ninavyoona mtiririko wa maoni . Hivyo basi kama ulipo hujamuona wa kukupendeza basi waombe ndugu na jamaa huku wakusaidie kukutafutie na ukikupatia basi fanya utaratibu mzuri wa kumuona ukiridhika nae ndo umalizie kifungu chako cha 12.
ReplyDeletenakutakia kheri na mafanikio utampata atakaekuridhisha ishallah.
some people are full of misery, shame!! whatsoever sex ur are get a life! How do you expect to be appreciated on the blog if no one has appreciated you, when live. Sorry!
ReplyDelete