Home
Unlabelled
airbus ya ATC kuwasili kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sio walete ndege tu,wanatakiwa kuboresha huduma za uwanja wa ndege.Pia tanzania inahitajika kujenga,kupanuwa uwanja wa ndege wa Dar uwe na viwango vya kimataifa.
ReplyDeleteHiyo ndege ni mpya au "Mtumba" uliotumiwa na British Airways wakachoka ndo wanatuletea makopo? Unajua tangu madeal ya Richimondi na ma gasoline kule kusini nimekuwa mwoga sana na hii mi-deal tunayoletewa....!!!!
ReplyDeleteMambo ya kibongo yalivyo... si muda mrefu utasikia kua ununuzi wa hili dege umehusisha mafisadi fulani na walishakula 10% yao.
ReplyDeleteCheck hii http://www.scribd.com/doc/2059941/Ufisadi-Air-Tanzania-Corp
Ignorant,
Jeremani
Hivi ile ya Precisionair kutoka China ilishaingia?
ReplyDeleteHalafu huo uwanja wa Julius Kambarage (sijuwi ndiyo lile jina gumu kutamka?) Nyerere kwa kweli unatakiwa ubaki kwa ajili ya Local flights. Hauna hadhi ya kuitwa International Airport. Ni bora uitwe tu National Airport. Kule ndani kuna vuja, hakuna Viyoyozi ...yaani karaha.
Uwanja unatia aibu........