wananchi wakipunga mikono kumuaga waziri mkuu mh. mizengo pinda ambaye leo amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku 8 mkoani rukwa, ikiwa ni ziara yake ya kwanza toka ashike wadhifa huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani!! shida tupu mpanda..watoto no nguo!!Waziri Pinda fanya kazi nyumbani..

    ReplyDelete
  2. Pinda usiwe kama mchonga alivyosahau Butiama hebu pakarabati mpanda. ona sasa unatua na ka ndege kwenye uwanja wa watoto wa kuchezea. Do something Pinda

    Mdau

    ReplyDelete
  3. duh!hiyo 'airport' nimeikubali ndo mana bongo hatuwezi kuwa na airbus au boeing haiwezi kutembea kwenye nyasi hizo itatifua kila kitu jinsi ilivyo nzito.
    ivo vindege vidogo huku kwa 'wabeba boksi' vimejaa ni kama magari kwa wenye nazo.vinatua hadi kwenye highways vikizidiwa,ndo raha yake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...